Naibu waziri wa kazi ajira Dr. Makongoro Mahanga akibadilishana mawazo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wausalama na Afya mahala pa kazi OSHA Dr. Akwilina Kayumba baada ya kuzindua Baraza la wafanya kazi linaloshughulikia Usalama na Afya mahala pakazi kulia ni Katibu wa Baraza Renalda Damas aliye chaguliwa katika kikao cha baraza kilicho fanyika katika Hoteli ya Millennium Mjini Bagamoyo.
Naibu waziri wa kazi na ajira Dr Makongoro Mahanga akiwa anakaribishwa na Henry Mpande ambaye Mwenyekiti wa Hoteli ya kitalii ya Millennium iliyoko katika ufukwe wa Bahari ya Hindi mjini Bagamoyo Mkoa wa Pwani ambapo mkutano wa baraza la wakala wa usalama na afya katika mahala pakazi OSHA ulipofanyikia.
Wajumbe wa Baraza wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu waziri. Picha na Chris Mfinanga.