SIMBA YA PABLO UNAGUSA UNAACHIA, MWANZA KUNOGA NOVEMBER 19, 2021
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
View ArticleBALOZI MULAMULA AMPOKEA MJUMBE MAALUM WA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA
Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza anayeshugulikia masuala ya biashara Tanzania Bw. Lord Walney akimsikilza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata...
View ArticleRAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA MAENDELEO SERA NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Sera na Ubia katika Benki ya Dunia (WB) Prof. Mari Pangestu, wakati Mkurugenzi Pangestu...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAWEKEZAJI JIJINI DARBAN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Kiongozi Mkuu ya Kampuni ya Elsewedy.Mhandisi Ahmed...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NA UJUMBE WAKE WAWASILI MKOANI GEITA, WAZURU KABURI LA...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo akipokelewa Chato, mkoani Geita kwa heshima ya Chama na Vijana wa Chipukizi akiwa ameambatana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu...
View ArticleRais Samia Ahutubia Maadhimisho Ya Miaka 50 Ya Hospitali Ya Bugando Jijini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi huduma ya MRI katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba,...
View ArticleDC MOYO AIPONGEZA ASASI YA LION LANDSCAPES KUTOA KADI ZA BIMA KWA KAYA 138...
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Moyo akiwa na afisa mahusiano ya jamii Wiston Kandamo wakiwa kwenye moja ya mawadati yaliyotolewa na Asasi ya Kiraia ya Utafiti na Uhifadhi wa wanyamapori ya Lion...
View ArticleSERIKALI KUENDELEA KUFUNGUA FURSA KWA WANAWAKE – NAIBU WAZIRI KATAMBI
Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer akieleza jambo washiriki mara baada ya kumaliza mkutano uliofanyika Novemba 17, 2021 Jijini Dar es Salaam.Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu...
View ArticleUCHIMBAJI SALAMA WA MADINI UWE AJENDA KATIKA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI...
Waziri wa Madini, Doto Biteko akiangalia shimo ambako wachimbaji madini wanaingia kwaajili ya kuchimba madini.Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza na wachimbaji madini mara baada alipotembelea...
View ArticleNimeridhishwa Na Ujenzi Wa Madarasa Mkoa Wa Kilimanjaro
Na Angela Msimbira, MwangaWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Ummy Mwalimu amesema kuwa ameridhishwa na ujenzi wa madarasa katika Mkoa wa Kilimanjaro na kuamini kuwa...
View ArticleJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MJUMBE WA BODI UNESCO
Samwel Shelukindo, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye UNESCO, akiwa kwenye picha ya pamoja na Prof. Hamisi Malebo, Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya UNESCO...
View ArticleMAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDARI SINGAPORE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea maelezo kutoka kwa meneja chapa wa mamlaka ya bandari ya Singapore bwana Eugene Tay namna banadari hiyo inavyotumia...
View ArticleMKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA DUNIA AKUTANA NA JAJI MKUU
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia, anayeshughulikia Maendeleo ya Kisera na Ushirikiano, Bi. Mari Pangestu. Bi Pangestu...
View ArticleRAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MJUMBE MAALUM WA MASUALA YA BIASHARA WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe. Boris Johnson, anyeshugulikia masuala ya Biashara kati ya Uingereza na...
View ArticleRC KUNENGE-WATENDAJI WATAKAOKUWA SEHEMU YA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI...
MKUU wa mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge akizungumza wakati wa mkutano wa mashauriano kuhusu Mpango wa kukabiliana na migogoro baina ya wafugaji na watumiaji wa wengine wa ardhi.mbunge wa Jimbo la...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza Mgeni wake Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Nabil Hajlaoui wakati wa mazungumzo yao alipofika...
View ArticleWABUNGE VINARA WA USALAMA WA CHAKULA KUPELEKA MAPENDEKEZO BUNGENI
Katibu wa Kikundi cha Wabunge Vinara wa Usalama wa Chakula, Mhe Salome Makamba kushoto akiwa na wabunge vinara wa usalama na chakula wakati mkutano wa Siku mbili wa Wadau wa LisheNA OSCAR ASSENGA,...
View ArticleWAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO KAZI WA KITAIFA WA LISHE WA MIAKA MITANO
WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa akizindua Mpango Kazi wa Kitaifa wa Lishe wa Kitaifa wa miaka mitano (NMNAP II) na kutoa wito kwa watafiti kuanzisha tafiti za chakula na lishe zenye lengo la kupunguza...
View ArticleDED Kibaha Awapongeza Bodi Ya Maji Wami Kwa Kutoa Elimu Endelevu Katika...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Kibaha Butamo Ndalahwa akizungumza na waandishi habari kuhusiana hali ya maji katika mto Ruvu.Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Roiner Ilomo...
View ArticleMAJUMUISHO 12 YAKIFANYIWA KAZI TOFAUTI ZA KIJINSIA KATIKA KUHIFADHI MISITU YA...
Mtafiti na Mtaalamu wa Masuala ya Jinsia kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Profesa John Jeckoniah akizungumza jana na waandishi wa habari ambao wapo katika ziara ya kujifunza kuhusu...
View Article