UCHAGUZI TAFCA KUFANYIKA MOROGORO
Uchaguzi wa viongozi wa Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA) utafanyika Jumamosi (Machi 16 mwaka huu) mjini Dodoma ambapo wajumbe wanatakiwa kuripoti siku moja kabla ya...
View ArticleAFYA YAKO: MADHARA YA NYAMA NYEKUNDU
Je, nyama nyekundu ina madhara gani mwilini? Tafiti zinaonyesha kuwa nyama nyekundu ikitumiwa kwa wingi ni kati ya vyakula vinavyosababisha aina mbali mbali za saratani kama ile ya kinywa, koo, utumbo...
View ArticleUFAHAMU MKOA WA KAGERA-2
(Wakuu wa wilaya wapya wa mkoa wa Kagera wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Kagera mara baada ya kula kiapo mwaka jana 2012).--- MAJIMBO YA UCHAGUZI...
View ArticleHEINEKEN YAWEKA UJUZI KWA MASHABIKI WA LIGI YA UEFA CHAMPION KWA KUZINDUA...
Bidhaa ya bia ya kimataifa Heineken leo imetangaza uzinduzi wa michuano mapya ambayo itawashirikisha wateja nchini Tanzania, ikielekea kwenye harakati za mwisho wa msimu wa LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA...
View ArticleAFYA YAKO: UMUHIMU WA MAZOEZI YA MWILI NA VIUNGO
Je, mazoezi ya mwili na viungo yana umuhimu gani?Mazoezi ya mwili ni muhimu kwa binadamu wote, awe mototo au mtu mzima, mnene au mwembamba, mgonjwa au mwenye afya njema. Mazoezi hupunguza uwezo wa...
View ArticleMPE MWANAMKE ATTENTION, ATAKUPA MOYO WAKE KIULAINI
Mpe Mwanamke attention, atakupa Moyo wake kiulaini kabisa bila kutumia nguvu! Ukimuongezea na Pesa hapo ndo anaitoa Roho yake rehani kuwa kama dhabihu ya kuteketezwa....Attention is Key kama unataka...
View ArticleJULIE WANG’OMBE: UHURU KENYATTA’S 22 YEAR OLD SPEECH WRITER
Julie Wang’ombe is only 22 years old but she has already created a name for herself.Ms Wang’ombe is credited with writing President-elect Uhuru Kenyatta’s victory speech which was delivered on Saturday...
View ArticleWATEJA WA BURUDIKA NA TIGO WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
Mtaalam wa bidhaa za burudani za Tigo Bi. Pamela Shelukindo (kushoto) akimkabidhi bw. Meritus Ishaballu kamera ya digitali yenye thamani ya shilingi 800,00 aliyojishindia kwenye promosheni ya Burudani...
View ArticleUZINDUZI WA JENGO LA KITIVO CHA SAYANSI CHUO KIKUU CHA KIISLAMU MOROGORO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua rasmi jengo la Kitivo cha Sayansi la Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro leo Machi 14, 2013 mjini Morogoro. Kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo hicho Mama...
View ArticleMRADI WA MABASI YAENDAYO KWA KASI
Mfano halisi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi inayoendelea kujengwa kwenye barabara ya Morogoro, katikati ni sehemu ya kituo cha abiria na mabasi ya kasi, pembeni ni barabara ya magari ya...
View ArticleKAMBI MBWANA: SITAISAHAU SIKU YA LEO KATIKA MAISHA YANGU
Kambi Mbwana akilishwa keki na mmoja ya wafanyakazi wenzake.Keki ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Kambi Mbwana. Kambi alisema, "Hii ni siku yangu muhimu mno. Zaidi, inanifanya niamini kuwa bado tunapaswa...
View ArticleINASIKITISHA: BINTI ACHINJWA NA MPENZI WAKE
Jessica Elialinga baada ya kuchinjwa.VILIO vilitawala Kata ya Nyahanga wilayani hapa wakati wa kuuaga mwili wa binti Jessica Elialinga (19) aliyeuawa kinyama kwa kuchinjwa kama kuku na mpenzi wake,...
View ArticleSIFA MUHIMU ZA KUZINGATIA UTAFUTAPO MTU WA KUISHI NAYE
Mara nyingi vijana hupata taabu sana katika suala la kuchagua mchumba. Vijana wa kiume ndio hasa hupata wakati mgumu zaidi kwani jamii imewapa wajibu wa kuanzisha mazungumzo yahusianayo na mapenzi....
View ArticleHEINEKEN YAJA NA MICHUANO YA FOOSBALL NCHINI TANZANIA
Bw. Andrew Mahiga akicheza mchezo wa foosball na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa michuano ya Foosball inayoendeshwa na kampuni ya Heineken Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar es...
View ArticleSHINDANO LA 'MORO CARNIVAL' LAPOKELEWA KWA KISHINDO NA WAKAZI WA MJINI MOROGORO
Washereheshaji wa shindano la Moro Carnival wakifanya vitu vyao, katika shindano hilo ambalo lilikuwa likiwapambanisha vijana wa mji wa Morogoro kuonyesha vipaji vyao mbali mbali. Shindano hilo...
View Article