UCHAGUZI TASWA WAIVA, 27 WAREJESHA FOMU YA KUGOMBEA NAFASI MBALI MBALI
Waombaji 27 kati ya 28 wamerejesha fomu kuomba kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) utakaofanyika...
View ArticleMABLOGGER SHAMIM MWASHA, JOHN BUKUKU NA CATHBERT KAJUNA KUNG'AA LEONDANI YA...
Usikose kuangalia kipindi cha 'The Mboni Show' kinachoruka leo Alhamis kuanzia saa 3 usiku ndani ya EATV, ambapo mablogger Shamim Mwasha wa 8020fashion blog (wa kwanza kulia), John Bukuku wa...
View ArticleSERIKALI YATANGAZA AJIRA KWA WALIMU WAPYA 36,071 WATAKAOANZA KAZI MWEZI MACHI
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamKATIKA kukabiliana na uhaba wa walimu nchini serikali imetangaza kuajiri walimu wapya 36,071 ambapo watapangiwa vituo vya kazi mwezi ujao.Hatua hiyo ni mikakati ya...
View Article'SERIKALI NDIYO MKOSAJI MKUU WA HAKI ZA BINADAMU'
Mjumbe wa Bodi ya Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu nchini (Tanzania Human Rights Defenders Coalition) Dkt. Hellen Kijo Bisimba akitoa neno la ufunguzi wakati wa warsha ya siku moja...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA MTAMBO WA KUHAKIKI TAKWIMU ZA MAWASILIANO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Mtambo wa Kuhakiki Takwimu za Mawasiliano (Telecommunication Traffic Monitoring System) leo February 27, 2014 katika jengo la Mawasiliano Towers...
View ArticleRASILIMALI ZOTE ZINAZOPATIKANA WILAYA YA KILWA ZINATUMIKAKULETAMAENDELEO -...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Bw. Adoh Mapunda (katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu namna wilaya hiyo inavyoendelea kuboresha huduma za jamii kwa kutumia...
View ArticleRAIS KIKWETE AUNGANA NA JUMUIYA YA CHUO KIKUU KUTOA HESHIMA ZA MWISHOKWA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipowasili kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika...
View ArticleWAKAZI WA MANISPAA YA IRINGA KUNUFAIKA NA MAJI SAFI
Mhandisi wa maji wa Manispaa ya Iringa, Taphali Ngwada (Kulia) akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya mradi wa maji unaolenga kuzifikia zaidi ya kaya 5000 za manispaa hiyo wakati wa ukaguzi uliofanywa na...
View ArticleWAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WAPINGA UPIGAJI WA KURA ZA SIRI
Wajumbe wa Bunge maalumu la katiba wameendelea kujadili rasimu ya kanuni zitakazo waongoza katika mjadala wa kujadili rasimu ya pili ya mabadiliko ya katiba ambapo suala la upigaji wa kura limekuwa...
View ArticleDODOMA MJINI WAPATIWA ELIMU YA VIRUTUBISHI
Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini, Bwana Lephy Gembe akiwasili katika kata ya Mpunguzi katika shughuli za uhamasishaji wa kutumia vyakula vyenye virutubushi ambao unafanywa na USAID kupitia mradi wake wa...
View ArticleSHY-ROSE AIOMBA SERIKALI YA TANZANIA KUWEZESHA WATANZANIA WAIFAHAMU EAC NA...
Katibu wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Shy-Rose Bhanji (pichani) amerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 ya Wabunge wa EALA nchini Kenya na hicho ndicho alichokisema kwa...
View ArticleRADIO UHURU WALIVYO UAGA MWAKA 2013 KWA RAHA ZAO
Usiku wa kuamkia leo, wafanyakazi wa Uhuru FM, Redio ya wananchi waliamua kujiachia kivyao vyao katika Bonge la tafrija la kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya. Tafrija hiyo iliyoongozwa na...
View ArticleMJADALA KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII KUTOKA JAMII PRODUCTION
Karibu katika kipindi hiki cha kwanza cha moja kwa moja (Live) kilichorushwa toka studio zetu za Washington DCKatika kipindi hiki, mjadala ulikuwa juu ya MITANDAO YA KIJAMII.Washiriki walikuwa Prof...
View ArticleMSANII LINNAH SANGA AAMUUA KUMUWEKA WAZI MPENZI WAKE
Msanii wa kizazi kipya Linnah Sanga hatimaye ameamua kuweka wazi mpenzi wake katika ukurasa wake wa Istagram.Haya ndiyo maneno aliyoyaandika msanii huyu.Hii ni baada ya kuzushiwa maneno mengi kuwa...
View ArticleTASWA YAPATA VIONGOZI WAPYA
Safu mpya ya Viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) waliochaguliwa hii leo.---Na Mwandishi wetuJUMA Abbas Pinto amefanikiwa kutetea nafasi yake ya Uenyekiti wa Chama cha...
View ArticleBABY BOY ARUDI NA ‘FUNGA MKANDA’ CHINI YA FLEXIBLE MUSIC
Moja kati ya msanii anayefanya muziki wa bongo fleva Edson Wilison a.k.a Baby boy ambaye alipotea kwenye game ya muziki,sasa amerudi kwa kishindo kikali.Baby boy ambaye alipotea kwa kipindi kirefu,...
View ArticleMWANDISHI SALUM MKAMBALA APATA AJALI, ALAZWA MOI
Mwandishi a Kituo cha Channel Ten cha jijini Dar es Salaam, Salum Mkambala amepata ajali ya gari na kuvunjika mguu na mkono wake wa kulia.Taarifa zilizofikia dawati letu la habari zinasema kuwa ajali...
View ArticleMAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA ATINGA KALENGA, IRINGA KURATIBU UCHAGUZI CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Iringa Vijijini Mama Delfina Mtavilalu mara baada ya kuwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Iringa ambapo alipokelewa...
View ArticleSERIKALI IMEAHIDI KUSOMESHA WANAFUNZI 20 KATIKA CHUO CHA STEMUCO, MTWARA
Serikali imeahidi kuangalia uwezekano wa kuwafadhili wanafunzi wapatao 20 kutoka katika mikoa ya Lindi na Mtwara wanaosoma katika chuo kikuu kishiriki cha Stella Maris kilichopo mkoani Mtwara (STEMUCO)...
View ArticleMAKAMANDA 16 WA UVCCM MKOA WA SINGIDA WASIMIKWA
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) ambae pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba Ndugu Paul Makonda amefanya ziara ya kikazi...
View Article