Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

CSSS YAWANOA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MASUALA YA UKIMWI JIJINI MWANZA

$
0
0
 Shirika la Dini linaloundwa na Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) na Jumuiya Kikiristo Tanania (CCT) linatarajia kuzindua mradi wake kwa wagonjwa wa UKIMWI na waathirika ili waweze kurudi katika utumiaji wa kufubaisha ugonjwa huo ujulikanao kwa jina la 'TIBA NI HAKI YAKO, CHUKUA HATUA SASA UREJEE KWENYE TIBA. Kampeni hiyo imelenga katika kanda ya Ziwa.
 Waandishi wa habari waliofika katika semina ya kuwajengea uwezo ili waweze kueleza vyema mradi huo kwa wananchi.
 Kila mmoja akiwa busy kufuatilia.
 Mganga wa Mwanza, Dokta Masele akitoa somo kwa waandishi wa habari waliohudhuria katika semina ya kuwajengea uwezo iliyofanyika katika ukumbi wa Nyakahoja.
Dokta William Bendela, mshauri wa masuala ya kitabibu wa mradi wa ART/CSSC, akitoa mrejesho kwa wanahabari juu ya mradi wao. Mradi wa ART unatekelezwa katika mikoa ya Mwanza na Mara lengo kuu ni kuhakikisha watu wengi zaidi wanafikiwa na huduma za dawa za kupunguza makali ya Virusi Vya UKIMWI.
 Msimamizi wa Mradi huo toka CSSC Mwanza akitoa maelezo mafupi kwa waandishi wa habati (hawapo pichani).
 Waandishi wa habari toka vyombo mbali mbali na magazeti tando (blogs) walipata fulsa ya kuhudhuria. Pembeni kulia ni mmiliki wa blog hii Cathbert Angelo.
 Somo limepamba moto.
 Waandishi wakipata somo.
 Afisa mahusiano wa CSSC Rachel Mkundai Mlay akitoa somo kwa waandishi wa habari jinsi ya kusimamia na kuwapasha habari wananchi.
 Msimamizi toka CSSC akiongea na Wanahabari juu ya ufahamu wa mradi wao.
Tuliamua kushow love baada ya kumaliza semina, kutoka Kuliani ni Rachel Mkundai Mlay wa CSSC, Kuni toka Afisa Habari wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza na mie Mmiliki wa Mtandao huu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>