GERALD HANDO AFUNGA NDOA NA MIRIAM KITENGE
Maharusi Gerald Hando na mkewe Miriam Kitenge wakiingia ukumbini.Mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Joto la Asubuhi katika Kituo cha Radio cha Efm, Gerald Hando amefunga ndoa juzi Jumamosi, Agosti 20,...
View ArticleWASSIRA AOMBA SERIKALI IZUNGUMZE NA CHADEMA YAISHE
Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Chakula na Kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wassira ameomba wasaidizi wa Rais John Magufuli kumshauri kufanya mazungumzo na viongozi wa upinzani ili...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY BLOGGER MC BARAKA
Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwangu, Aug 23. Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuishuhudia siku hii. Ni neema ambayo sistahili,Napaswa kutambua kwamba kila siku katika maisha yangu ni dhamana,...
View ArticleMAGAZETI LEO: OPERESHENI UKUTA YAHAMIA DODOMA, SERIKALI, UKUTA CHADEMA...
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMISS UNIVERSITY 2016 AT TCC CHANG'OMBE SEPTEMBER 3, 2016
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleHATI ZA VIWANJA VYA BAYPORT ZAENDELEA KUTOLEWA KWA WAHUSIKA
Afisa Sheria wa Bayport Financial Services, Mrisho Mohamed, katikati akimkabidhi hati mteja wao Mary Simon, baada ya kukamilisha taratibu za kupata kiwanja cha Vikuruti, vilivyopo Mlandizi, wilayani...
View ArticleTIGO YAANZISHA MKAKATI WA HUDUMA KWA JAMII NCHI NZIMA KATIKA MSIMU WA FIESTA...
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bwiru Mkoani Mwanza wakiwa wamekalia madawati 60 waliyopewa na kampuni ya Tigo, wakati wa hafla iliyofanyika jana. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela(wa tatu kulia) akimpa...
View ArticleNATAKA KURUDI UONGOZINI KUIONDOA CCM 2020 - PROF. LIPUMBA
#‎1. Aliyekuwa‬ Mwenyekiti wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba amesema hausiki na fujo wala vurugu zilizotokea ktk mkutano wa CUF na kuletea kusitishwa kwa mkutano huo.‪#‎2. Akijibu‬ maswali kadhaa ya...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA NCHI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Italia hapa nchini Roberto Mengoni Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Dkt. John Pombe...
View ArticleMKUU MPYA WA WILAYA YA ARUSHA MHE. GABRIEL DAQARRO AAPISHWA JIJINI ARUSHA
Mkuu wa wilaya ya Arusha, Mhe. Gabriel Fabian Daqarro akiapa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mrisho Gambo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha. Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. Mrisho Gambo akisaini...
View ArticleWAZIRI MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba(kushoto), akimsikiliza Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing (katikati), wakati wa mazungumzo juu ya masuala ya ushirikiano katika sekta ya...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Bibi Rachel Samren Naibu Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Millicom Group pia Mtendaji Mkuu wa Bodi ya...
View ArticleWAZIRI WA AFYA AZINDUA BODI MPYA YA UDHAMINI HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati), akizungumza na wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wakati akizindua bodi mpya ya udhamini wa...
View ArticleUKOSEFU WA MAARIFA YA VIPINDI VYA MABADILIKO YA MWILI KUNAATHIRI MAKUZI BORA...
Mwezeshaji Herman Mathias kutoka UNESCO akitoa somo kwa washiriki wa Shule za Sekondari Sengerema.Washiriki wakichangia mawazo na uzoefu wao kuhusu changamoto zinazowakabili.Kijarida kilichoandaliwa...
View ArticleAIRTEL MONEY YAGAWA BILLION 3 KWA WATEJA NA MAWAKALA
Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mpango wa kugawa gawio la faida ya shilingi billion 3 kwa wateja wa Airtel Money na mawakala...
View ArticleTIGO YAKABIDHI MADAWATI NDANI YA MSIMU WA FIESTA WILAYANI KAHAMA
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Ally Maswanya (kushoto) akimkabidhi madawati Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkulu kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa Halmashauri ya Kahama Mjini. Jumla ya madawati...
View ArticleJESHI LA POLISI LAHUSISHA TUKIO LA KUUAWA KWA POLISI MBANDE NA 'UKUTA'
Kamishna Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Nsato Marijan Mssanzya (CP), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu tukio la mauaji ya askari wanne katika Benki ya CRDB...
View ArticleAAR YATOA VIFAA VYA USAFI KWA MKOA WA DAR ES SALAAM
Meneja Masoko kampuni ya bima ya afya AAR Insurance Bi. Tabia Masoud akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam wakati akikabidhi vifaa vya usafi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,...
View ArticleKOREA KUSINI YATOA BILIONI NNE KUJENGA KITUO CHA TAARIFA KATIKA HIFADHI YA...
Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo kwa Afrika katika Bnge la Korea Kusini wakiwasili katika uwanja mdogo wa ndege uliopo katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Meneja Masoko wa Shirika la Hifadhi za...
View ArticleWATANZANIA WARAHISISHIWA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA TEKNOLOJIA
Pamoja na kuwepo kwa maendeleo ya kasi katika nyanja mbalimbali lakini sekta ya teknolojia inabaki kuwa moja ya njia ambayo imechangia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa mafanikio hayo kwa kurahisisha...
View Article