Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19859

TIGO YAWAPIGA "TAFU" KITUO CHA MSAMARIA MWEMA FOUNDATION MKOANI KILIMANJARO

$
0
0
Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano TIGO Kanda ya Kaskazini Hendri Kinabo Kulia,akimkabidhi treyi la mayai ya kuangulia vifaranga kama sehemu ya msaada kwa Mwenyekiti wa kituo cha Msamaria Mwema Foundation, Folkward Mapunda (kushoto),Hafla hiyo ilifanyika jana kituoni hapo.msaada huu unathamani ya milioni 7.9
Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano Tigo Kanda ya Kaskazini,Hendri Kinabo Kulia akimkabidhi mfuko wa chakula cha kuku mwenyekiti wa Kituo cha Msamaria Mwema Foundation Kilichopo Rau Manispaa ya Moshi ,Folkward Mapunda huku wa wafanyakazi wa Tigo wakishuhudia tukio hilo lilifanyika jana kituo hapo.
Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano Tigo Kanda ya Kaskazini, Hendri Kinabo (kulia) akimkabidhi mashine ya kuangulia vifaranga mwenyekiti wa Kituo cha Msamaria Mwema Foundation Kilichopo Rau Manispaa ya Moshi, Folkward Mapunda huku wa wafanyakazi wa Tigo wakishuhudia tukio hilo lilifanyika jana kituo hapo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19859


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>