BWANA HARUSI AINGIA MITINI MUDA MCHACHE KABLA YA NDOA JIJINI MBEYA
Samwel Mwakalobo Bwanaharusi ambaye ameingia mitini muda mchache kabla kuingia kanisani kufunga ndoa katika kanisa la K.K.K.T Isanga jijini Mbeya. Na JamiiMojaBlog, FahariNews.Mwisho wa mwaka 2016...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA NIMR DKT. MWELE MALECELA
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMAHAFALI YA TIA - 2016 DAR ES SALAAM YALIVYOFANA
Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa Naibu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Dk.Natu Mwamba hapa akisikiliza Risala toka kwa mkuu wa  mafunzo  alipokuwa akielezea kuhusu idadi ya wahitimu na...
View ArticleNAIBU WAZIRI MHE.POSSI ATEMBELEA VITUO NA SHULE ZINAZOHUDUMIA WATU WENYE...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga akizungumza wakati wa kikao cha kumkribisha Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi wakati wa ziara yake Mkoani hapo...
View ArticleTUME YA MIPANGO YASHAURI SEKTA BINAFSI KUCHANGAMKIA FURSA ZA MIKOPO
Kaimu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Bibi Florence Mwanri anayeongoza timu ya ukaguzi wa miradi kutoka Tume ya Mipango akielekea kukagua mradi wa ufugaji ngo’ombe na uzalishaji wa maziwa unaoendeshwa...
View ArticleMPOGOLO AKAGUA MALI ZA CCM MKOANI DODOMA
Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimpa maelezo Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo (Kulia), kuhusu jengo la ukumbi wa mikutano la CCM, lililopo Kilimani mjini Dodoma,...
View ArticleVIJANA 150 WAKUTANA KAHAMA KWENYE BONANZA LA MICHEZO LILILOANDALIWA NA AGPAHI
Vijana wanaotoka katika halmashauri za wilaya ya Kahama Mji,Ushetu,Msalala na Manispaa ya Shinyanga wamekutana katika bonanza la michezo lililoandaliwa na Shirika la Kitanzania lisilo la kiserikali la...
View ArticleKAMPUNI YA NAMAINGO KUGAWA SUNGURA 600 KWA WAJASIRIAMALI DAR
Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Biubwa Ibrahim (kulia0 na Meneja Mradi wa Sungura wa kampuni hiyo, Amos Misinde wakionesha kwa wanahabari, Dar es Salaam jana, baadhi ya sungura 600...
View ArticleTIMU YA KIJITONYAMA VETERANS WAFANYA MKUTANO WA KUPATA VIONGOZI WAPYA
TIMU ya Kijitinyama Veterans yenye maskani yake Kijitonyama, leo imefanya uchaguzi mkuu na kupata viongozi wapya wa kuingoza timu hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.Nafasi zilizokuwa zikigombewa ni...
View ArticleWAZIRI LUKUVI ATUA MKOANI MARA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiongea na wananchi walio na migogoro ya ardhi wakati wa ziara zake mikoani.Muonekano wa Halmashauri ya Musoma Mjini.Na Hassan...
View ArticleTUME YA MIPANGO YARIDHISHWA NA MPANGO WA KUBORESHA KIWANJA CHA NDEGE MTWARA...
Kaimu Katibu Mtendaji kutoka Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (aliyevaa suti) akiwa pamoja na maofisa wa mamlaka ya viwanja vya ndege na wa Tume ya Mipango wakielekea kukagua maeneo mbalimbali ya...
View ArticleMHE. DKT. POSSI AITAKA JAMII KUHESHIMU HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mhe. Selemani Mzee (wa kwanza kulia) wakati wa ziara yake katika shule ya...
View ArticleSUALA LA UKEKETAJI MKOANI MARA BADO NI PASUA KICHWA
Baadhi ya wasichana wakitoka kukeketwa wilayani Tarime mkoani Mara, kumbuka mwezi Disemba, kila baada ya miaka miwili, ni msimu wa ukeketaji na tohara kwa baadhi ya Koo za Wakurya.#BMGHabariPamoja na...
View ArticleKAMPUNI JUNACO YAZINDUA KIFAA CHA KISASA CHA KUZIMA MOTO DAR
George Michael Mtaalam kutoka kampuni inayotengeneza vifaa vya kuzima moto FirePro ya Cyprus akionyesha moja ya kifaa cha kuzima moto kinachoweza kufungwa katika mitambo mbalimbali chenye uwezo wa...
View ArticleCHUKUA TAHADHARI; PEPONI HATUENDI KWA MESEJI
Utasikia watu, eti, watumie watu 10 utaingia peponi. Au mambo yako yatakuwa mazuri, hivi mnadhani Pepo mchezo!Yohana mbatizaj aliishi hadi mapangon kwa kula asali na nzige kwa ajili ya kuitangaza...
View ArticleWAZIRI MKUU AUNDA TUME YA KUCHUNGUZA TAARIFA ZA UHAMISHO WA FARU JOHN, AAGIZA...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeunda tume kuchunguza taarifa inayoelezea utaratibu uliotumika kumhamisha faru John kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Sasakwa Black Rhino Sanctuary...
View ArticleMAKATIBU WAKUU WAKABIDHIANA OFISI JIJINI DAR
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof. Faustin Kamuzora (kushoto) akimkabidhi nyaraka za uendeshaji na usimamizi wa utumishi wa umma Dkt. Eng. Maria Sasabo...
View ArticleWAZIRI MWIGULU NCHEMBA AINGILIA KATI SAKATA LA MAUAJI YA WAKULIMA NA...
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba kushoto akiwa na Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Silvestry Koka wakizungumza jambo baada ya kulikagua gari ambalo lilikamatwa likiwa na wahamiaji haramu...
View ArticleZOEZI LA KUTOA ELIMU KWA ABIRIA PAMOJA NA UPIMAJI ULEVI KWA MADEREVA...
Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani SSP Nuru Suleiman akiwa katika kituo cha Kikuu cha mabasi yaendayo mkoania na nchi jirani, mkoani Arusha tayari kwa kutoa elimu kwa abiria na madereva leo 19...
View ArticleRAIS NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAPYA WA...
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mteule Mhe. Kisare Makori (kushoto) pamoja na viongozi wapya wa CCM aliowateua hivi karibuni. Kutoka kulia ni...
View Article