$ 0 0 Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela hatimaye amefariki baada ya ya kuugua kwa kipindi kirefu na kutabiriwa na kuvumishiwa habari hizo. Mandela amefariki dunia akiwa na miaka 96.