WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA MWAKA MPYA...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa Mhe. Edward Lowassa akizungumza na waumini wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Monduli Arusha katika misa maalamu ya mwaka mpya 2017 ambapo...
View ArticleNAIBU SPIKA AONGOZA MKESHA MKUBWA WA KITAIFA 2017 KWA NIABA YA RAIS DKT....
Naibu Spika wa Bunge, Dk.Tulia Akson, akipeperusha bendera ya Taifa wakati wa mkesha mkubwa wa kitaifa wa dua maalumu uliofanyika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam jana. Dk.Akson alimwakilisha Rais Dk.John...
View ArticleBABA RAIS DKT. MAGUFULI 2016 UMETUPA RAHA WATANZANIA
1. Baba Magufuli kwa kweli nimeshindwa kuvumilia lazima nikwambie wewe ni balaa yani khaaa!! Ndani ya mwaka mmoja pamoja na mtikisiko wa uchumi duniani wewe umeongeza mapato ya mwezi kutoka Bilioni 900...
View ArticleMAGAZETINI LEO JANUARI 2, 2017; JPM AMTIMUA BOSI WA TANESCO ... VIGOGO ESCROW...
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA MAENEO YALIOATHIRIKA NA TETEMEKO NA KUWEKA JIWE...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke (kushoto) wakiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Shule ya Sekondari ya...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALI WA AMJULIA HALI MHE. STEVEN NGONYANI ALIYELAZWA HOSPITALI...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa January 2, 2017 alikwenda kwenye hospitali ya Kairuki jijini Dar es salaam kumjulia hali mbunge wa Korogwe Vijijini, STEVEN NGONYANI ambaye amelazwa hospitalini hapo...
View ArticleMATUKIO MAKUBWA YA MUZIKI WA DANSI NCHINI TANZANIA MWAKA 2016
BENDI MPYA•Tarehe 26-Feb-2016, bendi mpya ya BMM yazinduliwa rasmi katika ukumbi wa Mzalendo Pub. Bendi hiyo, pamoja na wanamuziki wengine, inaundwa na Mule Mule FBI (Rais wa bendi) na Totoo Ze Bingwa....
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWASALIMIA WAKAZI WA BUKOBA MJINI, MULEBA NA MUGANZA...
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Bukoba mjini mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani Kagera.Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Muleba mkoani...
View ArticleWATANZANIA SAIDIENI JAMII YA WATU WASIOJIWEZA
Nabii mkuu mheshimiwa Dkt. Geordavie akiombea bajeti mbalimbali za waumini walizoziletwa kwa ajili ya kutolewa neno la unabii. Na Woinde Shizza, Arusha.Watanzania nchini wametakiwa kusaidia Jamii ya...
View ArticleTUMEKUSOGEZEA MKASA MZIMA WA KIJANA ANAYESHIKILIWA NA JESHI LA POLISI RUVUMA...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Zubery Mwombeji.---Kijana anayejulikana kwa jiana la Patrick Malindisa ( 29 ) mkazi wa Namanyigu kata ya mshangano Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, anashikiliwa na...
View ArticleMAGAZETINI LEO JANUARI 3, 2017; ALIYECHOMWA MKUKI ATOA MANENO MAZITO ... JPM...
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleRC GAMBO AKABIDHI TSH. MIL 624 KAMA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE NA...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo (katikati) akizungumza na vikundi vya wanawake na vijana kutoka katika Jiji la Arusha kabla ya Kukabidhi hundi za Mikopo ya robo ya kwanza na ya Pili kwa mwaka...
View ArticleWEMA SEPETU AFUTA PICHA ZOTE KATIKA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM ILI KUUPOKEA...
Mrembo Wema Sepetu mwishoni mwa mwaka jana Desemba 31, 2016 ameamua kufuta picha zote katika ukurasa wake wa instagram ili aweze kuupokea mwaka 2017 kwa kuanza kupost mambo mapya. Kila la heri Mrembo...
View ArticleCHAWABATA CHAPINGA MANISPAA YA ILALA KUKAGUA LESENI ZA WAUZA VILEO USIKU...
Mwenyekiti wa Chama cha Wahudumu wa Baa Tanzania (Chawabata), Ali Hussein (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akipinga zoezi linalofanywa na Manispaa ya Ilala la...
View ArticleKAMANDA WA FFU UGHAIBUNI RAS MAKUNJA ATEMBELEA OFISI ZA MICHUZI MEDIA GROUP...
Kiongozi wa bendi ya Ngoma Africa a.k.a FFU UGHAIBUNI ya nchini Ujerumani,Ebrahim Makunja aka Ras Makunja mapema leo ametembelea ofisi ya Michuzi Media Group jijini Dar es Salaam na kukutana na Ankal...
View ArticleSERIKALI YAFUTA POSHO ZA VITAFUNWA, MAZINGIRA MAGUMU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha fedha zote zilizotengwa kwa ajili ya posho mbalimbali zisizokuwa za kisheria zinaelekezwa katika miradi ya...
View ArticleWASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO ZINGATIENI SHERIA, KANUNI NA MAADILI, MSIKUBALI...
Na Aron Msigwa - NEC.TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI imewataka Wasimamizi wa Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Udiwani utakaofanyika katika Kata 20 za Tanzania Bara na Ubunge katika jimbo la Dimani...
View ArticleWEDDING RECEPTION YA BW. WASIA MAYA NA BI. LAILA
Usiku wa kuamkia mwaka mpya wa 2017 Bw. Wasia na Bi. Laila walifanya RECEPTION ya Harusi yao kwenye Ukumbi wa Taj Hall ulioko Savoy Drive jijini Houston, TX. Pata picha za tukio hilo hapa...
View ArticleUSIMDHARAU MTU, BWANA AKISEMA NDIYO HAKUNA ANAYEWEZA KUZUIA
Katika maisha nimejifunza mambo mengi sana ... asilimia kubwa watu waliofanikiwa walianza kwa kudharauliwa ... na sasa ni mashujaa. Ninejifunza sana ili ufanikiwe kwa urahisi lazima uwanze...
View ArticleWANAWAKE TUWAPENDE
MWANAMKE● Anabadili Jina lake● Anahama nyumbani kwao● Anaacha familia yake● Anaondoka na wewe● Anajenga nyumba na wewe● Anabeba ujauzito wako● Ujauzito wako unabadili umbo lake● Anakua mnene● Anateseka...
View Article