TAMASHA LA TIGO WELCOME PACK LAPAGAWISHA MJINI KIGOMA
Msanii Alex Chalamila maarufu kama MC Regan akiburudisha katika tamasha la kuhamasisha matumizi ya mtandao wa simu ya mkononi ya Tigo lililofanyika kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.Msanii...
View ArticleTMF YAFADHILI WANAHABARI TISA KWENDA ACCRA NCHINI GHANA KUPATA MAFUNZO
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Ernest Sungura. Mkufunzi wa Masuala ya Biashara za Habari kutoka Accra Ghana, Nuamah Eshun (katikati), akizungumza katika hafla ya...
View ArticleVIDEO MPYA; LADY JAYDEE FT DABO FOREVER
Hii ndio video mpya ya Lady Jaydee aliyomshirikisha Dabo inayoitwa "Forever". Video ya wimbo huo imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level, na imeshootiwa on location ndani ya jiji la...
View ArticleMAGARI ZAIDI YA MANNE YAANGUKIWA NA MTI BARABARA YA SEA VIEW, UPANGA JIJINI DAR
Sehemu ya magari yaliyoangukiwa na Mti huo mchana huu. Muonekano wa Mti huo. Mti huo ukiwa umeangukia ukuta. Sehemu ya mashuhuda wa tukio la kuanguka mti mkubwa katika barabara ya Sea View, Upanga...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI,...
1:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dkt. Rehema Nchimbi, kwa pamoja wakisimama kupokea maandamano wakati wa sherehe za...
View ArticleMUFINDI HIGHLANDS SCHOOL YAPOKELEWA KWA SHANGWE NA WAZAZI SOUTHERN HIGHLANDS...
Mkurugenzi mtendaji wa shule ya Southern Highlands Mafinga Bi Mary Mungai kushoto akiwa na wageni mbalimbali Wanafunzi wa shule ya Southern Highlands Mafinda wakipiga vyombo vya muziki...
View ArticleHEPPY BESDEI MDAU DANIEL CHONGOLO
Mdau wa Globu ya jamii, Daniel Chongolo leo anasherehekea siku yake adhimu ya kuzaliwa, Anasema Sifa na Utukufu anazirudisha kwa Mungu maana yeye ndiye ajuae sababu ya kumuacha hadi hii leo na hakuna...
View ArticleHONGERA DIAMOND PLATNUMZ
Ngoja niseme kidogo kitu nilichojifunza kwa huyu kijana.Kuna wakati fulani Hezron Michael (Paul Mashauri) aliwahi kuandika kuhusu msanii wa muziki wa bongofleva Diamond akisifia bidii yake lakini sasa...
View ArticleFASTJET YAADHIMISHA MIAKA MIWILI YA KUTOA HUDUMA YA USAFIRI WA ANGA BARANI...
Na Mwandishi Wetu. Kampuni ya ndege ya fastjet, ambayo ni Kampuni yenye gharama nafuu kote Afrika, imeadhimisha miaka miwili ya kutoa usafiri wa anga barani Afrika.Fastjet ilianza biashara ya usafiri...
View ArticleTIGO YASHINDA TUZO YA HUDUMA BORA YA KIBUNIFU KATIKA KUTUMA NA KUPOKEA FEDHA...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.Tigo Tanzania imeshinda tuzo ya “Huduma Bora ya Kibunifu” kutokana na huduma yake ya kutuma na kupokea fedha kimataifa kati ya Tigo Pesa Tanzania na Tigo Cash Rwanda...
View ArticleMSIMU WA PILI WA TAMTHILIA SIRI YA MTUNGI WAZINDULIWA
Mtayarishaji wa tamthilia ya Siri ya Mtungi Louise Kamin kutoka Shirika Lisilo la Kiserikali la Media for Development International Tanzania (MFDI-TZ) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...
View ArticleRAIS KIKWETE AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI LEO IKULU
Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 2, 2014Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuangalia Mdhibiti...
View ArticleCLOUDS FM YAADHIMISHA KUTIMIZA MIAKA 15 TANGU KUANZISHWA KWAKE
Mmoja wa Watangazaji machachari wa Clouds FM,Adam Mchomvu akitoa muongozo fupi kwa baadhi ya Wafanyakazi wenzake waliomzunguka,kuhusiana na ukataji na ulaji wa Ndafu kama ionekavyo pichani,wakati wa...
View ArticleMAPOKEZI YA MSANII DIAMOND YATIKISA JIJI LA DAR
Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini leo Decemba 2, 2014 akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo...
View ArticleGARI LAPAGONGA UZIO WA OFISI ZA SUMATRA, DAR
Waswahili walisema ajali haina kinga ila hii tunaweza kusema imesababishwa na uzembeee... ni pale dereva wa gari hili alipokuwa mwendo wa kasi huku akijaribu kumkwepa dereva wa bodaboda na kujikupa...
View ArticleKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA TATHMINI YA MWENENDO WA BUNGE LA...
Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho ya Sera wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Halord Sungusia (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati...
View ArticlePRESIDENT UHURU KENYATTA SACK INTERIOR CABINET SECRETARY JOSEPH OLE LENKU, AS...
President Uhuru Kenyatta finally sacked his interior cabinet secretary Joseph Ole Lenku, after 36 more Kenyans were butchered by Al-Shabaab in Mandera. In Lenku’s place the president has nominated...
View ArticleMKUU WA MKOA WA PWANI MGENI RASMI TAMASHA LA VYUO –NACTE INTER COLLEGE...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mh, Mwantumu Mahiza siku ya jumamosi wiki hii anatarajia kuongoza Bonanza la Wanavyuo linaloendea sehemu mbali mbali na ikiwa ni sehemu ya tatu kwa kanda ya kaskazini...
View Article