Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19811

WAZIRI WA HABARI ZANZIBAR TABIA MWITA ATOA UFAFANUZI KUHUSU FEDHA ZA MKOPO KUTOKA IMF

$
0
0
Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita, akizungumza na Waandishi wa habari juu ya ufafanuzi wa Fedha za Mkopo kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), zinazotarajiwa kutumika katika Wizara yake, Hafla iliyofanyika Ukumbi wa Wizara hiyo Migombani Mjini Zanzibar.


Picha Na Maryam Kidiko / Maelezo Zanzibar

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19811

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>