WANANCHI WA MKURANGA WAMETAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YA KUWEKEWA UMEME KWA BEI...
Na Hellen Kwavava wa Kajunason Blog, DarNaibu wa waziri wa Fedha ambaye pia ni mbunge wa Mkuranga Mheshimiwa Adam Malima amewasihi wananchi wa jimbo lake kuchangamkia fursa iliyotolewa na Tanesco ya...
View ArticleMAJUMUISHO YA MAJADILIANO YA AWALI KATI YA TANZANIA, BENKI YA DUNIA NA IMF
Bw.Herve’ Joly ambaye ni Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki akimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile...
View ArticleSHULE 30 ZAUNGANISHWA NA SHIRIKA LA KIMATAIFA LISILO LA KISERIKALI LA...
Mgeni rasmi,Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akifungua bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii katika siku ya kumbukumbu ya...
View ArticleHONGERA MSANII STEVE NA MKEO ESTHER KWA KUAGANA NA UKAPELA
Ilikuwa ni OKtoba 11, 2014 pale mwanamuziki Steve RNB alipoamua kufunga pingu za maisha na Mwanadada Esther. Kajunason inawatakia maisha marefu katika ndoa yenu.Busu la mahaba...Bi. Esther akiwa katika...
View ArticleTANZANIA YAJIPANGA KUWA NCHI YA VIWANDA
Naibu Katibu Mtendaji (Uchumi Jumla), Prof. Longinus Rutasitara (Wapili kushoto) akizungumza na Ugeni kutoka Tume ya Mipango na Maendeleo ya China wakati walipofanya ziara nchini. Kushoto ni Naibu...
View ArticleMATAIFA 12 YAKUTANA DAR KUZINDUA CIRDA
Meneja wa mradi wa CIRDA kutoka UNDP, Bonizella Biagini akizungumza wakati akitambulisha maofisa waliokuwepo katika uzinduzi wa warsha ya siku tatu ya kimataifa ya ukusanyaji na matumizi ya taarifa ya...
View ArticleYALE YALE; FAST JET KIMEO
Stori: Ojuku AbrahamSHIRIKA la Ndege la Fast Jet linalotoa huduma ya usafiri wa anga katika baadhi ya mikoa ya Tanzania na nje ya nchi, limelalamikiwa na wateja wake mbalimbali kutokana na jinsi...
View ArticleTIGO YAZINDUA HUDUMA MPYA YA ‘WELCOME PACK’ MKOANI IRINGA
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh.Dkt. Christine Ishengoma akisalimiana na Mkurugenzi mkuu wa Tigo kanda ya kusini Bw. Jackson Kiswaga wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kifurushi kipya cha tigo cha welcome pack...
View ArticleHALMASHAURI ZA MAJIJI NA MANISPAA YAHIMIZWA KUTUNZA NA KUHIFADHI MIRADI YA...
Na Atley Kuni- Afisa Habari Mwanza.Halmashauri za majiji na manispaa zimehimizwa kutunza na kuhifadhi miradi yote ya maendeleo inayo tekelezwa katika maeneo yao na kuhakikisha inadumu kwa manufaa ya...
View ArticleWATU WATANO WAFARIKI KATIKA AJALI YA LORI LA MAFUTA LAPINDUKA NA KUWAKA MOTO...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema wakimsikiliza miliki wa Nyumba ya kulala wageni United State na bar, Laurent Kasiga iliyopo...
View ArticleVIJIJI 1,800 KUPATA MAWASILIANO YA SIMU, INTERNET MWAKANI (2015)
Na Mwandishi wetuDar es Salaam. Jumla ya vijini 1,800 vinatarajia kupatiwa mawasiliano ya simu ya na teknolojia ya mawasiliano ya habari na mawasiliano (Tehama ) ifikapo mwakani.Akizungumza katika...
View ArticleUZINDUZI WA KAMPENI YA ‘NANI MTANI JEMBE’ KWENYE KIWANDA CHA BIA MKOANI ARUSHA
Makamu Rais wa timu ya Simba, Geofrey Nyange Kaburu akipuliza Vuvuzela jana kwenye kiwanda cha Bia ,mkoani Arusha wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe iliwakutanisha wafanyakazi wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AZINDUA RASMI UKUMBI WA MIKUTANO WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mwadhama Polycap Kadinali Pengo kwa pamoja wakikata utepe kuzindua rasmi ukumbi...
View ArticleMSAFIRI KAFIRI; HALI HII KWA WANAFUNZI MPAKA LINI???
Kero kubwa kwa wanafunzi wa jiji la Dar es Salaam ni usafiri wa uhakika wa kuwafikisha mashuleni na majumbani pindi wanapomaliza masomo jambo ambalo limekuwa likiwafanya wahangaike kufanya wajuavyo...
View ArticleKURA YA MEGHJI YAZUA UTATA MPYA, BUNGE LASEMA HAKUNA SEHEMU ILIBAINISHA...
Suala la Mjumbe wa lililokuwa Bunge Maalumu la Katiba, Zakia Meghji kupiga kura upande wa Zanzibar wakati wa kupitisha Katiba Inayopendekezwa, limechukua sura mpya baada ya uliokuwa uongozi wa Bunge...
View ArticleKASI YA EBOLA INATISHA: IDADI YA WALIOFARIKI KWA EBOLA YAFIKIA 4,447
Shirika la Afya Duniani – WHO limesema kuwa idadi ya watu waliofariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wa Ebola imeongezeka na kufikia zaidi ya Elfu Nne na Mia Nne (4,447), huku idadi kubwa ikiwa ni...
View ArticleMWANRI: ZINGATIENI WELEDI WAKATI WA KUANDAA MAANDIKO YA MIRADI
Na Saidi MkabakuliWapanga mipango nchini wameaswa kuzingatia weledi wakati wa kuandaa maandiko ya miradi yanayowasilishwa kwa wafadhili ili kuongeza ushindani dhidi ya nchi nyingine wakati wa...
View ArticleWINNER OF WIN A FOOSBALL TABLE PROMOTION GETS REWARDED BY HEINEKEN TANZANIA
Heineken Trade Manager John Dandi (left) congratulates Asa Mwaipopo (right), who is all smiles after receiving a Heineken foosball table. Mr. Mwaipopo won after participating in a promotion aimed at...
View ArticleUKWELI NI UPI??? KUHUSU UMRI WA MISS TANZANIA 2014, SITTI MTEMVU
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleNANI MTANI JEMBE YATAMBULISHWA JIJINI MBEYA
Mashabiki wa Simba na Yanga ambao ni wafanyakazi wa kiwanda cha TBL Mbeya wakishindana kupiga danadana wakati wa utambulisho wa Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa...
View Article