TUME YA MIPANGO YATEMBELEA UJENZI WA KITUO CHA KUZALISHA UMEME KINYEREZI II
Na Adili Mhina, DarTimu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Tume ya Mipango imetembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme cha Kinyerezi II kwa lengo la kuangalia maendeleo ya kituo...
View ArticleTAMWA WAPOKEA MALALAMIKO KUTOKA KWA MAKUNDI MAALUM YALIYOSHIRIKI UCHAGUZI...
Baadhi ya washiriki walikuwa wakijadili ripoti ya tathmini ya jinsi vyombo vya habari (televisheni, magazeti na redio) vilivyoripoti habari zao wakati wakitia nia na kugombea nafasi mbalimbali katika...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MSIBA WA MZEE MAARUFU WA CHATO ADMIRABILIS MBABE...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Bi Mugwe Mbabe ambaye ni Mke mkubwa wa Marehemu Mzee Maarufu Admirabilis Mbabe Manyama (82) mara baada ya kuwasili nyumbani...
View ArticleBARUA YA BOSI ILIBADILI FIKRA ZANGU KUHUSU PESA KATIKA DAKIKA ZA MWISHO ZA...
Duna Lawrence (78) ni raia wa Togo ambaye alijitosa kwenda nchini Ujerumani kutafuta maisha mwanzoni mwa miaka ya 80. Baada ya kufika huko, alipata kazi, akawa muaminifu kwa Bosi wake ili aweze kupata...
View ArticleTAASISI YA MO DEWJI YATOA ZAWADI KITUO CHA TUMAINI LA MAISHA
Taasisi ya MO Dewji Foundation imeweza kuwakumbuka watoto wanaopatiwa matibabu ya magonjwa ya kansa katika kituo cha Tumaini la Maisha kilichopo ndani ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar es...
View ArticleAIRTEL, TFF KUENDESHA KLINIKI YA AIRTEL RISING STARS
Kampuni ya simu za mikononi ya Airtel Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) itaendesha kliniki ya soka kwa vijana waliong’ara wakati wa michuano ya vijana wenye umri...
View ArticleMBUNGE MUSSA WA JIMBO LA TANGA AWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA WANANCHI WA JIMBO...
Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF) Mussa Mbaruku amewatakia heri ya sikukuu ya mwaka mpya wakazi wa Jimbo lake na kuwataka wajitume zaidi ili kuweza kupata mafanikio.Akitoa salamu hizo kwenye ofisi yake...
View ArticleKATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKAGUA UJENZI WA MIFUMO YA MAJI TAKA
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora (kulia) akimsikiliza Diwani wa Kata ya Buguruni Mhe. Adam Fugame (Kushoto) wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua ujenzi wa mfereji wa maji taka...
View ArticleTAMKO LA NDG. KABWE ZUBERI RUYAGWA ZITTO KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
Ndugu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa ibara ya 132(4) na (5) na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Sheria namba 13 ya mwaka 1995 inataka viongozi wote wa umma kujaza fomu za Tamko la Rasilimali...
View ArticleMBUNGE MUSSA WA JIMBO TANGA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA WAKULIMA JIMBONI KWAKE
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku kulia akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kikundi cha Golani Shutashuta,Saidi Bakari wakati alipokwenda akikagua mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji eneo la Golani...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA KUHUSU MWANDISHI WA HABARI KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA AGIZO...
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Fadhili Nkurlu, waandishi wa habari na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Kahama wakiwa katika kikao cha usuluhishiWaandishi wa habari wakiwa...
View ArticleCHINA ANNOUNCES 2017 TIMELINE FOR DOMESTIC IVORY BAN
A shop assistant arranges a carved ivory tusk in the window of a store in Hong Kong on Oct. 15, 2015 (Simon Denyer/The Washington Post)---BEIJING (30 December 2016) — The end of the world’s largest...
View ArticleMNYIKA APINGA ONGEZEKO LA BEI YA UMEME 8.5%
 Napinga ongezeko la bei ya umeme 8.5% lililotangazwa na EWURA kwa kuwa ni mzigo kwa wananchi na uchumi wa nchi na sababu zilizotolewa hazina msingi.Namtaka Waziri Muhongo atengue uamuzi huo mbovu kama...
View ArticleTUTUMIE GHARAMA KUBWA KATIKA KUSAIDIA MAENDELEO NA MAISHA YA WALIO HAI
Wabongo mtu akiwa anaumwa au kupata tatizo ambalo linahitaji hela, faraja au vyote ili awe sawa huwa tunaficha au kuuchubua au tunauchuna.Ila akishakufa tu, utaona hata uliyekuwa unamdai nae atakupa...
View ArticlePROFESSA J AMVISHA PETE YA UCHUMBA MPENZI WAKE
Mbunge wa Jimbo la Mikumi ambaye pia ni msanii mkongwe wa Muziki wa Bongo Flava, Joseph Haule ‘Professa J’ (aliyepiga magoti) leo amefunga mwaka 2016 kwa kumvalisha pete ya uchumba mke wake mtarajiwa...
View ArticleSALAMU ZA MWAKA MPYA 2017 KUTOKA KWA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA MWAKA MPYA KATIKA KANISA KUU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Desiderius Rwoma mara baada ya kuwasili katika Kanisa Kuu la Jimbo katoliki Bukoba...
View ArticlePAPA FRANCIS KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 500 YA KANISA LA KILUTHERI
Papa Francis.Mwinjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kivule, Ukonga Dar es Salaam Michael Mgaya (wa pili kushoto) akiwa na wazee wa kanisa hilo baada ya kumalizika kwa...
View ArticleTAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE OFISI YA MBUNGE JIMBO LA MIKUMI
Mkulima mmoja aitwaye OMARY SULULU mapema Leo tar 1 January 2017 ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa na panga kichwani na mfugaji kwenye kijiji cha MAMOYO kata Ya MABWEREBWERE Jimbo La...
View ArticleCHEKA UNENEPE; 2016 NENDA BABA TUNASHUKURU KWA YOTE
1. Yametumbuliwa majipu mpaka chunusi nenda baba.2. Umefanya kabeji iwe nyingi kuliko nyama siku ya Christmas nenda baba3. Umefanya tujue kulikuwa faru John na faru Khadija yatosha baba.4. Ajira...
View Article