TANZANIA KUSHIRIKIANA NA NCHI WANACHAMA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KATIKA...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akitazama dawa zilizotengenezwa kwa ajili ya kujikinga na mbu katika maonyesho yaliyofanyika wakati wa Uzinduzi Mpango wa Kukabiliana an Ugonjwa wa Malaria kwa...
View ArticleWIZARA YA AFYA, NTLP, KNVC KUJA NA MPANGO WAKUPUNGUZA VIFO VYA TB
Na WAMJW-ArushaWizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto kupitia Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Kifua Kikuu na ukoma (NTLP) kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la KNCV, wamezindua...
View ArticleWANAOAJIRIWA SERIKALINI NI LAZIMA KUPATA MAFUNZO CHUO CHA UTUMISHI KABLA YA...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akionyesha baadhi ya nyenzo zitakazotumiwa na Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utumishi wa...
View ArticleRAIS SAMIA AWATUNUKU CHETI NA NISHANI YA 'MEDAL OF GOLD' DKT GWAJIMA NA DKT....
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akipokea cheti na Nishani ya kutambua mchango wake katika uongozi kutoka kwa Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania Bi....
View ArticleCCM YAZITAKA HALMASHAURI KUWATUMIA UVCCM KUHARAKISHA UJENZI WA MIRADI YA...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo ameshauri uongozi wa halmashauri nchini kuhamasisha vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM na vijana wengine wazalendo kujitoa na kushiriki...
View ArticleZAIDI YA HEKTA 469,000 ZA MISITU HUPOTEA KILA MWAKA NCHINI
AFISA Misitu Mkuu Emanuel Msofe akizungumza wakati wa warsha ya kutambulisha mradi wa FORVAC kwa viongozi wapya walioteuliwa hivi karibuni iliyofanyika Jijini Tanga ambapo alisema kwa sasa zipo njia...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR MHE. DK. HUSSEIN ALI MWINYI AAPONGEZWA KWA KUFIKISHA MWAKA...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Cheti Maalum cha pongezi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg.Abdulmajid Nsekela na (kushoto kwa...
View ArticleUsambazaji Gesi Majumbani Iwe Ni Kipaumbele-PAC
Baadhi ya mitambo ya kuchakata Gesi ya Madimba mkoani Mtwara.Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakiwa katika mitambo ya kuchakata Gesi ya Madimba mkoani Mtwara....
View ArticleWAZIRI BASHUNGWA APONGEZA UBUNIFU WA DKT. ABBASI
Na Adeladius Makwega Dodoma-WUSM.WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo (WUSM) Mhe. Innocent Bashungwa amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha wanatimiza malengo ya Serikali...
View ArticleBILIONI 5.7 KUTUMIKA KUANZISHA KITUO CHA MAFUNZO YA UPIMAJI NA RAMANI NCHINI
Mratibu wa Mradi wa uanzishwaji kituo cha Mafunzo ya upimaji na Ramani nchini Tanzania Dkt Eric Mwaikambo (Kushoto) akisisitiza jambo wakati ujumbe wa Kampuni ya Hojung Solution Co. Ltd ya Korea Kusini...
View ArticleMtambo Wa Kuvuna Maji Lita Milioni Moja Kwa Saa Wakamatwa
Afisa Maji Msaidizi wa Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu Halima Faraji akiwa katika mtambo wa uvunaji maji akiwa na msimamizi wa shamba katika ukaguzi uliofanywa na maafisa Bonde hilo.Afisa Maji wa Bodi...
View ArticleKAMISHNA JENERALI DCEA AKABIDHI VIFAA, METHADON KITUO CHA WARAIBU GEREZA LA...
Na Said Mwishehe, Michuzi TVMAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekabidhi vifaa katika Kliniki ndogo kwa ajili ya kutoa matibabu kwa waraibu wa dawa za kulevya katika Gereza la...
View ArticleWADAU WA SANAA WAPONGEZA SERIKALI
ADELADIUS MAKWEGA,DSM-WUSM.Wadau kadhaa wa Utamaduni Sanaa na Michezo wa lioshiriki katika hafla ya mambo makubwa sita ya WUSM iliyofanyika Dar es Salaam Novemba 22, 2021 wametoa pongezi kwa serikali...
View ArticleMBUNGE NEEMA LUGANGIRA AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA NAMNA ALIVYOIBEBA AGENDA YA...
MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Kundi la Asasi za Kiraia Tanzania Bara (NGOs) Neema Lugangira wa pili kutoka kushoto akiwa kwenye studio za kituo cha TV cha Azam TVNA MWANDISHI WETU, DAR.MBUNGE wa Viti...
View ArticleRAIS SAMIA AFUNGUA MAADHIMISHO YA WIKI YA USALAMA BARABARANI JIJINI ARUSHA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani...
View ArticleUZINDUZI WA NYUMBA ZA VIJIJI ZA WANANCHI WALIOATHIRIKA NA MVUA ZA MASIKA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika na Mvua za masika mwaka 2017, hafla...
View Article3-5 December - Celebrate & Discover What Makes Africa Beautiful
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMKUTANO WA MAAFISA WANANDHIMU, WAKUU WA USALAMA BARABARANI NA WAHASIBU WA POLISI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Christopher Kadio akisalimiana na Maofisa Wakuu wa Polisi kabla ya kufungua Mkutano wa Maafisa Wanadhimu wa mikoa, Wakuu wa Usalama barabarani wa...
View ArticleAMANI,UMOJA,MARIDHIANO NA MAZINGINGIRA BORA NI DHIMA YA KILA MMOJA WETU...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, akizungumza na viongozi wa ngazi za mikoa, wilaya na Idara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kikao chake cha...
View ArticleTBS YATOA MAFUNZO YA SUMUKUVU KWA WADAU WA MAZAO YA MAHINDI NA KARANGA...
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto ndugu Mbaraka Alhaji Batenga akifungua mafunzo ya udhibiti wa sumukuvu kwa wafanyabiashara, wasafirishaji na wasindikaji wa mahindi na karanga. Mwakilishi wa Mkurugenzi mkuu wa...
View Article