DALILI 20 ZA MWANAMKE ASIYEKUPENDA KWA DHATI
1 : Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali.2 : Anapata kigugumizi kukutambulisha kwa rafiki zake...
View ArticleSEMINA YA NDOA
MCHUNGAJI PROSPER&DEBORAH NTEPA WANAWAKARIBISHA KWENYE SEMINA YA NDOA!ITAKAYOKUWA IKIONGONZWA NA MCHUNGAJI PETER MITIMINGIMAHALI: KANISA LA THE OASIS OF HEALING MINISTRIES LILILOPO NYUMA YA UBUNGO...
View ArticleZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,KINANA NDANI YA MERERANI,AKUTANA NA WACHIMBAJI...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akioneshwa vipande vya madini aina ya Tanzanite ,katika mgodi wa mchimbaji mzawa wa madini ya Tanzanite Bi.Suzie Didas Kennedy.Katibu Mkuu wa CCM...
View ArticleTAASISI YA FARIDA FOUNDATION KUFANYA UZINDUZI JUNI 28, 2014
Taasisi ya Faridas Foundation inatarajia kufanya uzinduzi wake rasmi siku ya tarehe 28/6/2014 siku ya jumamosi katika ukumbi wa crystal hall, blue pearl hotel, ubungo plaza kuanzia saa 6-12 jioni....
View ArticleHAWA NDIO WACHEZAJI 32 WANAOTARAJIWA KUNG’ARA ZAIDI NA KUONGOZA TIMU ZAO...
Fainali za Kombe la Dunia ni uwanja mpana. Ni mahali ambapo vipaji na vipaji vya wanasoka duniani huonekana. Madalali wa kuvumbua na kununua wachezaji [scouts] hufurika kwenye mashindano kama haya...
View ArticleRAIS WA ZANZIRAR DKT SHEIN AWAPONGEZA WAFANYAKAZI WALIO CHINI YA WIZARA YAKE.
Baadhi ya watendaji na washauri wa Ofisi ya Rais Ikulu wakiwa katika hafla ya chakula iliyofanyika baada ya kupitishwa bajeti za Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATETA NA RAIS MPYA WA MALAWI PROF. ARTHUR PETER...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa na Rais mpya wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika wakiwa katika picha ya pamoja baada ya rais mpya wa Malawi...
View ArticleSIRI NNE ZA JINSI YA KUPAMBANA NA SARATANI (CANCER)
Dr Johnny P. Brinkmannwith Dr Elizabeth H. LemaKwababu saratani inatoka ndani yetu, ndani ya miili yetu, inabidi aina yoyote ya matibabu mtu mwenye saratani anayotumia yawe yanatazama mambo haya...
View ArticleYALE YALE: ASKARI POLISI FEKI WAKAMATWA MKOANI IRINGA
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi akiwaonyesha maaskari feki ambao walikuwa wakifanya utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro, kulia ni Bazil Nyakunga ambae ni mwalimu akiwa na...
View Article'MPAKA SASA MAANDAMANO MENGI YAMEFANYIKA HAPA NCHINI'- SACP SIMON SIRRO
Kamishina Mwandamizi wa Jeshi la Polisi nchini (SACP) Simon Sirro akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya wiki mbili kwa makamanda wa Jeshi hilo nchini, mafunzo hayo yaliyofadhiliwa na UNDP yana...
View ArticleWANANCHI WA MOROGORO WAMZIKA MTOTO NASRA
Hatimaye Mtoto Nasra Mvungi aliyefariki Juni mosi mwaka huu kufuatia kuaishi katika matesa makubwa kutoka kwa mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki na kuishi katika boksi bila huduma muhimu...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON KUZIKWA JUNE 14, 2014, KISUMU KENYA
Mstahiki Meya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akipita mbele ya jeneza lenye Mwili wa Marehemu George Otieno Okomu (George Tyson) wakati wakiaga Kuga mwili katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni...
View ArticleJIPATIE LOUDSPEAKER MIXTAPE TOKA KWA MSANII DABO
LOUDSPEAKER MIXTAPE available now for 5000/- Tshs: Reggae, Ragga & Dancehall from da king DABOContacts: Mwanza: 0782444779 - Dee Seven, 0756739959 - Hyper, 0765517407 - OnesmoMbeya City: 0712604373...
View ArticleMAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MAREHEMU GEORGE TYSON VIWANJA VYA LEADERS CLUB, DAR
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Jesca Honole a.k.a Mama Kijacho akiimba wakati wa kuaga mwili wa Marehemu George Otieno Okomu (George Tyson) katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA AFRIKA KUSINI LEO IKULU DAR...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mama Maite Nkoana-Mashabane Ikulu jijini...
View ArticleWIZARA YA UCHUKUZI YAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUFANYA USAFI NA KUPANDA...
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wizara ya Uchukuzi, Bw. Issa Nchasi, akifanya usafi katika eneo la bandari ya Dar es Salaam kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani...
View ArticleUTALII WA NDANI: JIJI LA MWANZA LAENDELEA KUONGEZA KWA USAFI
Jiji la Mwanza ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Mwanza. Mji upo kando la ziwa Viktoria Nyanza Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 378,327...
View ArticleLUPITA NYONG’O NA FAMILIA YAKE KUTUA TAMASHA LA 17 LA ZIFF
Mkurugenzi Mkuu wa ZIFF, Profesa Martin Mhando (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua rasmi Tamasha la Filamu la nchi za Majahazi la 17 maarufu kama...
View Article