Bidhaa ya bia ya kimataifa Heineken leo imetangaza uzinduzi wa michuano mapya ambayo itawashirikisha wateja nchini Tanzania, ikielekea kwenye harakati za mwisho wa msimu wa LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA Champion 2012/2013).
Heineken inalenga kuonyesha jinsi LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA Champions), moja kati ya klabu maarufu, na Heineken, bidhaa ya bia yakimataifa, zikija pamoja kutengeneza kitu kizuri kwa mashabiki wao duniani. Katika michuano inayofuata, wateja wakiTanzania wanachangamoto katika hafla za mwisho katika mchezo wa foosball.
Foosball, ikijulikana kwa wengine kama “mpira wa mezani: ni mchezo ambayo inachezwa duniani, mara nyingi kwenye baa, walianza mwaka 1923. Katika mchezo huu wapinzani wanasimama pande zote wa meza na wanajaribu kupiga goli. Wanajaribu kuipiga mipira, ambayo inaanzishwa kutoka upande wa meza. Ukitaka kuipiga mipira hii inafanyika kwa kugusa baa na hapo hapo kuna wapiga mipira wadogo wakiwepo. Mshindi anapatikana akipiga goli nyingi, hasa tano, kumi au kumi na moja.
Bia maarufu ya kitaifa ya Heineken kwa mara ya kwanza itazindua michuano ya foosball ndani ya Afrika Mashariki. Katika michuano hii, Heineken itawapa wateja wake uzoefu wa LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA Champions).
Michuano hii inalenga kuwapa changamoto wateja kuwaonyesha ujuzi katika mchezo huu wa foosball, ambayo inaweza ikachezwa pamoja na marafiki. Kwa mchezo huu wa foosball Heineken itawapa wanaume wa ulimwengu jukwaa yakushindana na kuwaonyesha ‘jinsi inavyochezwa’ hapa Tanzania.
Michuano ya foosball ni changamoto kubwa na adventure kubwa ambayo itaona wale ambao watafika fainali na kushindana wakati wa mechi ya LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA Champions) ikionyeshwa LIVE siku ya May tarehe 25, Dar es Salaam. Washindani wa michuano hiyo watashinda safari ambayo gharama zote zimelipiwa kwenda Amsterdam, nyumbani mwa bidhaa maarufu ya Heineken.
Kwakuongezea kutakuwa na promosheni katika eneo mbali mbali za starehe za zitakuwa zinamfurahisha yule mteja maarufu wa Heineken® na kuwapa mashabiki wa mpira nafasi yakushinda tiketi ya kwenda kwenye hafla ya kuangalia mechi ya LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA Champions) Dar es Salaam, tarehe 25 May.
Koen Morshuis, Mkurugenzi Mkuu wa HEINEKEN Afrika Mashariki kampuni yakuingiza bidhaa Ltd alisema “Heineken inajitoa kuwapa wateja wetu waAfrika mashariki experience wa kipekee kama tulivyoonyesha katika LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA Champions) 2012 Trophy tour. Mwaka huu michuano ya foosball inalenga kuwapa changamoto wateja wetu kuonyesha ujuzi na vipaji yao. Tunalenga kutengeneza michuano ubunifu ambayo itawapa nafasi kuionyesha hii na kumastar wa fainali, na kupewa taji wa mchezo ya Foosball nchini Tanzania. Hawa stars watazawadiwa safari ya kwenda nyumbani mwa Heineken huko Amsterdam.