Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 19904 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAMTEUA EMMANUEL SHANGAI KUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA NGORONGORO

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalum Jumapili 7 Novemba, 2021 Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA HABARI ZANZIBAR TABIA MWITA ATOA UFAFANUZI KUHUSU FEDHA ZA MKOPO...

Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita, akizungumza na Waandishi wa habari juu ya ufafanuzi wa Fedha za Mkopo kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), zinazotarajiwa kutumika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR AMEKUTANA NA MUIGIZAJI WA FILAMU ZA KIHINDI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha Mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIFAA VYENYE THAMANI YA SH. 100 MILIONI VYACHANGISHWA HANANG WIKI YA MAENDELEO

Mkuu wa Mkoa Manyara Makongoro Nyerere (kulia) akimpongeza Mkuu wa Wilaya ya Hanang Janeth Mayanja kwa kazi nzuri ya kuhamasisha maendeleo kwenye wilaya hiyo.Viongozi wakiwa meza kuu wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILIONI 18 KUANZA UJENZI WA BARABARA 3 GEITA

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule, akifungua Semina ya mafunzo kwa wadau wa usafirishaji (hawapo pichani), kuhusu Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya Afrika Mashariki ya mwaka 2016 na kanuni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIMU BADO NI TATIZO SHULE YA MSINGI BUTAINAMWA

Pichani ni sehemu ya Zawadi zilizotolewa na Wananchi wa Kijiji Butainamwa Kama shukrani zao kwa Wafadhili kwa kuwajengea Shule Mpya. (Picha zote na Dulla Uwezo)Na Abdullatif Yunus - Michuzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA DUNIA YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA TANZANIA...

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya ujumbe wa Benki ya Dunia kutoka makao makuu ya benki hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCAA YAADHIMISHA MWAKA WA UTAMADUNI WA USALAMA WA USAFIRI WA ANGA

Waziri wa Ujenzi na uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akizungumza katika uzinduzi wa mwaka wa Utamaduni wa Usalama wa Usafiri wa Anga (YEAR OF SECURITY CULTURE - 2021 ) iliyofanyika Makao makuu ya Mamlaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Rais Samia aanza ziara ya Kiserikali ya siku 3 Nchini Misri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi wakikagua gwaride maalum la Jeshi la Misri baada ya Rais Samia kuwasili Ikulu Cairo nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA TANGA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WAFANYABIASHARA SITA KWA KOSA LA KUKWEPA...

Afisa Sheria kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania Octavian Joseph Chenje akizungumza na waandishi wa habariAfisa Kodi na Msimamizi wa Kitengo cha Mashine za EFD Mkoa wa Tanga Teofil akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AWASILI SINGAPORE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Singapore Mhe.Teo Sieng Seng mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI KATAMBI AIPONGEZA PSSSF KWA KURAHISISHA UTOAJI HUDUMA KIDIGITALI

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira), Mhe. Patrobas Katambi (katikati) akizungumza wakati alipotembelea banda la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY ATEMBELEA MIRADI ILIYOTEKELEZWA KWA FEDHA ZA MKOPO KUTOKA BENKI...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais OR-TAMISEMI Mhe.Ummy Mwalimu (Mb) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Maendeleo, Sera na Mahusiano Bibi Mari Pangestu kutoka Makao Makuu ya Benki ya Dunia(Washington DC), Marekani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCC KUADHIMISHA MIAKA 60 YA BIASHARA NCHINI TANZANIA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Michal Bachan akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa kutangaza kuadhimisha miaka 60 ya utendaji wake nchini kwa mafanikio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ATEMBELEA MITAMBO YA UZALISHAJI MAJI RUVU JUU NA RUVU CHINI

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja kuhusu kiwango cha maji cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAR MABINGWA CRDB BANK TAIFA CUP 2021

Wachezaji wa timu ya kikapu Mkoa wa Dar es Salaam wakifurahi baada ya timu hiyo kuibuka washindi wa Kitaifa wa mashindano ya CRDB Taifa Cup 2021 yaliyofanyika Jijini Dodoma kwa kuwashinda timu ya Mkoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Na AmiriJeshi Mkuu Mhe. Samia Afungua Mkutano Wa Tano Makamanda Wa JWTZ

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Makamanda wa JWTZ alipowasili katika kambi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MKUU WA SINGAPORE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akimkabidhi zawadi ya picha yenye mchoro wa Mlima Kilimanjaro Naibu Waziri Mkuu wa Singapore Mhe. Heng Swee Keat mara baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHUSUSIANO WA KIMATAIFA NI KIPAUMBELE CHA RAIS SAMIA -MAJALIWA

*Lengo ni kukuza uchumi na uwekezaji nchiniWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuboresha uhusiano wa kimataifa ili kuchochea uwekezaji na kukuza uchumi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO MAGAZETI LEO MAGAZETI LEO

Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG

View Article
Browsing all 19904 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>