Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19865

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI 'MEI MOSI' JIJINI DAR

Wafanyakazi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) wakiwa katika maandamano kuingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Maandamano hayo yalifanyika leo Mei 1, 2014 kuanzia Viwanja vya Mnazi Mmoja na kumalizikia uwanja wa Uhuru. 
Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania wakiongoza maandamano kuingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Maandamano hayo yalifanyika leo Mei 1, 2014 kuanzia Viwanja vya Mnazi Mmoja na kumalizikia uwanja wa Uhuru. 
 Ujumbe wa NPC- KIUTA wakitoa ujumbe katika maandamano kuingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Maandamano hayo yalifanyika leo Mei 1, 2014 kuanzia Viwanja vya Mnazi Mmoja na kumalizikia uwanja wa Uhuru. 
Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi wa SUMATRA wakiwa katika maandamano kuingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Maandamano hayo yalifanyika leo Mei 1, 2014 kuanzia Viwanja vya Mnazi Mmoja na kumalizikia uwanja wa Uhuru. 

Wafanyakazi wa Twiga Chemical Industries (T) LTD, Tawi la TUICO wakiwa katika maandamano kuingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Maandamano hayo yalifanyika leo Mei 1, 2014 kuanzia Viwanja vya Mnazi Mmoja na kumalizikia uwanja wa Uhuru. 
 Wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakiwa katika maandamano kuingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Maandamano hayo yalifanyika leo Mei 1, 2014 kuanzia Viwanja vya Mnazi Mmoja na kumalizikia uwanja wa Uhuru. 
Wafanyakazi wa FIBUCA MAKAO MAKUU wakiwa katika maandamano kuingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Maandamano hayo yalifanyika leo Mei 1, 2014 kuanzia Viwanja vya Mnazi Mmoja na kumalizikia uwanja wa Uhuru. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19865

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>