Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 19891 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOMPYUTA ZA BAYPORT ZATINGA MKOANI MOROGORO

Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial Services, Ngula Cheyo, kushoto, akimkabidhi moja ya kompyuta sita zilizotolewa na Taasisi yao kwa ajili ya kuusaidia Mkoa wa Morogoro katika vifaa vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI LAMTIA MBARONI MTUHUMIWA WA UTAPELI

Na Dotto MwaibaleJESHI la Polisi nchini limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa wa utapeli anayejulikana kwa jina la Wilfred Masawe (36) , Kabila mchaga na mkazi wa Buza, Temeke jijini Dar es Salaam.Akitoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE YA ATCL KUPELEKA WANAMICHEZO WA TAASISI YA LOHANA MAHAJAN KISUMU NCHINI...

Mwenyekiti wa Taasisi ya Kidini ya Lohana Mahajan Bw.Navin Kanabal akitia saini katika moja ya nyaraka wakati taasisi hiyo ilipokabidhiwa tiketi za Shirika la Ndege la ATCL kwa ajili ya safari ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO DESEMBA 21, 2016; MABAKI YA FARU JOHN UTATA MTUPU ... LEMA...

 Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAFALI YA 28 YA SEKONDARI YA AL- HARAMAIN NA YA KWANZA KWA KWA CHUO CHA...

Vijana wa Madrasat Muhajrina ya Kinondoni wakiwaongoza wahitimu kwa kaswida, kuelekea kwenye viwanja vya mahafali, Sekondari na Chuo cha Ualimu cha Al Haramain jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Vijana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAAJIRI WAAGIZWA KUWASILISHA MAFAO YA FIDIA YA WAFANYAKAZI WAO KWA WAKATI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira na wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama, akikata utepe kuzindua rasmi utoaji wa Fidia kwa Wafanyakazi waliopatwa na madhara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAC HANDED-OVER 10 REFURBISHED CHILDREN'S BICYCLES TO PASADA

Yesterday, DAC handed-over 10 refurbished children's bicycles to PASADA which formed part of the assistance the club provided the organisation from the proceeds of the World Aids Day 2016 Charity Ride...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO YATAMBULISHA ZANA MPYA NA KUBORESHA ZANA YA TIGO PESA...

Mkuu wa Huduma za Kidijitali wa Tigo, Tawonga Mpore (kushoto), akizungumza Dar es Salaam leo, kuhusu kampuni hiyo kutambulisha zana mpya ya simu na kuboresha zana ya Tigo Pesa kwa watumiaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE OLE SENDEKA AANZA ZIARA YA UTAMBULISHO KWA...

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Njombe Dkt. Samwel Ndalio Thomas mara baada ya kuwasili Halmashauri hapo. Kulia kwake ni Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAANDISHI WA HABARI SHINYANGA WAPEWA MAFUNZO KUHUSU WATU WENYE UALBINO

Hapa ni katika ukumbi wa mikutano hotel ya Empire mjini Shinyanga ambapo leo Jumatano Desemba 21,2016 waandishi wa habari mkoani Shinyanga wamepewa mafunzo kuhusu masuala ya watu wenye ualbino.Mafunzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNICEF YAADHIMINISHA MIAKA 70 TANGU KUANZISHWA, SERIKALI YAIPONGEZA KWA...

Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) limeadhimisha miaka 70 tangu kuanzishwa (1946-2016) likiwa na kauli mbiu ya Kwa Kila Mtoto, Tumaini. Akizungumza katika maadhimisho hayo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO DESEMBA 22, 2016; MGEJA AMUOMBEA MSAMAHA LOWASSA ... POLISI...

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL, VETA KUWAFIKIA VIJANA WA VIJIJI VINAVYONUFAIAKA NA MRADI WA UMEME...

Diwani wa Bungu, Mhe. Ramadhan Mpendu (kushoto) akihamasisha wakazi wa Bungu kujiunga na VSOMO inayowezesha kutoa mafunzo ya ufunzi stadi kutoka VETA kwa njia ya simu za mikononi kwa kushirikiana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKUVI ATOA HATI 154 KWA WAKAZI WA BUNDA MKOANI MARA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimkabidhi Hati ya Kumiliki Ardhi Bibi Ester Lukondo mkazi wa Bunda Mkoani Mara, ambaye ni miongoni mwa wakazi 154 waliopelekewa Hati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE RITTA KABATI KUKARABATI SHULE YA MSINGI AZIMIO

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) wilaya ya iringa Abeid Kiponza,mbunge wa viti maalumu mkoani iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati na mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERI YA KUZALIWA WAZIRI MKUU MAJALIWA KHASIM MAJALIWA

Siku kama ya leo miaka 55 iliyopita, alizaliwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Khasim Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu wa 10. Kajunason Blog inakutakia maisha mema yenye baraka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MALAKA YA BANDARI YASHAURIWA KUITUPIA JICHO BANDARI NDOGO YA KILWA MASOKO

Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (mwenye kofia) akiambatana na timu ya ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Tume ya Mipango, watumishi wa Bandari ndogo ya Kilwa pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA AFYA APOKEA NYUMBA 20 ZA WATUMISHI WA AFYA ZILIZOJENGWA NA TAASISI...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati), hii leo akikata utepe kuashiria upokeaji wa nyumba 20 mkoani Mwanza, zilizojengwa na Taasisi ya Benjamini Mkapa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAYPORT YATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA HALMASHAURI YA ARUMERU

Mratibu wa Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya mikopo ya Bayport Financial Services, Mercy Mgongolwa (kushoto), akimkabidhi Ofisa Utumishi wa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Emelda Kisosi, kompyuta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KCB YATOA MSAADA WA MILIONI 48

Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha TFA Hogla Laizer (kulia) akikabidhi Msaada wa hundi ya shilingi milioni 48 kwa mkurugenzi wa shirika la Ereto East Africa foundation Godsave Ole Megiroo. Halfa ya...

View Article
Browsing all 19891 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>