MSIMU MPYA WA MAISHA PLUS KUANZA LEO
Na Mwandishi WetuVipindi vya televisheni vya shindano la Maisha Plus kuanza kuonyeshwa leo usiku  katika kituo cha televisheni, TBC1.Akizungumza na wanahabari jijini Dar, Mratibu wa Mashindano hayo,...
View ArticleMUONEKANO WA UKUMBI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Muonekano wa ukumbi wa bunge ambako Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma ambamo Wajumbe wanakutana kujadili rasimu ya kanuni za Bunge Maalum za mwaka 2014 leoPicha na Muhidin Issa Michuzi...
View ArticleTIGO YADHAMNINI MAONYESHO YA HISANI YA BIDHAA ZA SANAA
Mke wa makamu wa Rais wa Tanzania mama Aisha Bilal akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Tigo kwenye maonyesho ya hisani ya bidhaa za sanaa, wanaoshuhudia meneja wa wateja maalum wa Tigo Bi....
View ArticleLG YAZINDUA JOKOFU LENYE UWEZO WA KUTUNZA UBARIDI KWA MUDA MREFU
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji bidhaa za LG, akiwa na Meneja Masoko wa LG, Shakti Vellu (kulia) pamoja na mfanyakazi wa kampuni hiyo wakizindua...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA UTOAJI WA TAARIFA ZA HAPO KWA HAPO KUPITIA SIMU YA...
Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Mwananchi, Francis Nanai akiwa na Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya simu ya Airtel Tanzania, Sunil Colaso wakati wa uzinduzi wa huduma ya kuwapasha habari wananchi kwa njia ya...
View ArticleMVUA YASABABISHA HUDUMA KUSIMAMISHWA KITUO CHA AFYA, SINZA PALESTINA,DAR
Mvua zinaendelea kunyesha sehemu mbalimbali za nchi bado zinaonekana kusumbua kwa baadhi ya maeneo hasa yaliyo mabondeni na sehemu ambazo mitaro yake ya maji haisafirishi maji vizuri,hii ni mchana wa...
View ArticleMAPACHA WATATU WAZALIWA HOSPITALI YA AICC, ARUSHA
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Elishilia Kaaya akiwa amebeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine ambao walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii...
View ArticleSHIGONGO AFAFANUA MADHARA YA UGONJWA WA INI
Shigongo akizungumza kwa masikitiko jinsi watu wengi walivyo kwenye hatari ya kufa kwa ugonjwa wa ini.…Akiwa na jopo la madaktari. Kushoto ni Dk. Mtebe Majigo, Mganga Mkuu wa Amana, Meshack Shing'wela...
View ArticleMANGULA AUNGURUMA KALENGA, IRINGA
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akisalimiana na viongozi wa CCM katika kata ya Mgama kijiji cha Mgama mara baada ya kuwasili kjijini hapo kwa ajili ya kufanya mkutano na wajumbe wa...
View ArticleMKAZI WA BUKOBA ASHINDA MILIONI 50 ZA AIRTEL 'MIMI NI BINGWA'
Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Jane Matinde(kulia)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa droo ya promosheni ya ‘Mimi ni Bingwa’ iliyochezeshwa Jumanne jioni katika ofisi za makao...
View ArticleMAMA SALMA MGENI RASMI HAFLA YA WANAWAKE MASHUHURI NCHINI
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kesho (Jumatano Machi 5, 2014) anaongoza hafla inayowakutanisha wanawake zaidi ya 250 kutoka kada mbalimbali wakiwemo wasomi, wake wa viongozi, wajasiriamali, wanasiasa...
View ArticleUSAHIHISHAJI WA MITIHANI SHULE ZA MSINGI KWA KUTUMIA KOMPYUTA WAPATAMAFANIKIO...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Bi. Theresia Mmbado akifunga mafunzo ya siku 3 ya matumizi ya Fomu za OMR kwa walimu wakuu 254 wa shule za Msingi za mkoa wa Dar es salaam yaliyofanyika katika...
View ArticleMZUNGU TAPELI ANASWA JIJINI DAR
 Kamanda Suleiman Kova  JAN ELOFF AKITOLEWA NJE YA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY KWA AJILI KUTAMBULIWA NA MWANAHABARI WETU JAN ELOFF AKIHOJIWA NDANI YA CHUMBA MAALUM KILICHOPO NDANI YA KITUO CHA POLISI...
View ArticleMSHINDI WA SHINDANO LA VIPAJI KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI KUJINYAKULIA MIL. 50
Muigizaji Rich Rich ambaye ni mmoja ya jaji katika shindano la kusaka vipaji vya uingizaji (Tanzania Movie Talent) akiongea na waandishi wa habari wakati wa kutangaza zawadi wa shindano hilo...
View ArticleOPERATION KOKORO YAVUNA WANACHAMA 1800 WILAYA YA MWANGA
Ziara ya Mwenyekiti wa Vijana Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro Komredi Japhar Mghamba akiongozana na Katibu Msaidizi wa Mkoa Maalum wa Vyuo Vikuu Komredi Daniel Zenda inaendelea kwa mafanikio...
View ArticleWATOTO WAWILI KATI YA MAPACHA WANNE WAMEFARIKI DUNIA, MBEYA
Na Joseph Mwaisango, MbeyaKATIKA hali ya kusikitisha Watoto wawili kati ya Wanne ambao ni mapacha waliozaliwa kwa pamoja na mwanamke Aida Nakawala Mkazi wa Kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoani...
View ArticleSERIKALI, UNDP, PATH WAKUBALIANA NJIA BORA YA KUKABILIANA NA MAGONJWAKATIKA...
Kaimu Mkurugenzi wa Kinga, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Neema Rusibayila, akifungua rasmi warsha ya mradi wa upatikanaji na utekelezaji wa pamoja kati ya Shirika la Maendeleo la Kimataifa...
View Article