BAADA YA CHADEMA KUMWAGA DKT. KITILA MKUMBO, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM...
Kwa siku za karibuni, vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini vimetoa taarifa kuhusu kuvuliwa uongozi kwa Dkt. Kitila Mkumbo (pichani) ndani ya chama cha siasa kiitwacho Chama cha Demokrasia na...
View ArticleVIBAKA WAWILI WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUPATA KICHAPO KUTOKA KWA WANANCHI...
Vibaka wawili wanusurika kifo baada ya kupokea kichapo cha mbwa mwizi baada ya kukamatwa wakiwa wametega mtego wao katika daraja la Mlalakua jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita wakati wa...
View ArticleMAMA ASIA IDAROUS APAMBA UZINDUZI WA CLUB TIFFANY, DAR
Wikendi iliyopita ulikuwa ni uzinduzi wa Club Tiffany iliyopo katikati ya jiji la Dar es Salaam ambapo mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsin aliweza kupamba uzinduzi huo kwa kuonyesha mavazi aliyobuni...
View ArticleHATUMTAKI RAGE AJIONDOE MWENYEWE IFIKAPO JUMAMOSI DEC 7
WANACHAMA wa Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, wamemtaka mwenyekiti wao Aden Ismail Rage kuachia ngazi ifikapo Desemba 7 mwaka huu, kabla ya wao kufunga safari kumfuata mjengoni mjini Dodoma kwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, AFUNGUA KONGAMANO LA KITAIFA LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Kongamano la Kitaifa la Ajira kwa bara la Afrika kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Julius...
View ArticleCECAFA COMMITEE MEMBERS DETAINED OVER UPAID HOTEL BILLS
Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleRAIS MSTAAFU WA AFRIKA KUSINI, NELSON MANDELA AFARIKI DUNIA
Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela hatimaye amefariki baada ya ya kuugua kwa kipindi kirefu na kutabiriwa na kuvumishiwa habari hizo. Mandela amefariki dunia akiwa na miaka 96.Copyright...
View ArticleKENYAN MEDIA INDUSTRY TO MOVE TO COURT TO STOP DRACONIAN BILL
Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleKUFA KUPONA: WAKENYA WABUNI MBINU HATARI YA KUFYONZA MAFUTA YA PETROLI...
Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KWA RAIS ZUMA WA AFRIKAKUSINI...
Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za rambirambi Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na kupitia kwake, kwa mkewe Bi. Graca Machel, wanafamilia...
View ArticleAIRTEL YAKABIDHIWA TUZO ZA MUAJIRI BORA WA MWAKA 2013 JIJINI DAR JANA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Muajiri Bora wa mwaka 2013, Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Francis...
View ArticleWANANCHI WAOMBWA KUITUMIA TOVUTI KUU YA SERIKALI
Mkurugenzi wa Udhibiti wa Huduma za Serikali Mtandao nchini Bw. Michael Moshiro akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu upatikanaji wa taarifa za serikali kwenye Tovuti Kuu Serikali. Amewaomba...
View ArticleMAKAMU WA RAIS ASAINI KITABU CHA KUMBUKUMBU KUFUATIA KIFO CHA MZEE MADIBA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Tanzania Henry Thanduyise Chiliza kwenye ofisi ya Ubalozi wa Afrika ya...
View ArticleAIRTEL BINGWA KUFUNGUKIA MBAGALA ZAKHIEM, DAR... KESHO
*WASANII WAKALI NEY WA MITEGO NA YOUNG KILLER KUONYESHANA NANI BINGWA … KATIKA HIP HOP MBAGALA Haya sasa mabingwa woote WA AIRTEL BINGWA kula bata pamoja wikiendi hii MbagalaaaaaaKama wewe ni bingwa wa...
View ArticleTCRA YAIPA AZAM MEDIA LESENI KUIWEZESHA KUENDELEA KURUKA 'LIVE'
Azam Media Ltd leo imepata leseni kutoka Mamlaka ya Mawasilino Tanzania (TCRA) na hivyo kuwa na uwezo wa kuanza rasmi shughuli zake hapa Tanzania.Hatua hii muhimu sasa inaiwezesha AzamTV kuanza kutoa...
View ArticleMAMBO YAZUKA UPYAAA; WARAKA WA SIRI WA NDANI WA CHADEMA
Ndugu Watanzania, nimelazimika kuusambaza kwa KUUATACH waraka huu wa siri wa mawasiliano ya ndani ya chama baina ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Katibu mkuu, na wanaoitwa wa jumbe wa baraza la maamuzi...
View ArticleTHE FUNERAL OF NELSON MANDELA WILL BE HELD ON SUNDAY, DEC. 15, IN THE EASTERN...
The funeral of Nelson Mandela will be held on Sunday, Dec. 15, in the Eastern Cape Province of Qunu, according to South African President Jacob Zuma."We should all work together to organize the most...
View Article