Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

SIRI NNE ZA JINSI YA KUPAMBANA NA SARATANI (CANCER)

$
0
0
Dr Johnny P. Brinkmann
with Dr Elizabeth H. Lema
Kwababu saratani inatoka ndani yetu, ndani ya miili yetu, inabidi aina yoyote ya matibabu mtu mwenye saratani anayotumia yawe yanatazama mambo haya manne.

1. Matibabu ya saratani lazima yaimarishe kinga ya mwili, cell za saratani zinazalishwa na kila mtu kila siku. Lakini kinga imara na afya bora inauwezesha mwili kuondoa cell za saratani kwa haraka kuliko jinsi zinavyozaliana kwenye mwili.Lakini wakati cell za saratani zinapozidi uwezo kinga zetu za mwili, hapo kinga ya mwili inakua imeanza kuwa chini na inashindwa kupambana na saratani.

2. Tiba ya saratani lazima iongeze oxygen kwenye cells. Cell za saratani ni ANAEROBIC zinahitaji sukari kuendelea kuwepo na kukua, zinachukia oxygen. Kwa hiyo wakati cell nzuri za mwili wako zinapata oxygen ya kutosha, zinazalisha energy na afya yako inaanza kuimarika.

3. Tiba ya saratani lazima iweze kuditoxify mwili wako, Toxins zinasababisha kinga yako ya mwili kufanya kazi ngumu kuondoa sumu ( Toxins) ili kusaidia mwili kuwa kwenye hali ya kawaida kujenga afya nzuri.Zingatia ulaji wa vyakula ambavyo vinawezesha mwili kushughulikia toxins.

4. Tiba ya saratani lazima iweze kubadilisha chemistry kutoka acidic kuwa alkaline. Saratani na aina nyingine za magonjwa huwa hupata nafasi ya kudumu sana kwenye mwili wenye acidic. Lakini kirahisi sana unaweza kubadilisha mwili wako ( Chemistry) Na mwili wako unapokuwa alkaline, saratani inapata taarifa kuwa haina tena nafasi ya kuwepo kwako.

Fanya mabadiliko kwenye mfumo wako wa ulaji na aina ya vyakula. Pata ushauri wa kitaalam kuhusu aina ya vyakula unavyohitaji kula.

Kubadilisha mfumo wako wa ulaji na aina ya vyakula, siyo tu utakusaidia kupambana na saratani ila pia utakuwezesha kuwa na afya bora. na energy ya kutosha. vitu kama mafua, uchovu itakaa mbali na wewe. Utaweza pia kucontrol uzito wako. utakuwa na uzito unaostahili.

Wasiliana nasi kwa simu no 0713 306263, 0763 578057 kwa ushauri na jinsi ya kufika kwenye clinic yetu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>