Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19815

MAPOKEZI YA MSANII DIAMOND YATIKISA JIJI LA DAR

$
0
0
Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini leo Decemba 2, 2014 akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19815

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>