RAIS KIKWETE AFUNGUA JENGO LA MAHAKAMA KUU KANDA YA BUKOBA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua pazia kuzindua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akisaidiwa na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande...
View ArticleUJUMBE HUU KWA WOTE WALIOSOMA WERUWERU SEKONDARI, MOSHI
"Hongera...Weruweru,umlezi wetuuu...."If this line reminds you of our beloved school,then this is for you.In preparations for our big celebrations of Weruweru's Golden Jubilee,we have a meeting on...
View ArticleVIJANA WAAMUA KUJIAJIRI KUFYWATUA MATOFARI, KIJIJI CHA IBAMBO, URAMBO TABORA
Moja ya kichuguu wanachotumia kufyatulia matofali. Matofali yakiwa yameanikwa baada ya kufywatuliwa.Kila mmoja akiwabusy.Msimamizi wa vijana hao akikagua kazi inavyokwenda.Moja ya vijana walionipa...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MASHUJAA KAMBI YA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao/sime katika mnara wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa katika kambi ya jeshi ya Kaboya, Bukoba, mkoani Kagera leo Julai 25, 2013 Viongozi wa dini...
View ArticleMUSOMA TEXTILE MILLS (T) LTD EMERGED ‘SOLID WASTE MANAGEMENT WINNER 2013’
The cleaner Production Centre of Tanzania (CPCT) dealing with Resource Efficiency and Cleaner Production (RECP) has conducted training on RECP to all manufacturing industries in Tanzania.The training...
View ArticleSUALA LA MAJI BADO NI CHANGAMOTO KWA WAKAZI WA VIJIJINI
Mama akichota maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.Mwenyeji wangu, Alen ambaye aliweza kunitembeza kijiji cha Ibambo na kujionea mengi. Suala la ukosefu wa maji kwa wakazi wa vijijini limekuwa ni...
View ArticleBASI LA PRINCES MURO LILIVYOWAKA MOTO
Basi la Princes Muro linaloelekea Bukoba toka Arusha likiwa limeungua. Gari la Princes Muro lilivyowaka moto katika kijiji cha Nata, Shinyanga vijijini ambapo kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo...
View ArticleMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO: ENCY MWALUKASA - USIFIWE MUNGU
Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleUTALII WA NDANI: IPENDE NCHI YAKO, TABORA YETU
Moja ya vipita shoto... Kivutio kimojawapo kinachoonyesha alama ya mji wa Tabora. Soko la Tabora mjini. Pikipiki na baiskeli ndiyo usafiri mkuu wa wakazi wa Tabora. Ofisi ya TiGo Tabora.Moja ya alama...
View ArticleUFISADI SI MJINI TU MPAKA KIJIJINI, NYUMBA YA WAGENI YATUMIA VYANDARUA VYA...
Moja ya jambo ambalo lilinishangaza hivi karibuni pale nilipotembelea kijiji cha Ibambo, Kata ya Mwongozi wilaya ya Urambo ni jinsi nyumba ya kulala wageni inavyotumia vyandarua ya haki punguzo la...
View ArticleCSSS YAWANOA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MASUALA YA UKIMWI JIJINI MWANZA
Shirika la Dini linaloundwa na Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) na Jumuiya Kikiristo Tanania (CCT) linatarajia kuzindua mradi wake kwa wagonjwa wa UKIMWI na waathirika ili waweze kurudi katika...
View ArticleWANAFUNZI WA LUTHERAN JUNIOR SEMINARY WAGOMA KUSHINIKIZA WALIMU WABABAISHAJI...
Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleTIGO 'MILIKI BIASHARA YAKO' YAVUNA WASHINDI 7, KUKABIDHIWA BAJAJI ZAO LEO
Meneja chapa wa Tigo Bw.William Mpinga akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa kuchezesha droo ya pili ya bahati nasibu ya "Miliki Biashara Yako" ibuka na Bajaji, jumla ya washindi...
View ArticleUSAFI UNAHITAJIKA KATIKA SOKO LA KILIMAHEWA JIJINI MWANZA
Kuni zinauzwa kuanzia shilingi mia tano kwa fungu... Mama Lishe nao wapo japo mazingira yao hayaridhishi kwa afya ya walaji. Mtaro wa maji taka nao unakatiza katikati ya soko...Hali ya usafi...
View ArticleNEW ARTIST: YINCAS EL LEGENDEE INSPIRED BY FID Q, NGWEA NA FABOLOUS
Naitwa Mathew Yinza Telles.Nimezaliwa tarehe 08 July 1992.Jina langu la sanaa naitwa Yincas El Legendee Nickname Killerflo.Jina la Yincas limetokana na jina langu la Yinza ambalo idadi kadahaa ya watu...
View ArticleEPIQ BSS YAMALIZA USAILI, KUANZA ZOEZI LA MCHUJO WIKI HII
Showlove...Wasichana hawa ni mapacha ambao walijitokeza kwenye usaili wa shindano la Epiq Bongo Star Search (EBSS) uliofanyika kwenye uwanja wa taifa Dar es salaam, walilazimika kuimba pamoja na ni...
View ArticleAIRTEL TANZANIA YALA FUTARI NA WATEJA WAKE DAR ES SALAAM MWISHONI MWA WIKI
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa pili kushoto) akiwakaribisha baadhi ya wateja wao katika hafla ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni...
View Article