NCAA: TUTAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU MAPANGO YA AMBONI
Na Oscar Assenga, TANGA.MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kwamba inaendelea na mikakati ya kuboresha miundombinu ya Mapango ya Amboni yaliyopo Jijini Tanga ili yaendelee kuwavutia watalii...
View ArticleATE YATOA MSAADA WA MASHINE ZA KUSAIDIA KUPUMUA WATOTO WACHANGA
Dar es Salaam, Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kimetoa msaada wa mashine za kusaidia upumuaji kwa watoto wachanga ambao hupata matatizo ya kupumua mara baada ya kuzaliwa. Msaada huo, uliotolewa...
View ArticleWASANII WA FILAMU,WANAHABARI WAZAWA WA MKOA WA TANGA WATUA KUHAMASISHA ZOEZI...
Na Oscar Assenga, TANGAMABALOZI 23 wa Mkoa wa Tanga unaoundwa na Wasanii wa Filamu,Waandishi pamoja na watangazaji wametua Jijini Tanga kwa lengo la kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi...
View ArticleMKOA WA MOROGORO KUFANYA UBORESHAJI WA DAFTARI MACHI MOSI
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi kuhusu uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoa wa...
View ArticleCTI Yatoa Wito wa Hatua za Haraka za Sera na Utekelezaji ili Kulinda Maisha...
Mwenyekiti wa zamani wa Shirikisho la wenye Viwanda (CTI) na mwenyekiti wa bodi ya SBL, Paul Makanza akizungumza katika warsha ya siku moja iliyokutanisha wadau wa sekta binafsi na wadau wa maendeleo...
View ArticleBenki ya CRDB yapongezwa kukusanya Sh. Bilioni 323 hatifungani ya Samia...
Dar es Salaam. Tarehe 18 Februari 2025: Ikiwa katika maadhimisho ya miaka 30 tokea kuanzishwa kwake, Benki ya CRDB imetangaza mafanikio makubwa ya hatifungani ya miundombinu ya ‘Samia Infrastructure...
View ArticlePURA ENDELEENI KUWAVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SHUGHULI ZA UTAFUTAJI MAFUTA NA...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli( PURA) wakati wa Kikao cha Baraza hilo linalofanyika tarehe 18...
View ArticleWATENDAJI UBORESHAJI WA DAFTARI MOROGORO, TANGA WAHIMIZWA KUZINGATIA SHERIA
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omari Ramadhani Mapuri akizungumza wakati akifunga mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa...
View ArticleMabadiliko ya Kidigitali Sekta ya Utalii: Benki ya Exim Yazindua Suluhisho la...
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mh. Mudrick Soraga (kulia), akimsikiliza Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Shani Kinswaga, wakati wa kongamano la Z-Summit 2025 lililofanyika...
View ArticleMSD YAKABIDHI JENERETA KWA HOSPITALI YA WILAYA YA KITETO
Hospitali ya halmashauri ya wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imeondokana na changamoto ya kukatiza baadhi ya huduma za matibabu kama upasuaji na pindi umeme unapokatika baada ya Bohari kuu ya dawa MSD...
View ArticleVodacom Tanzania Foundation Kufadhili Kongamano la Utafiti Elimu Tanzania 2025
Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald (wa pili kutoka kushoto), akizungumza katika uzinduzi wa kongamano la Utafiti Elimu Tanzania la mwaka 2025 lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es...
View ArticleCRDB BANK YAZIDI KUIPAISHA KILI MARATHON
Hafla ya msimu wa 35 wa mbio za Kili Marathon imefanyika leo katika viwanja vya ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro, ambapo benki ya CRDB imeendeleza udhamini wake wa mbio za Kilomita 5 zinazojulikana...
View ArticleSerikali yaipongeza Benki ya CRDB kudhamini mashindano ya Quran
Dar es Salaam. Tarehe 24 Februari 2025: Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kudhamini Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran yaliyofanyika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es...
View ArticleWafanyakazi wa Barrick wang’ara mbio za Kimataifa ya Kilimanjaro Marathon 2025
Wafanyakazi wa kampuni ya Barrick nchini kwa mara nyingine wameshiriki mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na kujumuisha wadau mbalimbali kutoka ndani...
View ArticleBenki ya CRDB kumtunuku mteja Ford Ranger, yazindua kadi za TemboCard
Katika kuendeleza hamasa ya matumizi ya kadi kwa wateja wake na Watanzania kwa ujumla, Benki ya CRDB imepanga kumzawadia mteja atakayekuwa na matumizi makubwa ya kazi zake za TemboCard Visa gari jipya...
View ArticleEXIM BANK YAINGIA MKATABA WA MIAKA MITATU NA ZATI
21 Februari 2025, Zanzibar – Benki ya Exim imeingia mkataba wa miaka mitatu na Chama cha Wawekezaji wa Utalii Zanzibar (ZATI) kwa lengo la kukuza na kuinua sekta ya utalii Zanzibar. Mkataba huo...
View ArticleDkt. Doto Biteko awapongeza Benki ya Exim Kuzindua Tawi Wilayani Kahama
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko (wa tatu kutoka kulia), akiwa katika uzinduzi Rasmi wa tawi la benki ya Exim Tanzania wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Kulia kwake ni...
View ArticleWAZIRI SIMBACHAWENE ATOA WITO KWA WANANCHI WA CHIPOGOLO KUSHIRIKI MAENDELEO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya...
View ArticleMAFIA BOXING PROMOTION YATANGAZA PAMBANO LA NGUMI KUMNADI RAIS DKT. SAMIA
Mkurugenzi wa Mafia Boxing Promotion, Ally Zayumba, akizungumza na waandishi wa habari Februari 25, 2025 wakati akitangaza pambano la ngumi kati ya Amir Matumla dhidi ya Paulus Amavila kutoka Namibia...
View ArticleINEC YATANGAZA KUANZA MCHAKATO WA KUGAWA MAJIMBO
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akitangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo Tume itapokea...
View Article