Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 19886 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSPF YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA JESHI LA MAGEREZA UKONGA JIJINI DAR ES...

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (kushoto), akimkabidhi seemu ya vifaa vya michezo, Mkuu wa Kikosi Maalum cha Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es Salaam,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAWAWEZESHA MAWAKALA MKOANI ARUSHA KUKOPA NA KUONGEZAA MITAJI YAO

 Meneja wa kampuni ya Jumo Tanzania, Rweb Mutahaba akizungumza na Mawakala wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel mbinu za kukuza biashara na kuongeza mtaji kupitia huduma ya Airtel Timiza katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONI YA MSOMAJI; NINGEKUWA MIMI NI RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI.....

Sehemu ya kwanzaUKUTA NI MATOKEO YA UCHAGUZI ULIOPITA.Na Peter Sarungi (Next Speaker).Uchaguzi uliopita 2015 ulikuwa ni uchaguzi wa kihistori toka siasa ya vyama vingi ulipoanza nchini. Ulikuwa ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

U.S. ARMY AND NATIONAL GUARD TRAIN 50 TANZANIAN GAME SCOUTS

Major General Greg Lusk, Adjutant General for the North Carolina National Guard, speaking with U.S. Ambassador to Tanzania Mark Childress, Permanent Secretary of the Ministry of Natural Resources and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DADA MKALI WA KURUKA SARAKASI

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA UDALALI YA YONO YAINGIA MKATABA WA KIMATAIFA NA KAMPUNI YA BIDDERS...

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Yono Auction Mart & Co. Ltd, Scholastika Christian Kevela (kushoto), akiwaonesha waandishi wa habari Dar es Salaam leo (hawapo pichani), mkataba wa kimataifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI YATEMBELEA MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (DART)...

Mkurugenzi Mkuu wa Udart, David Mgwassa (katikati), akizungumza na wajumbe wa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) wakati wa ziara yao ya kutembelea mradi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA TUPAZE SAUTI KUKATAA MAANDAMANO YA SEPTEMBA MOSI – CHEYO

Mwenyekiti wa UDP Mh. John Cheyo akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kwenye ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO mapema leo jijini Dar, akiwaomba viongozi wa chama cha CHADEMA, Kusitisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU MKOA WA DAR, MAKONDA ATUMIWA BARUA YA WITO NA TUME YA HAKI ZA BINADAMU...

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANARIADHA SIMBU AREJEA NCHINI TANZANIA AKITOKEA KATIKA MASHINDANO YA...

 Mwanariadha wa mbio ndefu wa Tanzania Alphonce Felix Simbu (24) jana amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam akitokea nchini Brazil kwenye michuano ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE. LUKUVI AZINDUA RASMI MIRADI YA UPATIKANAJI WA PICHA ZA ANGA (BASEMAP) NA...

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mhe. William Lukuvi akizindua rasmi Miradi ya upatikanaji wa picha za anga (Basemap) na mfumo unganishi wa taarifa za Ardhi (ILMIS). Wanaoshuhudia pamoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO FIESTA YATIKISA MJI WA KAHAMA USIKU WA JANA

Msanii wa Bongofleva Baraka Da Prince akitumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta 2016 lililofanyika katika uwanja wa Taifa usiku wa jana Mjini Kahama na kuwakutanisha wasaniii wengine nguli hapa nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKALA WA VIPIMO WAWAPIGA MSASA WAKULIWA JUU YA MATUMIZI SAHIHI YA MIZANI

WAKULIMA WA KOROSHO KATIKA MKOA WA RUVUMA WAKIPATA ELIMU KUPITIA VIPEPERUSHI VILIVYO ANDALIWA NA WAKALA WA VIPIMO WAKATI WA ZOEZI LA UTOAJI ELIMU.MENEJA WA WAKALA WA VIPIMO MKOANI MTWARA AUGUSTINE...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO; MUUAJI POLISI NI KOMANDOO... VIGOGO CHADEMA WAKAMATWA

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMANDA SIRRO ATANGAZA KULA SAHANI MOJA NA WANANCHI WATAKAOANDAMANA SEPTEMBA...

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi (CP), Simon Sirro akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, wakati akitangaza kiama kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA AMSIMAMISHA KAZI AFISA MAENDELEO YA JAMII WA...

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Ndg. Athumani J. Kihamia amempuzisha kutekeleza majukumu yake Afisa Maendeleo ya Jamii wa Jiji Bi. Mwantumu Dosi kwa tuhuma za kushindwa kutekeleza majukumu yake hivyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS ILALA TALENT SHOW 2016 ILIVYOBAMBA NDANI YA HIGH SPIRIT - DAR ES SALAAM

Warembo 15 wanaowania taji la Miss Ilala 2016, usiku wa kuamkia leo walichuana vikali katika kutafuta mrembo mwenye kipaji ambapo warembo wote walishindana kwa kuonesha vipaji vyao vya ubunifu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO

Aliyekuwa mgombea wa UKAWA kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Waziri Mkuu wa zamani, Mhe. Edward Lowassa akiteta jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana mapema leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YATOA SARE YA 0-0 NA JKT RUVU

Meneja wa Simba Mussa Hassan Mgosi (kulia), akiteta jambo na Kiungo wa timu hiyo Mwinyi Kazimoto baada ya kuisha mechi yao dhidi ya Jkt Ruvu,katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchezo uliochezwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MISA YA JUBILEI YA DHAHABU (MIAKA 50) YA NDOA YA...

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipokea hati maalumu kutoka kwa Baba Mtakatifu Francis toka kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati...

View Article
Browsing all 19886 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>