RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU MPYA WA IDARA YA USALAMA
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis KapilimbaAmiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akimuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA CANADA,...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Canada Mhe Ian Myles Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleBARASS BINGWA AIRTEL RISING STARS MWANZA
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Dr. Leonard Masale (katikati) akimkabidhi kombe la ubingwa nahodha wa Barass Sports Centre baada ya timu hiyo kutwaa ubingwa wa Airtel Rising Stars mkoa wa Mwanza juzi....
View ArticleJENGO LA HOSPITALI LENYE THAMANI YA BILIONI 8.8 LAJENGWA JIJINI DAR
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul makonda leo ameonyesha picha za jengo kubwa la hospitali ya kinamama ambalo ujenzi wake tayari umeanza kwa msaada kutoka Serikali ya Korea Kusini na...
View ArticleTAARIFA YA NHC NAMNA INAVYOSAIDIA UPATIKANAJI WA NYUMBA ZA WATUMISHI WA...
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam kuhusu wadaiwa sugu wa pango katika shirika...
View ArticleMAGAZETINI LEO: LOWASSA ASEMA JINAMIZI LAKE LINAITESA CCM, MBOWE NAE KUFILISIWA
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMKUU WA MKOA WA SIMIYU ATOA UFAFANUZI SAHIHI WA TAARIFA KUHUSU WALIMU WAKUU...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthon Mtaka akizungumza na Maafisa Elimu na Viongozi wa CWT wa Mkoa huo katika kikao maalum cha kutoa ufafanuzi wa agizo lililotolewwa na Serikali Mkoani humo la kufanya...
View ArticleMHE. FREEMAN MBOWE AJIBU MKURUGENZI NHC KUHUSU MADAI YA KUDAIWA, ASEMA...
Nimepata taarifa ya mkutano wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Waandishi wa habari kuhusu kilichoitwa "wadaiwa sugu" wa NHC ambapo katika orodha hiyo kampuni ambayo nina hisa ya...
View ArticleFURAHIA BURUDANI YA LIGI YA BUNDERSLIGA, CHINA NA SERIE A KUPITIA STARTIMES...
Ni msimu wa Ligi kuu ya Ujerumani ijulikanayo kama Bundesliga inayotarajiwa kuanza tarehe 26 August 2016 kwa miamba ya Bayern Munich kukipiga na SV Werder Bremen.Burudani ya Michuano ya Ligi ya...
View ArticleWANAFUNZI WA UALIMU WALIOKOSA CHUO CHA UDOM WAPANGIWA VYUO VYA UALIMU VYA...
Na Lilian Lundo - MAELEZO, Dar es Salaam.SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewapangia vyuo wanafunzi wa programu maalum ya ualimu chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ambao hawakupata...
View ArticleHANDING OVER CEREMONY FOR AMBULANCE PROJECT AT MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL
Ambulances which were given to Muhimbili HospitalAmbassador of Japan, Yoshida handed over the keys to Minister for Health, Community Development, Gender, Elders and Children Hon. Ummy Mwalimu.Group...
View ArticleUMOJA WA WANAWAKE VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA WAPINGA MAANDAMANO YA...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania (UWASATA), Cecilia Augustino akifafanua jambo wakati alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kupinga...
View ArticleWABUNGE WA VYAMA VINNE WAKUBALI KURUDI BUNGENI DODOMA
Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI, James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya vyama vinne vyenye uwakilishi bungeni vitarejea bunge lijalo kutokana na ushauri wa viongozi wa dini...
View ArticleMIILI YA ASKARI WALIOUAWA NA MAJAMBAZI MBANDE-TEMEKE YAAGWA LEO JIJINI DAR ES...
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akipita kutoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yaliyobeba miili ya askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi katika eneo la Mbande,...
View ArticleMORO KIDS WASHINDA AIRTEL RISING STARS MOROGORO
Mshambuliaji wa timu ya Angrikana Saidi Mohamed akidhibitiwa kikamilifu na beki wa timu ya Moro Kids Ibrahim Yohana katika pambano la fainali ya Airtel Rising Stars iliyofanyika uwanja wa Jamhuri...
View ArticleCUF YA TANGANYIKA NA CUF YA ZANZIBAR!
Na Hamidu Bobali.Sikusudii kujibu mapigo lakini ni vyema kujikumbusha. Nimestaajabu sana kilichoandikwa na gazeti la Jambo Leo kuhusu hatma ya chama chetu, yakinukuliwa maelezo ya Naibu Katibu Mkuu...
View ArticleTIGO YAFUNGUA DUKA LA KISASA WILAYANI MASASI
Afisa tawala wa wilaya ya Masasi Lincoln Ben Tamba akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa duka la tigo wilaya ya Masasi mkoani Mtwara kwa lengo la kusogeza huduma karibu na wananchi kulia kwake ni...
View ArticleMAGAZETINI LEO; UKAWA, ACT WATAKA MAGUFULI AFUTE SIASA... LIPUMBA NA WENAKE...
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleJACQUELINE MENGI AUNGA MKONO JUHUDI ZA JPM KWA KUKARABATI NA KUNUNUA VITABU...
Mkurugenzi wa Dr.Ntuyabaliwe Foundation na Miss Tanzania 2000, Bi. Jacqueline Mengi (wa pili kushoto) akiwa ameongoza na Afisa Elimu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mapunda (kushoto), Diwani wa Kata...
View Article