Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all 19878 articles
Browse latest View live

KAJALA AMFANYIA BONGE LA BETHIDEI MWANAE PAULA, AWAKUMBUKA NA WATOTO WENYE ULEMAVU WA AKILI

$
0
0
Paula akikata keki.
Milobo akitoa usia kwa Paula.
Kajala akizungumza jambo katika shule hiyo ya watoto walemavu.
Waigizaji Odama, Chuchu Hans na Kajala wakijadili jambo.
Paula na mama yake wakiandaa zawadi.
Watoto walemavu wakilishwa keki na Paula.
Wanafunzi wakiimba na wasanii.
Watoto walemavu wakionesha vipaji vyao.
Mwandishi wa Global Publishers, Imelda Mtema akiwa na Steve Nyerere.
Kibao cha Shule ya Msingi Sinza ilipofanyika sherehe hiyo.

MSANII wa filamu na Mkurugenzi wa K. Entertainment, Kajala Masanja mchana huu amemfanyia mwanaye, Paula Paul, sherehe ya kuzaliwa kwake (bethidei) katika shule ya watoto wenye mtindio wa ubongo wa akili iliyoko Sinza, jijini Dar es Salaam.
(Picha: Gabriel Ng’osha na Denis Mtima / GPL)

WATU WAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI YA MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI, ARUSHA

$
0
0
Gari dogo aina ya Toyota Corolla lilikiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na gari aina ya Rand Rover katika makutano ya barabara ya Arusha/Moshi jirani kabisa na kipita shoto(Keep left) cha Arusha.
Gari aina ya Rand Rover likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na Toyota Corolla.
Pikipiki ikiwa chini ya gari aina ya Rand Rover baada ya kugongwa.
Mifuko maalumu ya kuzuia abiria asiumie wakati wa ajali ikiwa imefumuka baada ya ajali .

NEW MODEL IN TOWN

$
0
0
Young, beautiful and quite a fresh face....Yes, this is Christine,our new model!
 You recently saw these two images of her posing as the model she is....BUT...
 Have you met Christine as the young lady she is? Playful, charming and quite girly...heheheh
Don't take yourself too serious...play and laugh most times....
Model: Christine
Makeup: Ndibs Edna
Styling: Marie of Missie Popular 
Photography: AZH Photography

REVISITED AND RE-RELEASED: MWANAFA FEAT. JAY MOE "INGEKUWA VIPI"

$
0
0
Ingekuwa Vipi-Revisited And Re-Released 
Ingekuwa Vipi-Revisited And Re-Released

MwanaFA [real name Hamis Mwinjuma] is, without a doubt, one of the most successfully and respected Bongo Hip-Hop artist in Tanzania, across East Africa and certainly beyond those borders. If that statement made your eyebrows tilt even a bit, I’d suggest you take one step back and think a little.

His lyrics and songs have inspired new words, idioms etc into the street and classroom dictionaries and thesauruses of Swahili. The grandness of his lyrical abilities staggers even me who was once upon a time considered by my peers and schoolmates to be a walking Swahili dictionary. He can rhyme quickly, confidently and cleanly while making sense of every word that come out of his mouth.

Recently I approached him with an idea I have wrestled with for a while. How about re-releasing some of the biggest hits from the time when Bongo Fleva/ Bongo Hip-Hop was starting to see the white-blue sky.

The motivation is to flaunt the standards of the past and give today’s generation a renewed chance to hear not only the “old school” stuff all over again but to gain a hindsight of the stories behind. He didn’t hesitate even for a second. He agreed and here we are. Let’s Go!

*******************************************************************************************

Like a ship starting a long journey across the world, in 2000s what we now know as Bongo Fleva/Bongo Hip-Hop had just left the harbor. Its destination wasn’t known. Regardless, some bold minded fellas had decided to slow down the Congolese music influx that had dominated Tanzania’s music scene for years. The likes of Sikinde and Msondo had also lost their mojo among younger audience. The youth needed something different to entertain themselves and make one of those postcard-perfect days.

Tanzania’s youth, like many youth across the globe, had also failed to resist a time capsule of American culture. American Rappers/ Artists etc were becoming more popular among Tanzania’s youth than their own President. Times were changing…and changing at high speed. President Mwinyi had allowed the influx of foreign culture. The country became an opportunity society.

For the first time, people could watch television in their living rooms. Entertainment channels like MTV, BET, and CFI etc were now accessible at the comfort of an arm length holding remote controls. Those are the days when it was cool to walk around holding James Hardley Chase novels, magazines such as Ebony, Yo Rap etc with video cassettes tapes for movies that we hardly understood.

As the new decade was getting into the groove, Hamis Mwinjuma whom we now know as MwanaFA’s career was also starting to take shape. It wasn’t an easy. He was a struggling artist. He was broke. The penetrating tropical sun of cities such as Dar-es-salaam was unleashing its ultimate “burning” power even in his pockets. His only wealth, was his songwriting abilities, vision and confidence that he was/is a good songwriter and therefore his breakthrough was on the way.

He had chosen a difficult-to-cope with stage name. Mwanafalsafa [A Philosopher] had to act like one. He had to write like one. I am sure the pressure of living his name was as high as the feeling you get from the first attempt to jump out of plane [in a parachute]. He spent countless hours writing and contemplating. There were many days of gray unrest and discontent. He was eager to establish a pattern of excellence as far as Bongo Fleva/Bongo Hip Hop was concerned.

His breakthrough came in 2002. Towards end of 2001, upon reflections, writing, deleting, editing etc, and fusing of intelligence and imagination, MwanaFA had penned down Ingekuwa Vipi. He clearly remembers where he was when he started writing Ingekuwa Vipi, “I was at home. As you can imagine, I was broke and trying hard to figure out how to move forward. I used to stay home a lot at that time. It was the safest place to be”, he tells me with a broad smile that never existed during those trying times.

It occurred that as soon as he had almost finished writing it, Jay Moe [who was to be featured on the track, popped in for a quick visit. MwanaFA let him listen to the lyrics while boom boxing their hands. The lyrics blew his mind. He wanted to be part of it. Success begins with a great idea. Jay Moe saw this as a great idea. It was.

What followed was going to Mawingu Studio to meet DJ/Producer Bonny Luv. At that time, Tanzania had very few established producers let alone studios. His choices were limited. Lucky for him, he had recorded some other tracks before with Bonny Luv. It wasn’t difficult to convince him to take on the project and that Jay Moe was going to be featured. Bonny understood and loved the lyrics as well.

Now, contrary to what many people believe today, Ingekuwa Vipi was not MwanaFA’s first studio recorded song. He had done it before. He just hadn’t penetrated the airwaves the way he did with this one. Ingekuwa Vipi was the first song he released on the radio. He had recorded 4 songs before.

He, therefore, had to hide the nerves inside with frequent smiles as he spent countless hours with Bonny Luv perfecting what would turn out to be his “breakthrough” song. He watched the clock as it edged toward “freedom”.

“We recorded and left Bonny Luv to mix etc”, He tells me as I attentively admire his recollections of events and struggles that he had to go through before “making it”

Those were no days like today. Softwares and technologies weren’t like today where you can e-mail the song to thousands or even million people in a second. Clouds FM was one the few radio stations championing most of grassroots movement of Bongo Fleva/Bongo Hip-Hop. Radio One was another entity but was more selective of what went into air etc. MwanaFA had to take to the radio stations the CD with hand-written [using marker pen] “Ingekuwa Vipi” on top.

On 2nd February 2002, Ingekuwa Vipi premiered during Bongo Fleva session, which was hosted by DJ Steve B. On the same day, MwanaFA remembers, Balozi Dolla Soul, Inspekta Haruni and Luteni Kalama and Imam Abbas had dropped their singles. Before the end of that session, Ingekuwa Vipi had captured the airwaves not once but twice.

He says, “Jeff, I felt like I had just inhaled the cleanest, crispest air I have ever breathed” In the first week since its release, Ijumaa newspaper reported that Ingekuwa Vipi had played 72 times in different radio stations. A record. To him, salvation was getting through the day.

Success in the airwaves meant Mwanafalsafa was now becoming popular but also with an opportunity to make money. He remembers his first show was for Embassy and was coordinated by Jimmy Kabwe, a veteran DJ who has recently re-joined Clouds Media Group after years of roaming in other stations. The event was held at The Leaders Club. He pocketed TZS 50,000/=. That was a lot of money then. He took the smile to the bank. The wind was suddenly sweet. The sun was warm over the country flowers. Life was getting better and sweeter.

His success was almost cut short though. The group Walume Ndago decided to challenge his song. It was almost an underground battle of Nine Miles. They released a counter titled Ingekuwa Poa [It’d be Just Alright]

When I asked Mwanafalsafa how did the counter song sink with him, he calmly said, “Not very well Jeff. See, at that time I was a newcomer into the game. I had no experience at all of being “crucified” like that. I thought was a huge injustice towards me”.

Lucky for him, someone else defended him. Another group released a counter over Walume Ndago’s counter. That neutralized the whole experience. MwanaFA had started his long journey into stardom. He had broken out of the lineup. Here is your chance to Listen And Download Ingekuwa Vipi.

UFUNGUZI WA MAONESHO YA ZANA ZA KIJESHI ZA NCHI KAVU JIJINI DAR ES SALAAM

$
0
0
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akihutubia wakati alipokuwa akiyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akihutubia wakati alipokuwa akiyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi (katikati), akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wakuu na viongozi wa majeshi ya Afrika Mashariki, mara baada ya kuyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, jijini Dar es Salaam leo. Watatu kulia ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi (katikati), akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wakuu na viongozi wa majeshi ya Afrika Mashariki pamoja na baadhi ya Maofisa wa Kijeshi wa nchi mbalimbali za nje, walioshiriki katika maonesho hayo, mara baada ya kuyafungua, Mlimani City, jijini Dar es Salaam leo. Watatu kulia ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi (katikati), akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wakuu na viongozi wa majeshi ya Afrika Mashariki pamoja na baadhi ya Maofisa wa Kijeshi wa nchi mbalimbali za nje na Kampuni zinazotengeneza zana na silaha za kivita, walioshiriki katika maonesho hayo, mara baada ya kuyafungua, Mlimani City, jijini Dar es Salaam leo. Watatu kulia ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kuyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya hayo, Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akitembelea banda la Afrika Kusini mara baada ya kuyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa banda la Afrika Kusini mara baada ya kuyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akioneshwa zawadi ambayo alikabidhiwa kwenye banda hilo la Afrika Kusini.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akipatiwa maelezo na Meneja Mkuu wa Masoko na Ukuzaji Biashara wa Kampuni ya ARMSCOR, Lulu Mzili, watengenezaji wa zana za kijeshi ya Afrika Kusini.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, akiangalia kifaru kilichotengenezwa na Kiwanda cha Nyumbu cha Tanzania. Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho, Kanali John Nchimbi.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, akiangalia gari la Kijeshi lililotengenezwa na Kiwanda cha Nyumbu cha Tanzania. Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho, Kanali John Nchimbi.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha kutengeneza zana za Kijeshi cha Nyumbu cha Tanzania, Kanali John Nchimbi, alipokuwa akiangalia zana mbalimbali za Kijeshi, mara baada ya kuyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Katibu Msaidizi wa Ubalozi wa Uturuki nchini, Berat Colak (kulia), akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi.
Katibu Msaidizi wa Ubalozi wa Uturuki nchini, Berat Colak (kulia), akiwaleza jambo Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi (katikati) na Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange (kushoto), wakati waziri alipokuwa akiangalia zana za Kijeshi, zilizotengenezwa na Kiwanda cha Nyumbu cha Tanzania.
Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange (kushoto), akimweleza jambo Katibu Msaidizi wa Ubalozi wa Uturuki nchini, Berat Colak (kulia), wakati alipokuwa akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi (katikati), wakati waziri alipokuwa akiangalia zana za Kijeshi, zilizotengenezwa na Kiwanda cha Nyumbu cha Tanzania.

Kikosi cha Bendi cha Jeshi la Wananchi (JWTZ), kikitumbuiza katika maonesho hayo.
Kifaru cha Tanzania, kilichotengenezwa na Kampuni ya Nyumbu inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kikiwa kwenye maonesho hayo.

MTOTO MARLYN KAIBIWA CHANGANYIKENI, DAR LEO

$
0
0
Mtoto Marlyn alikuwa nyumbani nyumbani na dada yake wakaenda gengeni wakakutana na mkaka akauliza mama Marlyn yupo, 
Dada akajibu; hayupo baba hayupo. 
Mkaka; Anarudi sangapi? 
Dada; sijui. 
Yule dada akarudi nyumbani na mtoto. Kufika nyumbani yupo mama mdogo wa mtoto. Yule kaka baada ya mda akaja tena anaomba kwenda chooni wakamuelekeza choo cha nje. Dada akaaga anaendaa kwa fundi kawaacha watoto wanacheza uani na wenzie na akijua mamdogo yupo. Ndio yule kaka katoka chooni kamuta Marlyn amnunulie ndizi akatoka nae watu wanamuona akawa anaelekea kama Kanisa la Assemblies, Changanyikeni watu wakamuona kachukua boda boda kapanda na mtoto ndio mpaka muda huu MTOTO HAJAONEKANA.

Kaka aliyemuiba kanyia punk.

ATAKAE MUONA MNAOMBWA ATUUSAIDIE KUTOA TAARIFA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE.

THT KUMUAGA MSANII LINAH LEO JIJINI DAR

$
0
0
Msanii wa Muziki wa Kizaki Kipya, Anasteria Sanga a.k.a Linah au muite Ndege Mnana anatarajia kuagwa leo Julai 16, 2014 majira ya jioni toka Tanzania House Of Talent (THT) na kuhamia kwenye kampuni itakayokuwa ikisimamia kazi zake ijuliakanayo kwa jina la No Fake Zone (NFZ).

Akizungumza na Kajunason Blog, Linah alisema mpaka anamshukuru Mungu alipofikia haina budi kuishukuru THT kwa kumlea tokea mwaka 2009 alipokuwa anatoka na wimbo wake wa Atatamani. 

Mpaka sasa kampuni hiyo imeshafungua milango kwa kumpa gari la kifahari ikiwemo mkataba ambao amesaini miezi miwili iliyopita pamoja na kurekodi nyimbo zipatazo tatu. Habari zaidi endelea kufuatilia hapa hapa...
Msanii Linah akiwa ameweka pozi kwenye mchuma wake.

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 YATOKA

$
0
0
Pichani ni wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana wenye vipaji ya Kilakala wakifurahia jambo wakati wa mahafari ya mwaka huu. Picha na Maktaba.
---
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825.

Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54
Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa

SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. MuhezaHigh School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaliua
10. Osward Mang'ombe
MATOKEO KIDATO CHA 6: 95.98% wafaulu kidato cha 6 kutoka 87.9% mwaka jana. Tambaza ndani ya shule 10 za mwisho, K/Katibu Mtendaji Necta C. Msonde atangaza leo.

KITABU CHA KWANZA KINACHOELEZA KWA KINA HISTORIA YA KLABU YA SIMBA CHAZINDULIWA JIJINI DAR

$
0
0

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia akinyanyua juu cha kitabu cha "HISTORIA YA SIMBA" kuashiria uzinduzi wa kitabu hicho. Uzinduzi huo uliofanyika leo Julai 16, 2014 katika Club ya Simba jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia kulia ni mtunzi wa kitabu hicho Mwina Kaduguda, Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota Bw. Mkuki Bgoya ambao ndio wachapishaji wa kitabu hicho pamoja na Mjumbe wa TFF.

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Klabu ya Simba, Bw. Collin Frisch akiongea kwa niaba ya Rais wa Simba, ambapo amempongeza mtunzi wa kitabu Mwina Kaduguda kwa kuweiweka Klabu ya Simba kwenye Kumbukumbu muhimu ya maandishi. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota, Bw. Mkuki Bgoya, Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Juma Nkamia na Mjumbe wa TFF.
Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota Bwana Mkuki Bgoya akieleza machache mbele ya waandishi wa habari wakati wakizinduzua kitabu hicho.
Mtunzi wa kitabu cha "HISTORIA YA SIMBA", Bw. Mwina Kaduguda akielezea changamoto alizozipata kwa muda wa miaka saba wakati akiandaa anaandaa kitabu hicho. Ambapo alisema dhumuni kubwa la Kutunga kitabu hicho ni kutunza historia ya soka ya Timu hiyo isipotee ili iweze kusomwa kizazi na kizazi. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Juma Nkamia, Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota Bw. Mkuki Bgoya ambao ndio wachapishaji wa kitabu hicho.
Mtunzi wa Kitabu cha "HISTORIA YA SIMBA", Bw. Mwina Kaduguda akimkabidhi Kitabu chake Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia Zawadi ili ampekelekee Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia akitoa neno kumpongeza Mwina Kaduguda kwa kufikiria mbali sana kwa kuweka soka la Tanzania kwenye maandishi namna klabu ya simba ilivyoanza, Pia aliongeza kuwa Klabu za soka Tanzania zinatakiwa kuwa na watu kama Mwina Kaduguda ili kuleta maendeleo ya soka na kila mwanachama kujituma kwa bidii na kuacha kukaaa kwenye korido za Klabu na kupiga Zoga.
Mwandishi wa Habari wa Shirika la Habari la BCC, Arnold Kayanda akifanya mahojiano na Kamati ya Utendaji Klabu ya Simba, Bw. Collin Frisch jinsi walivyokipokea kitabu hicho. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
---
Historia ya Klabu ya Simba Tangu 1920 hadi 2014
Mwandishi: Mwina Kaduguda
Mchapishaji: Mkuki na Nyota Publishers
Mwaka: 2014
Kurasa: 128
Bei: Shilingi 15,000/=


Muhtasari wa Kitabu

Hiki ni kitabu cha kwanza chenye historia ya kina ya Simba Sports Club. Kama mpenzi wa soka, hususan mkereketwa wa Simba, utajua chimbuko na undani wake tangu ilipoanzishwa hadi hii leo. Vilevile utaweza kutumia kitabu hiki kama ushahidi katika mabishano na mijadala inayohusiana na klabu, wachezaji, viongozi, timu pinzani na bila kusahau historia ya soka la Tanzania kwa ujumla.


Utasoma vioja vya soka letu kama vile ushabiki wa kupindukia, vituko na imani za kishirikina, makundi yaliyotia fora, migogoro, mafanikio, picha za matukio mbalimbali, bila kusahau rekodi za mwenendo wa timu na misimamo ya ligi katika historia ya klabu.



Kwa kukisoma kitabu hiki utafahamu pia mambo mengi yanayolizunguka soka la Tanzania, kwani rekodi hizi hazipatikani kwa urahisi na mwandishi ametumia muda mwingi kufanya utafiti na kukusanya taarifa kutoka vyanzo mbalimbali rasmi kama vile maktaba, vitabu, magazeti, nyaraka na kuwahoji wazee wa zamani. Kwa mfano, utajua ni lini soka liliingia na kusambaa nchini katika karne ya 20, mpasuko uliozaa Simba na Yanga na mengine mengi ya kuburudisha, kuelimisha na kusisimua.



Kuhusu Mwandishi

Mwina Mohamed Seif Kaduguda, mzaliwa wa Kasulu, Mkoa, wa Kigoma ana shahada ya Bachelor of Arts (B.A. Hons), Ushirikiano wa Kimataifa na Utawala, UDSM 1992, Cheti cha Uandishi wa Habari-TSJ, 1994. Ana Diploma ya Ukocha wa Soka HUPE-Budapest, Hungary 1997, Cheti cha Utawala wa michezo-IOC, 2001, Cheti Cha Uamuzi wa Soka-FRAT, 2001 na Cheti Cha Juu cha Ukocha-CAF, 2006.


Ameshika nafasi nyingi za uongozi wa Mpira wa Miguu nchini zikiwamo zile za Katibu Mkuu FAT sasa TFF, 2003–2004, Katibu Mkuu TAFCA, 2002–2008, Katibu Mtendaji SPUTANZA, 2001–2004, Katibu Mkuu TASWA, 1997–2004 Mkufunzi Msaidizi wa Makocha wa soka TFF, 2006, Katibu Mkuu SIMBA S.C., 2006–2010 na Mjumbe BMT, 2000–2005. Ameshiriki katika makongamano ya kimataifa ya michezo Toronto-Canada, Athens-Ugiriki, Kuala Lumpur-Malaysia na Sandton City-Afrika ya Kusini.



Hivi sasa ni mwalimu katika Shule ya Sekondari ya Jitegemee, Dar es Salaam na anapatikana kwa mahojiano na majadiliano kuhusu mada mbalimbali zilizomo kitabuni.


KWA TAARIFA ZAIDI AU MANUNUZI YA JUMLA NA REJA REJA WASILIANA NA:
Mkuki na Nyota Publishers Ltd
Simu: 0787558448

WATANZANIA CHANGAMKIENI FURSA: ZAIDI YA AJIRA 5,000 KUZALISHWA KUTOKANA NA MTAMBO WA GESI ASILIA

$
0
0
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.
Zaidi ya watanzania 5000 wanatarajiwa kupata ajira kutokana na mtambo wa gesi asilia ambao unaanza kujengwa hivi karibuni.

Imeelezwa kwamba kupitia Mtambo wa LNG viwanda mbalimbali vitakuwepo katika mikoa ya Lindi na Mtwara ambavyo vitatokana na uzalilisha wa gesi.

Hayo ameeleza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania (TPDC), Yona Killagane jijini Dar es Salaam ambapo amesema kwamba hadi watanzania wanatakiwa kuanza kuchangamkia fursa hizo mapema ili kuweza kujiinua kiuchumi.

Aidha Mkurugenzi huyo ameeleza kuwa Uchumi wa nchi unaweza kukua kwa kutumia gesi asili ambapo hadi sasa viwanda 37 vinatumia gesi ambapo vimeweza kuokoa dollar Million 400 katika uzalishaji wao.

Zaidi ya Gesi Asilia trillion 50.5 imegundulika nchini ambapo trillion 42.5 zimetoka katika kina cha kirefu cha majina trillion 8 zimetoka nchi kavu.

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA UJUMBE TOKA CHUO CHA ST THOMAS CHA MAREKANI

$
0
0
s1: Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na ujumbe kutoka Chuo cha St. Thomas cha Marekani uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 16, 2014
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM jijini Dar es salaam leo. s1: Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na ujumbe kutoka Chuo cha St. Thomas cha Marekani uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 16, 2014

PICHA NA IKULU

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue leo tarehe 16 Julai, 2014 amekutana na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Thomas cha Minnesota, Marekani wanaotembelea Tanzania kujifunza uzoefu wa Tanzania katika masuala ya kiuongozi na anuwai ya tamaduni. Wanafunzi hao ambao kwa idadi yao ni wanafunzi 14 wanaochukua Shahada za Uzamivu na Uzamivu katika masuala ya Uongozi wa Kimataifa pamoja na Wakufunzi wao wawili, Dkt. Jean Pierre Bongila na Dkt. Artika Tyner.

Mkutano huu ni mwendelezo wa mkutano kama huu ambao Katibu Mkuu Kiongozi aliufanya mwaka jana na kundi jingine la wanafunzi kutoka Chuo hicho ambapo aliwapa uzoefu wa uongozi na anuwai ya tamaduni katika Tanzania, Afrika na katika medani za kimataifa.

Kwa kutambua umuhimu wa nasaha walizozipata wanafunzi wa mwaka jana, Chuo hicho kiliomba na kukubaliwa fursa nyingine ya kuonana na Katibu Mkuu Kiongozi. Ziara ya wanafunzi hao ilianzia Arusha tangu tarehe 12 Julai, 2014 na itamalizika tarehe 17 Julai, 2014.

Pamoja na kupata fursa ya kuonana na kuzungumza na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Arusha, wanafunzi hao walipata pia muda wa kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo Arusha na baadaye Zanzibar. Na matarajio ni kuwa wanafunzi hao watakuwa mabalozi wazuri wa kuitangaza Tanzania sehemu mbalimbali za dunia watakakokwenda kufanya kazi.

Kwa ujumla, wanafunzi wamepata fursa nzuri ya kuuliza maswali yaliyogusa maeneo yote yanayohusu uongozi, siasa, uchumi, elimu, afya na utamaduni ambayo yalipata ufafanuzi wa kutosha kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi.

WADAU WAMFANYIA SUPRISE BETHDEI MSANII SHETTA, WAMUOGESHA KWA MAJI YA UKOKO WA UJI

$
0
0
 Wasanii wakimwagia maji msanii Sheta huku akijifuta.
 Msanii Queen Dareen yeye uzalendo ulimshinda baada ya kuishiwa maji na kukimbilia sufuria lililokuwa na ukoko wa uji na kuanza kumwagia huku wadau wakiimba wimbo wa kumpongeza.
 Msanii Sheta akitia huruma asijue la kufanya.
 Haya aliona yamezidi ikabidi awaombe wadau wamalize ili akabadilishe nguo.
 Babu Tale (Kushoto mwenye tisheti ya Blue) akiongoza nyimbo za pongezi huku Mkubwa Fela (Kulia mwenye isheti ya Blue) akuongoza waimbaji wote.
 Msanii Simple yeye alikuja watu wanamalizia malizia  hakuona tabu kuja na maji ya kutosha ili kuweza kumalizia shoo.
 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Sheta jana Julai 16, 2014 alijikuta katika hali ya masikitiko makubwa baada ya kukamatwa na kuanza kuimbiwa wimbo wa kupingezwa siku yake ya kuzaliwa huku wakiendelea kumwagia maji, na maji ya ukoko wa uji.

Mara nyingi siku ya kuzaliwa kwa baadhi ya watu (birthday party) husindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika, sasa kilichomtokea Shetta kimekuwa ni tofauti kidogo pengine kutokana na sehemu aliyokuwepo.

Maswahibu yote hayo yalimkuta msanii huyu, wakati alipohudhuria futari iliyoandaliwa na Tanzania House of Talent (THT) sasa baada ya watu kufuturu tu na yeye kuingia wakamwita pembeni kama wanaongea nae kilichofuata hapo sasa ni maji tu.

Sasa hii imekuwa tofauti kwa sababu Shettah kamwagiwa hadi maji ya Ukoko yaliyokuwa yamelowekwa kwenye masufuria yaliyokuwa na chakula pale THT. Pole na hongera Baba Qaylah.

TIDO MHANDO AAGA MWANANCHI

$
0
0
Na Mwandishi wa MCL, Dar es Salaam. 

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Tido Mhando amewaaga wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya kumaliza mkataba wake wa miaka miwili na nusu.

Mkataba wa Tido katika kampuni ya Mwananchi utafika kikomo mwishoni mwa mwezi huu.

Taarifa ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Nation Media Group (NMG), Linus Gitahi kwa wafanyakazi wote wa Afrika Mashariki ambako kampuni hiyo inamiliki vyombo vya habari, inasema Mhando anaondoka MCL huku akiacha mafanikio makubwa katika nyanja zote na kwamba atakumbukwa kwa mchango wake.

MCL ni kampuni tanzu ya NMG inayochapicha magazeti ya Mwananchi, Mwananchi Jumamosi, Mwananchi Jumapili, The Citizen, The Citizen on Saturday, Sunday Citizen na Mwanaspoti.

Kabla ya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa MCL mwaka 2012, Mhando alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kati ya mwaka 2006 na 2010. Awali alikuwa Mkuu wa Idara ya Kiswahili ya Shirika la Utangazaji la BBC (1999-2006).

Mhando aliiwezesha MCL kukua kwa kasi kubwa katika mapato na katika mpango wa uchapishaji wa magazeti ya MCL Kanda ya Ziwa ambako wakazi wa mikoa hiyo sasa wamekuwa wakisoma magazeti asubuhi tofauti na zamani.

Wafanyakazi wa MCL walimpongeza kwa kuboresha masilahi yao kwa kipindi cha uongozi wake na kuandaa misingi bora ya uongozi, ikiwamo kumwandaa mrithi wake.

Akiwaaga wafanyakazi jana asubuhi, Mhando aliwashukuru kwa ushirikiano wao pia alisema amejifunza mambo mengi mapya, ikizingatiwa kuwa kwa miaka mingi alikuwa kwenye sekta ya habari ya utangazaji tofauti na uchapishaji. “Safari hii ilinipa uzoefu mpya na wenye changamoto nyingi lakini kupitia ushirikiano wenu wa dhati tulifanikiwa kuiweka kampuni katika hali nzuri,” alisema Mhando.

Gitahi alisema nafasi ya Mhando itachukuliwa na aliyekuwa Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa MCL (COO), Francis Nanai.

Nanai alijiunga MCL , Agosti mwaka jana akitokea Kampuni ya Saruji ya Mbeya Cement (Lafarge Tanzania) ya mkoani Mbeya akiwa Mkurugenzi wa Biashara.

RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU IKULU, DAR ES SALAAM

$
0
0

Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum (aliyesimama kushoto), akitoa neno la Shukurani baada ya futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Jk4: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu kwa kuhudhuria katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Sehemu ya waliohudhuria katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014

PICHA NA IKULU

CHEKA NA KITIME: KUMBE KULIMA LAMI MJINI DILI, SASA AANZISHA KAMPUNI

$
0
0
Siku moja nilikuwa nasikiliza wimbo mmoja wa Malkia wa Mipasho Bi Khadija Kopa, alikuwa anawapasha wakuja kuwa wasije na majembe mjini watalima lami. Nikacheka sana na kujiuliza fala gani atakuja mjini kulima lami? Si atakufa kwa njaa jamani. 

Sasa juzi nimebadili mawazo, nimegundua kumbe kulima lami ni bonge ya dili. Kuna kabarabara fulani kako mitaa ya ndani ndani kule Kijitonyama Dar es Salaam mjini. Haka kabarabara kama miezi sita iliyopita hivi kakafungwa kama wiki kadhaa kakapakwa lami. 

Miezi miwili badae lami si ikaanza kubanduka, lile bonge la mvua lililoanguka baada ya hapo ndio likafuta kabisa kale kalami. Si ndio likaja hili dili la kulima lami. 

Jamaa flani wakaanza kufunga barabara upande mmoja wanalima lami kwa siku mbili tatu kisha wanafungua barabara upande huo wanafunga upande mwingine wanaendelea kulima lami huko, ushafika mwezi wa pili sasa gemu hilo linaendelea, vibarua na vijamba koti vya rangi za kung’aa wanalipwa kwa kulima lami, lazima aliyewaajiri anachukua mpunga mzito, toka kwa wenye barabara. 

Jamaa hawa wakitaka kokoto za kujaza walipolima, wanakodi hivi visuzuki vilivyokaa kama viloli vya kuchezea, ambavyo madereva wake wanaendesha utadhani wanaendesha vibajaji, wanakodi halafu wanaenda kuomba kokoto sehemu kuna mtu kamaliza ujenzi, wanakuja fukia pale walipolima. 

Kwa hiyo na mimi hili dili sitaki linipite, nina mpango wa kununua majembe manne, sululu mbili, na vile vijamba koti vyenye rangi ya kung’aa vinne, nikipata hivyo naanzisha kampuni natafuta kazi ili nami niwe naingiza mkwanja kwa kulima lami. Hili dili liko wazi kabisa.

THT YAANDAA HAFLA YA KUMUAGA MSANII LINAH JIJINI DAR

$
0
0
 Mkurugenzi wa Tanzania House Of Talent (THT) Ruge Mutahaba akiongea katika halfa ya kumuaga msanii Linah jana Julai 16, 2014 kutoka kwao na kuelekea kampuni ya No Fake Zone (NFZ) ambao ndiyo wanaanza kumsimamia msanii huyo. Picha zaidi nyingine zitawajia baadae.

KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA YA MZEE GODFREY MSEI

$
0
0
Marehemu Mzee Godfrey Daud Msei

Mpendwa Baba yetu, mpaka kufikia tarehe 15 Julai 2015 umetimiza mwaka mmoja tangu ulipoitwa na Bwana bila ya neno la kwaheri kwetu.Tunakukumbuka sana na tunakosa uwepo wako,upendo wako na ucheshi wako ila tunasema kiroho tuko pamoja nawe daima.

Unakumbukwa na Mkeo, Bi. Elizabert, Watoto zako Fabian Msei, Daud Msei , Angella Msei, Jonathan (Gia) Msei,Rev. John Msei pamoja na James Msei, Wajukuu zako, Mama yako Mzazi Bi. Mboza,Dada zako,Shemeji zako,Kaka zako,ndugu,jamaa na Majirani.

Pengo lako halitazibika daima,tunamuoma Mungu aiweke roho yako mahala pema peponi.

-Amin.

Misa ya shukrani itafanyika katika kanisa la Anglikana,Mwenge/Kijitonyama jijini Dar es Saalam,siku ya jumamosi tarehe 19 Julai 2014.

Wote mnakaribishwa.

GARI LA MAREHEMU MAALIM GURUMO LAINGIA SOKONI

$
0
0
Gari alilokabidhiwa aliyekuwa gwiji wa muziki Muhidin Mohamed Gurumo ‘Maalim Gurumo’ ,  aina ya Toyota Fun Cargo.
Maalim Gurumo akiwa ndani ya gari alilokabidhiwa na Diamond.
Maalim Gurumo akiwa na mke wake enzi za uhai wake.
Na Shakoor Jongo, Dar es Salaam. 

Ikiwa takriban ni miezi minne kasoro tangu gwiji wa muziki Muhidin Mohamed Gurumo ‘Maalim Gurumo’ aiage dunia, gari aina ya Toyota Fun Cargo alilopewa kama zawadi na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdu ‘Diamond’ limedaiwa kupigwa bei.
Gari alilokabidhiwa aliyekuwa gwiji wa muziki Muhidin Mohamed Gurumo ‘Maalim Gurumo’ , aina ya Toyota Fun Cargo.

Chanzo makini kilicho karibu na familia kimepenyeza habari kuwa gari hilo lilizua utata baada ya kuwepo kwa mvutano baina ya baadhi ya ndugu na mke wa marehemu, Pili Nassoro ambapo walifikia hatua ya kufikishana polisi.

“Kuna watoto wa marehemu walitaka kulipiga bei gari muda mchache tu baada ya kumaliza msiba ndipo utata ulipoanzia kwa sababu mjane wa marehemu hakukubali kwani inasemekana marehemu aliacha wosia kwamba pindi atakapofariki, kadi ya gari hiyo akabidhiwe mkewe,” kilisema chanzo hicho.

Maalim Gurumo akiwa ndani ya gari alilokabidhiwa na Diamond.

Kikizidi kumwaga data chanzo hicho, kilidai kuwa Gurumo kabla hajafariki, alishajua tamaa ya baadhi ya ndugu zake hivyo aliamua kadi ya gari hiyo ibaki kwa meneja wa Diamond, Hamis Tale ‘Babtale’ ili hata akifa, apewe mkewe ambaye ndiye atakayekuwa na mamlaka na gari hilo.

“Marehemu alishawagundua baadhi ya ndugu wenye tamaa na mali hivyo akaona bora kadi hiyo ibaki kwa Babtale na kuacha wosia kwamba pindi akifa, akabidhiwe mkewe kama urithi wake,” kilisema chanzo hicho.

Maalim Gurumo akiwa na mke wake enzi za uhai wake.

Alipotafutwa Babtale kuhusiana na kukabidhwa kadi ya gari hilo, alikiri kuwa nayo lakini akasisitiza kuwa ameshapokea maagizo kutoka kwa mjane wa marehemu kuwa liuzwe hivyo wateja wanaotaka kulinunua gari hilo wamwone yeye.

“Kadi nilipewa kama meneja na msanii wangu (Diamond) nimtunzie kama maelekezo ambayo aliyatoa marehemu Gurumo hivyo akitokea mteja tunaliuza na fedha zote anachukua mjane wa marehemu,” alisema Babtale.

Diamond alimkabidhi marehemu gari hilo Agosti, mwaka jana katika Ukumbi wa Serena, Posta jijini Dar baada ya kuguswa na mchango mkubwa alioutoa Gurumo katika tasnia ya muziki nchini.

MALAYSIAN AIRLINES MH17 PASSENGER PLANE CARRYING 295 PEOPLE INCLUDING BETWEEN FIVE AND TEN BRITONS 'SHOT DOWN WITH GROUND-TO-AIR MISSILE' AT 33,000FT OVER UKRAINE NEAR TO RUSSIAN BORDER

$
0
0
*Malaysian Airlines flight MH17 shot down over territory held by Pro-Russian rebels in eastern Ukraine
*Body parts and wreckage spread over nine-mile area, suggesting plane broke up mid-air
*Whitehall sources say up to ten Britons feared dead, 23 Americans also thought to be on board
*US President Barack Obama calls the crash a 'terrible tragedy', and offers condolences to passengers' families
*Ukrainian interior ministry says plane was shot down by a BUK surface-to-air missile
*President Petro Poroshenko issued robust denial that his forces were involved, and calls crash an 'act of terrorism'
*Pro-Russian rebels also denied shooting down the plane and blamed Ukrainian air force
*Rebel leader says they now intend to call a three-day ceasefire to allow an investigation of the crash
*Journalists in region say they saw a Buk-type launcher in pro-Russian rebel hands yesterday

By DARREN BOYLE and SIMON TOMLINSON and JOHN HALL and LUCY CROSSLEY and MATT CHORLEY
A Malaysian Airlines passenger plane has been shot down on the Russian-Ukraine border in an 'act of terrorism', killing all 295 people on board including a reported five to ten Britons and 23 Americans.

The Boeing 777 aircraft was hit by a sophisticated surface-to-air missile over territory near Donetsk held by pro-Russian rebels who the Ukrainian government says are backed by the Kremlin.

The Ukrainian authorities laid the blame for the attack on the rebels by denying any responsibility for the missile launch, with President Petro Poroshenko called the downing an act of terrorism as he called for an international investigation into the crash.

TV pictures from the scene showed a pall of smoke billowing into the sky near Donetsk, apparently from the stricken flight MH17.

Witnesses say body parts are scattered over a distance of 15km, suggesting the plane broke up in mid-air.
Whitehall sources told MailOnline that between five and ten Britons were feared dead. Interfax news agency reported that 23 U.S. citizens were on board.
Crash site: Rescue workers inspect the wreckage of a Malaysia Airlines passenger plane which was shot down today above Ukraine, killed all 295 people on board
Crash site: Rescue workers inspect the wreckage of a Malaysia Airlines passenger plane which was shot down today above Ukraine, killed all 295 people on board
Destruction: The Boeing 777 aircraft was hit by a sophisticated surface-to-air missile over territory near Donetsk held by pro-Russian rebels who the Ukrainian government says are backed by the Kremlin
Destruction: The Boeing 777 aircraft was hit by a sophisticated surface-to-air missile over territory near Donetsk held by pro-Russian rebels who the Ukrainian government says are backed by the Kremlin
Laying the blame: The Ukrainian authorities laid the blame for the attack on the rebels by denying any responsibility for the missile launch, with President Petro Poroshenko called the downing an act of terrorism
Laying the blame: The Ukrainian authorities laid the blame for the attack on the rebels by denying any responsibility for the missile launch, with President Petro Poroshenko called the downing an act of terrorism
Burning: Rescue workers walk through the burning wreckage of the plane after it crashed near the town of Shaktarsk in rebel-held east Ukraine
Burning: Rescue workers walk through the burning wreckage of the plane after it crashed near the town of Shaktarsk in rebel-held east Ukraine
No survivors: Witnesses say body parts are scattered over a distance of 15km, suggesting the plane broke up in mid-air

AIRTEL YAPUNGUZA GHARAMA ZA MAWASILANO KWA WAGENI/WATALII

$
0
0

Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw, Sunil  olaso akifuatiwa na  Meneja Masoko wa Airtel bi, Prisca Tembo na  Mwenyekiti wa shirikisho la  wadau wa Utalii Tanzania Bwana Gaudence Temu , wakionyesha vifurushi vya bidhaa mpya ya Airtel Tourist Pack , wakati wa uzinduzi wa kifurushi hicho kitakacho wawezesha watalii kuwasiliana na familia zao mara wawapo nchi katika utalii, uzinduzi huu umefanyika leo katika makao makuu ya Airtel Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa shirikisho la  wadau wa Utalii Tanzania Bwana Gaudence Temu, wakionyesha vifurushi vya bidhaa mpya ya Airtel Tourist Pack, wakati wa uzinduzi wa kifurushi hicho.


Mkurgenzi mtendaji wa Airtel Tanzania bw, Sunil Colaso akionyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) kifurishi chenye vocha maalum na laini ya Airtel kwaajili ya watalii wanaoingia nchini kitakachojulikana kama Airtel Tourist pack, uzinduzi huo umefanyika leo ambapo Watalii watakaofaidika ni wale wanaotoka Amerika, India, Italia na Uingereza kufaidika na 'Airtel Tourist pack'

Viewing all 19878 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>