Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19760

RAIS KIKWETE AFUNGUA JENGO LA MAHAKAMA KUU KANDA YA BUKOBA

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua pazia kuzindua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akisaidiwa na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakifungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa baada ya kufungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wafanyakazi wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19760

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>