JESHI LA POLISI LAIMARISHA ULINZI KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA 2016
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.Jeshi la polisi limesema limeimarisha ulinzi kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka.Akizungunza leo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi,...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA UBUNGO AAPISHWA JIJINI DAR ES ESALAAM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akimwapicha Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisari Matiku Makori kufuatia uteuzi uliofanywa na Rais Magufuli kwa Wakuu wa Wilaya hivi karibuni. Leo jijini Dar es...
View ArticleKIUNGO WA ZAMANI WA TAIFA STARS ATHUR MWAMBETA ANAOMBA MSAADA
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii. Kiungo wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania na Simba Sports iliyokuwa ikiitwa Senderland, Athur Mwambeta amewaomba wadau mbalimbali wa mchezo wa soka nchini na Chama...
View ArticleTSN YAADHIMISHA MIAKA 10 YA GAZETI LAKE LA HABARILEO
Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Wachapaji wa magazeti ya Daily News, Sunday News, Habarileo, Habarileo Jumapili na Spotileo imeadhimisha miaka 10 tangu kuanza kwa gazeti la Habarileo mnamo...
View ArticleBARAKA DE PRINCE, MC PILIPILI NA ROSE NDAUKA KUPAMBA TAMASHA LA CHRISMASS...
MSANII wa kizazi kipya Baraka Da Price pamoja na Mwigizaji maarufu wa Bongo Movie, Rose Ndauka wamesema kuwa wamejiandaa vema kumsindikiza Mchekeshaji maarufu nchini, Emanuel Matebe a.k.a Mc Pilipili...
View ArticleMULTICHOICE TANZANIA YATOA MSAADA MSIMU WA KRISMASI KWENYE KITUO CHA KULELEA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania, Maharage Chande akimkabidhi mlezi wa kituo hicho mafuta ya kula. Wengine ni wafanyakazi wa Multichoice Tanzania na watatu kushoto ni Meneja Masoko wa...
View ArticleMAGAZETINI LEO DESEMBA 23, 2016; MRITHI WA LUBUVA NEC AFUNGUKA ... KIBANO...
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleTAASISI YA UTAFITI YA MAGONJWA YA BINADAMU KILIMANJARO (KCRI) YAWAKUMBUKA...
Wafanyakazi wa Taasisi ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu Kilimanjaro (KCRI) wakiwa katika picha ya pamoja na zawadi walizopeleka katika kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Upendo cha mjini Moshi....
View ArticleMPIGA PICHA MPOKI BUKUKU AFARIKI DUNIA LEO DEC 23, 2016
Mpiga picha maarufu Mpoki Bukuku amefariki dunia leo katika Taasisi ya Mifupa (MOI), alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI, KAMISHNA WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016Rais wa...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WAMTEMBELEA ASKOFU MKUU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo...
View ArticleTUME YA MIPANGO YATEMBELEA KIWANDA CHA VINYWAJI CHA AZAM
Wataalam kutoka Tume ya Mipango wakimsikiliza Meneja anayesimamia Ubora wa Bidhaa, Bibi Lilian Mwashigadi wakati wa ziara ya Tume ya Mipango katika kiwanda cha uzalishaji wa vinywaji kilichopo eneo la...
View ArticleMWENYEKITI MPYA WA NEC JAJI SEMISTOCLES KAIJAGE AANZA KAZI RASMI
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhan (kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jaji Semistocles...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI MHE YASEMIN ERALP
ia Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp walipokutana kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 20176Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
View ArticleTUMEPOTEZA NGUZO KATIKA TASNIA YA HABARI, MPOKI BUKUKU
Leo, kama ilivyo kwa wengine wengi, nimepokea kwa mshtuko mkubwa na kutoamini, kuhusiana na kifo cha ghafla cha mmoja wa wapigapicha waandamizi wa The Guardian Limited, Bw. Mpoki Bukuku (44),...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA ILALA, SOPHIA MJEMA AKABIDHI ZAWADI ZA KAPU LA SIKUKUU...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (katikati), akimkabidhi zawadi, Asha Soud ambaye ni mshindi la shindano la Kapu la Sikukuu Dar es Salaam leo, lililoendeshwa na Kampuni ya Multichoice Tanzania kwa...
View ArticleNDOA YA UPEPO YAFUNGWA TENA JIJINI MBEYA
Bwanaharusi Ndugu Samwel Makalobo akivishwa pete ya ndoa na Mke wake Given Mgaya katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Isanga jijini Mbeya .Picha na Keneth Ngelesi. JamiiMojaBlog, Mbeya.HATIMAYE lile...
View ArticleMAGAZETINI LEO DESEMBA 24, 2016; BANGI SASA YALIMWA MISITU YA HIFADHI ......
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleTIGO YAWAPIGA "TAFU" KITUO CHA MSAMARIA MWEMA FOUNDATION MKOANI KILIMANJARO
Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano TIGO Kanda ya Kaskazini Hendri Kinabo Kulia,akimkabidhi treyi la mayai ya kuangulia vifaranga kama sehemu ya msaada kwa Mwenyekiti wa kituo cha Msamaria Mwema...
View ArticleKANISA LA KKKT KIVULE DAR WAMPIGIA SALUTI YESU KRISTO IBADA YA KRISMASI
Wanakwaya wa Vijana ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Mtaa wa Kivule, wakimpigia saluti Yesu Kristo walipokuwa wakiimba wimbo wa kumsifu Yesu wakati wa Ibada ya Krismasi. Mchungaji wa...
View Article