MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI JAPAN JIONI HII KUANZA ZIARA YA SIKU SITA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Balozi wa Tanzania, nchini Japan, Salome Sijaona, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Aneda,...
View ArticleUTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WANAOMALIZA KIDATO CHA...
AWAMU YA KWANZA; Vijana 20,000 wataripoti kwenye makambi ya mafunzo ya JKT kuanzia tarehe 01 Juni 2014 na kuanza rasmi mafunzo yao tarehe 08 Juni 2014 na kumaliza tarehe 04 Septemba 2014. Orodha yao...
View ArticleZuRii BOUTIQUE WAJA KIVINGINE, KAA MKAO WA KULA
Kwako mteja wetu wote wa ZuRii Boutique, Tarehe 30 May 2014 ndo itakuwa mwisho wetu pale tulipo kwa sasa Sinza Legho. ZuRii Boutique itahamia sehemu mpya na tutawajulisha tutakapo kuwa tayari. Asanteni...
View ArticleMISS TABATA 2014 WAENDELEA KUJINOA KWENYE UKUMBI WA DAR WEST PARK, DAR
Warembo wanaoshindania miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi wakati wa mazoezi ya shindano hilo na fainali itakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 06/06/ 2014. Mashindano haya ya Miss Tabata 2014...
View ArticleMMILIKI WA TIMU YA MANCHESTER UNITED, BW. MALCOLM GLAZER AFARIKI DUNIA
Mmiliki wa Klabu ya Manchester United, Bw. Malcolm Glazer amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85.Familia ya Glazer ilinunua Manchester United kwa paundi milioni 790 mwaka 2005 licha ya mashabiki...
View ArticleMDAHALO WA KATIBA KUFANYIKA MEI 31, UBUNGO PLAZA JJINI DAR
Baadhi ya Wanachama wa Asasi za Kiraia (AZAKI),---Muungano wa Asasi za Kiraia Tanzania umeandaa Mdahalo wa wazi kuhusu Changamoto za Mchakato wa Katiba mpya.Mdahalo huo utafanyika tarehe 31 /5/2014...
View ArticleMWANAFUNZI MLEMAVU MIKONO YOTE MIWILI AOMBA MSAADA WA RAIS JK
Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Julius Charles (12) ambaye anatumia mguu wa kulia kuandika kutokana na kutokuwa na mikono.Pia anatumia...
View ArticleMSIBA TANZANIA NA DMV
Sarah Mushi wa Ashburn, VA anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi (pichani) kilichotokea Jumatano May 29, 2014. Msiba upo nyumbani kwa mfiwa: 20937 Killawog Terr,...
View ArticleMSANII WA FILAMU SHADRACK MNEMBA 'MBETA' APANIA KUVUKA MIPAKA
Shadrack Joseph Mnemba (MBETA)Na Mwandishi Wetu.Katika pilika pilika za kawaida za Mtandao wako za kusaka habari mbalimbali katika maeneo ya kinondoni Mkwajuni nilifanikiwa kuonana na kijana Shadrack...
View ArticleTIMU YA MBEYA CITY WATINGA ROBO FAINALI YA CECAFA 'NILE BASIN CUP' MJINI...
Timu ya Mbeya City imetinga Robo Fainali za michuano ya CECAFA Nile Basin Cup inayoendelea nchini Sudan baada ya sare ya bila kufungana na Enticelles ya Rwanda usiku wa jana katika Uwanja wa...
View ArticleMAREHEMU RACHEL AAGWA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS JIJINI DAR
Baadhi ya Wacheza filamu hapa nchini,wakiwa pembeni ya Jeneza la Mpendwa wao Sheila Leo Haule (Rachel) aliefikwa na umauti hivi karibuni. Sehemu ya Waombolezaji wakiwani ni wenye Majonzi Makubwa ya...
View ArticleMAREHEMU RACHEL AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR
Mchumba wa marehemu, George Saguda (kushoto) akiweka udongo katika kaburi la Racho na mwanae.Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere akiweka shada la maua katika kaburi la Recho.Waombolezaji wakiweka...
View ArticleGALA DINNER YA AFRICAN DAY WASHINGTON, DC
Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali akiwa kwenye gwaride la bendera wakati hafla ya gala dinner ya African Day iliyofanyika Washington, DC siku ya Jumanne May 27, 2014 katika hotel...
View Article“WE WILL NOT HESITATE TO CONTRIBUTE MORE PEACEKEEPERS” – DR HUSSEIN MWINYI
IN Action; Ms.Usia Nkhoma Ledama from UNIC take part in inviting various guests.(All Photo by Zainul Mzige of modewjiblog)By Damas Makangale, MOblog TanzaniaThe Tanzanian government has reassured the...
View Article“WE WILL NOT HESITATE TO CONTRIBUTE MORE PEACEKEEPERS” – DR HUSSEIN MWINYI
A soldier from TPDF raising UN Flag to mark the International Day of UN Peacekeepers. (All Photo by Zainul Mzige of modewjiblog).By Damas Makangale, MOblog TanzaniaThe Tanzanian government has...
View ArticleHALI HII KINONDONI, DAR MPAKA LINI????
Pamoja na suala la usafi kupigiwa debe na manispaa ya Kinondoni bado hali ni mbaya sana kwa wakazi wake kutokana na kila kona na kujaa maji machafu. Eneo hili ni Kinondoni - Moroko jijini Dar es...
View ArticleMAMBO YA KUZINGATIA JUU YA MATUMIZI YA MITANDAO YA JAMII
Siku hizi, katika kila watu kumi wanaotumia mtandao, basi angalau watano kati ya hao wanatumia mitandao jamii. Kuna baadhi ya watu wamegeuza mitandao hii kuwa kama ni sehemu ya mawasiliano, ama ya mtu...
View ArticleMUONGOZAJI WA FILAMU NA VIPINDI MBALI MBALI VYA TELEVISHENI HAPA NCHINI,...
Marehemu Geogre Tyson pichani hapa alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma. Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON WATOLEWA MORO KUPELEKWA JIJINI DAR KWA AJILI...
Pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Morogoro Bw. Antony Mtaka akiwa na raisi wa wasanii Mwakifamba wakiingia eneo la Mochwari tayari kwa maandalizi yote kuwa sawa.Mtangazaji na Muanzilishi wa...
View ArticleNAKULA UJANA YA NEY WA MITEGO YAWAKUNA WENGI
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.MWIMBAJI wa Hip Hop, Emmanuel Elbariki maarufu kama Ney wa Mitego, amesema wimbo wake wa ‘Nakula Ujana’ unampa raha kutokana na kupokewa kwa shangwe na mashabiki wa...
View Article