PSPF WASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA DUNIANI KWA...
 Afisa Muendeshaji wa Mfuko wa Pesheni wa mashirika ya uma PSPF Bw, Lule Kasembwe kushoto akitoa maelekezo kwa wazee waliojitokeza. Ofisa muendeshaji wa PSPF Hadji Jamadary kushoto akiwapatia maelezo...
View ArticleMCHEPUKO DILI AU SIYO DILI????: HOW MANY BOYFRIENDS CAN A GIRL HAVE?
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleSIMANZI NA MAJONZI; WATOTO WATATU WAFARIKI DUNIA KATIKA BWAWA LA KUOGELEA...
Na Saphina Joshua wa Kajunason Blog, Dar es Salaam. Simanzi na vilio jana vilitawala katika Mtaa wa Kijitonyama Mpakani A, baada ya watoto watatu wa familia jirani kufariki dunia baada ya kuzama katika...
View ArticleWAHARIRI NA WAANDISHI WA NEW HABARI WAPINGA VITENDO VYA UBAGUZI WA WACHEZAJI...
 NI MCHEZAJI WA BARCELONA ALIYERUSHIWA NDIZI NA KISHA AKAIOKOTA NA KUIMENYA NA KISHA KUILA.  Baadhi ya wahariri na waandishi wa Magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African, Mwani Nyangasa...
View ArticleWAJAWAZITO WALALAMIKIA RUSHWA KITUO CHA AFYA SIMAMBWE, MBEYA VIJIJINI
Na Mwandishi Wetu, Mbeya VijijiniBAADHI ya akinamama na wanakijiji wa baadhi ya vijiji vya Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wamewalalamikia wauguzi na wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya...
View ArticleMWENDELEZO WA PASAKA;MWANAMUZIKI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA APRIL 4 JIJINI MWANZA
MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope anatarajiwa kutua kwenye jiji la Mwanza a.k.a ROCKY CITY April 4,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Tamasha la Pasaka 2014Mwenyekiti wa...
View ArticleWAWILI MBARONI KWA KUKUTWA NA BANGI MWINGINE AKIMBIA NA KUACHA PIKIPIKI YAKE...
Na Saimeni Mgalula, MbeyaJeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili kwa kukutwa na bhangi katika matukio mawili tofauti katika tukio la kwanza jeshi hilo linamshikilia Victor George (38)...
View ArticleMAMIA WAJITOKEZA KATIKA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA ANGELLA MSANGI, MAREHEMU...
 Simanzi na Majonzi vilitanda leo Aprili 30, 2014 katika kijiji Cha Zinga, Bagamoyo Pwani wakati ndugu, jamaa na marafiki walipoungana kumsindikiza katika safari ya mwisho ya Mama yake Mzazi Mtangazaji...
View ArticleDIAMOND KUWASHA MOTO MTWARA MEI 2
Nyota wa muziki wa Bongo flava nchini anayepasua anga ya Afrika, Rais wa wasafi kama wengi wanavyomuita, Diamond Platnum, Dangote ameahidi makubwa kwa mashabiki wake wote wa Mkoa wa Mtwara kuhusu show...
View ArticleAIRTEL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA OFISI KWA SHULE YA MSINGI CHAU, CHALINZE
Airtel Afisa mauzo wa kanda ya Pwani William Mrocky akikabithi kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Chau Bwana Elvin Msangi msaada wa viti na meza kwaajili ya ofisi ya walimu wa shule ya msingi ya chau...
View ArticleBFT YAMPONGEZA MEMBE KWA KUWEZA KUENDELEZA MCHEZO WA NGUMU, TANZANIA
Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT) linatoa pongezi za dhati kwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Mh. Bernard Membe kwa hatua na jitihada alizozifanya za kutafua na kufanikisha kambi ya mazoezi kwa Timu...
View ArticleBARAZA LA WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PAKAZI (OSHA) LA ZINDULIWA JIJINI DAR
Naibu waziri wa kazi ajira Dr. Makongoro Mahanga akibadilishana mawazo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wausalama na Afya mahala pa kazi OSHA Dr. Akwilina Kayumba baada ya kuzindua Baraza la wafanya kazi...
View ArticleJHIKOMAN & AFRIKABISA BAND LIVE ON SAUTI ZA BUSARA 2014
Mwanamuziki Mkongwe wa Reggae Tanzania, Jhikoman & Afrikabisa Band Live on Sauti Za Busara Festival 2014. Huyu ni Mmoja kati ya wanamuziki wakubwa wa Muziki wa Reggae hapa nyumbani Tanzania pamoja...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI 'MEI MOSI' JIJINI DAR
Wafanyakazi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) wakiwa katika maandamano kuingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Maandamano hayo yalifanyika leo Mei 1, 2014 kuanzia Viwanja vya Mnazi Mmoja na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI SHEREHE ZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mwenge wa Uhuru wakati wa Sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge huo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini...
View Article