↧
RAIS JAKAYA KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA WAKATIZA MTAANI NA KUNUNUA NG'ONDA, TANGA
↧
KOMBE LA DUNIA 2014: UJERUMANI WABEBA KOMBE BAADA YA KUIFUNGA ARGENTINA 1 - 0


Goooooooooooooooooooooooooooo!!!!!![Celebrations: Gotze celebrates scoring his team's first goal with Thomas Mueller in the dying minutes of the World Cup final]()

Thomas Mueller akishangilia goli.

World cup winner: Gotze looks to the heavens after scoring his goal, deep into extra time

Mchezaji wa Timu ya Ujerumani Thomas Mueller akiwatoka wachezaji wa Argentina Marcos Rojo na Ezequiel Garay kwenye mecho ya fainali.

Wachezaji wa Ujerumani Christoph Kramer na Jerome Boateng

Mashabiki wa mpira wakiwa wamejitokeza kwa wingi ndani ya uwanja.


Mashabiki wampira wakiwa wamebeba picha ya captain Lionel Messi wa Argentina.

Kifamilia Familia zaidi: Mchezaji wa zamani wa timu ya England David Beckham akiwa na watoto wake watatu Brooklyn, Cruz na Romeo wakiwa wamevalia jezi ya timu ya Argentina.

Wachezaji wa zamani: Mchezaji wa zamani wa Brazili Kaka na Pele wakiwa na Beckham kabla ya mpira.

Mchezaji wa zamani wa timu ya Brazili (kushoto) akiwa na nyota David Beckham.

Mashabiki wa timy ya Ujerumani.

Mashabiki wa timu ya Argentina wakiwa katika nyuso za furaha.

Supporters: With their faces painted in a show of support for their home country, these German fans enjoy the match build up inside the Maracana

Utabiri wa mashabiki.

Kombe likiingizwa uwanjani.



Rais wa FIFA Sep Blatter akizungumza na German Chancellor Angela Merkel na Rais wa German Joachim Gauck

Wakiwa katika vyuso za taharuki ni Rais wa Russia Vladimir Putin, kushoto ni Rais wa FIFA (katikati) na Germany's Chancellor Angela.

Show love za mashabiki.


↧
↧
KOMBE LA DUNIA 2014: WAJERUMANI WAKABIDHIWA KOMBE LAO MARA BAADA YA KUINYUKA ARGENTINA 1 - 0
Ushindi! Ushindi! Ushindi! Wacheaji wa Timu ya Ujerumani wakishangilia ubingwa huku kapteni wa timu hiyo Philipp Lahm akiwa ameMEnyanya kombe.

Ilikuwa ni Furaha na Vifijo.![The boss: Germany coach Joachim Low (centre) lifts the World Cup as his players celebrate around him]()

Kocha wa Timu ya Ujerumani, Joachim Low akiwa amebeba kombe kwa furaha pamoja na wachezaji.

Mchezaji wa timu ya Ujerumani Andre Schurrle akipongezwa na mchumba wake Montana Yorke mara baada ya mechi kuisha.

Hii ndiyo furaha ya ubingwa kati ya Mario Gotze (lkushoto) na Thomas Muller


Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia kwa shangwe mara baada ya kufunga goli.![Superb stretch: Gotze volleys in with his left foot after taking a cross on his chest]()

Mchezaji wa Ujerumani Gotz akipiga shuti lililozaa matunda ya ushindi,

Mfumo wa goli waliloshinda Ujerumani na kuchukua ubingwa.


Mchezaji wa Argentina Palacio akimpiga kanzu korikipa wa timu ya Ujerumani.

↧
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAANDALIWA FUTARI NA IDARA YA RASILIMALI WATU YA KAMPUNI HIYO
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Idara ya rasilimali ya kampuni hiyo kwa ajiri ya wafanyakazi wake ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Hafla hiyo ilifanyika makao Makuu Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakishiriki katika Futari iliyoandaliwa na Idara ya rasilimali watu ya kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi wake ikiwa ni sehemu ya mwenzi mtukufu wa ramadhani hafla hiyo ilifanyika makao Makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon akishiriki katika futari iliyoandaliwa na Idara ya rasilimali ya kampuni hiyo kwa ajiri ya wafanyakazi wake ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Hafla hiyo ilifanyika makao Makuu Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Idara yaMauzo na biashara wa Vodacom Tanzania Ally Z. Ally akishiriki katika futari iliyoandaliwa na Idara ya rasilimali ya kampuni hiyo kwa ajiri ya wafanyakazi wake ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Hafla hiyo ilifanyika makao Makuu Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, Salehe Mohamed akishiriki katika futari iliyoandaliwa na Idara ya rasilimali ya kampuni hiyo kwa ajiri ya wafanyakazi wake ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Hafla hiyo ilifanyika makao Makuu Mlimani City jijini Dar es Salaam.
↧
HABARI MPASUKO: SHABIKI NGURI WA ARGENTINA, MWANI NYANGASA AJITOA MTANDAO WA FACEBOOK
Hatimaye shabiki Nguli wa Timu ya Argentina Mwani De Omar Nyangassa ameamua kujitoa katika mtandao wa facebook kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na uchungu wa timu yake kufungwa na Ujerumani (Wakoloni) kukosa kuchukua kombe la Dunia 2014. Mtandao huu unakupa pole kwa kufungwa ila piga moyo konde yote yataisha.
↧
↧
MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU CHALINZE

Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akimkabidhi zawadi ya Vyombo vya ndani na Tende mzee Said Khamis Mnyika wa kijiji cha Changarikwa kata ya Mbwewe kama zawadi ya mbunge huyo katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan kwa familia zenye mahitaji muhimu kutokana na kiushi katika mazingira magumu , ambapo vifaa vya ndani pamoja na Tende zitatolewa kwa familia zipatazo 600 katika kata zote za jimbo hilo, huu ni mwendelezo wa shughuli za mbunge huyo katika kuwatumikia wapiga kura wake na kuboresha maisha yao ikiwa ni mikakati yake ya kufikia malengo aliyojipangia kwa kushirikiana na wananchi wa jimbo la Chalinze, Kulia ni Mzee Ahmad Ramadhan mmoja wa wazee wa kijiji cha Changarikwa akingoja kukabidhiwa zawadi zake .(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBWEWE-CHALINZE)
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akimkabidhi zawadi ya vyombo vya ndani na Tende Mzee Ahmad Ramadhan mmoja wa wazee wa kijiji cha Changarikwa wakati alipotoa zawadi hizo kwa familia zenye mahitaji muhimu katika kata ya Mbwewe jana.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi zawadi hizo Bi.Halima Hassan katika kijiji cha Changarikwa jana.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wazee wa kijiji cha Kwaruhombo Kata ya Mbwewe jana baada ya kuwakabidhi zawadi ya Tende,Wa pili kutoka kushoto ni rehema Zando Diwani viti maalum Bagamoyo.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi aliowakabidhi zawadi hizo, baadhi ni viongozi wa kata hiyo na wilaya ya Bagamoyo.
Mzee Said Khamis Mnyika kushoto na Mzee Ahmad Ramadhan wa kijiji cha Changarikwa wakiwa na zawadi zao mara baada ya kupokea kutoka kwa Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete jana.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akipanga vifaa mbalimbali kwenye ofisi ya CCM kata ya Mbwewe kabla ya kuvikabidhi kwa familia za watu wenye mahitaji muhimu jana.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi zawadi ya vyombo vya ndani na Tende Bw. Abdulrahman Juma wa Mbwewe.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi zawadi hizo Mlemavu Halia Saleh.
Baadhi ya akina mama wakiwa na zawadi zao mara baada ya kukabidhiwa
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi aliowakabidhi zawadi, wengine ni baadhi ya viongozi wa kata hiyo na wilaya ya Bagamoyo.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimsikiliza mmoja wa akina mama waliopokea zawadi hizo wakati alipokuwa akitoa shukurani zake kwa Mh. Mbunge Ridhiwani Kikwete.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akihojiwa na baadhi ya waandishi wa habari mara baada ya kukamilisha kazi ya kugawa zawadi hizo kwa baadhi ya familia zinazoisi katika mazingira magumu.
↧
WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA






Khalid Chokoraa wa Bendi ya Mapacha Watatu akifuatilia kinachoendelea.





WASHIRIKI wa ‘Tamasha la Usiku wa Matumaini’ leo wametambiana kwenye mkutano na vyombo vya habari uliofanyika Hoteli ya Atriums iliyopo Sinza, Afrika-Sana jijini Dar es Salaam.
Katika mkutano huo wa tamasha hilo la burudani mabondia, Mada Maugo na Thomas Mashali, kila mmoja amejitapa kumchakaza mwenzake katika pambano hilo huku Mbunge wa Nzega, Dkt. Hamis Kigwangala, aliyewawakilisha wabunge wa timu ya Simba alijitapa timu yake kuwamaliza Yanga.
Msanii wa Filamu za Maigizo, Issa Mussa 'Clouds 112' ambaye katika tamasha hilo atachapana makonde na Jacob Steven 'JB' katika mchezo wa 'boxing' wote wameahidi kutifuana 'kinomanoma'.
Rais na mwakilishi wa timu ya Bongo Muvi Unity, Steve Mengere 'Steve Nyerere', alitamba timu yake kuigaragaza timu ya Bongo Fleva ambapo mwakilishi wake, Haruni Kahena 'Inspector Haruni', alisema wao ndio watakaoibuka kidedea na kuwapiga Bongo Muvi Unity kwa mabao 7-1 kama walivyofanywa Wabrazil na Ujerumani wiki iliyopita kwenye nusu fainali za Kombe la Dunia.
Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika Agosti 8 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, ambapo huu utakuwa ni mwaka wa tatu mfululizo kufanyika likiandaliwa na Kampuni ya Global Publishers Ltd.
(HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS / GPL. )
↧
AIRTEL YATOA FUTARI KWA WATOTO YATIMA MKOANI MWANZA
![]() |
Upakuaji ukiendelea. |
![]() |
Meneja wa Airtel mkoa wa Mwanza David Wankulu (kushoto) akiwa na Meneja wa Masoko Kanda Emanuel Raphael wakisaidizana kufanikisha shughuli hiyo ya makabidhiano. |
![]() |
Mafuta kwa Kituo. |
![]() |
Vijana wa Kituo cha watoto yatima cha Sharif Said Al-Bith kilichopo eneo la Nyegezi Majengo Mapya jijini Mwanza katika picha ya makabidhiano na wadau wa Airtel. |
![]() |
"Hawa ni watoto wetu, hivyo tunapaswa kuwalinda" Kauli ya pamoja ya wadau wa Airtel kwa wale wote wenye mapenzi mema. |
![]() |
Sambamba na kuzibainisha changamoto wanazokabiliana nazo kama vitabu, madaftari,magodoro na sehemu za kulala, msimamizi wa kituo Al-Hajji Hussein pia naye alikuwa na yake ya kusema. |
![]() |
Ahmad Mustapha ni mmoja kati ya vijana wanao lelewa na Kituo cha watoto yatima cha Sharif Said Al-Bith kilichopo eneo la Nyegezi Majengo Mapya jijini Mwanza akitoa shukurani zake. |
![]() |
Shumbana Hassan ni mmoja kati ya watoto wa kike wanao lelewa na Kituo cha watoto yatima cha Sharif Said Al-Bith kilichopo eneo la Nyegezi Majengo Mapya jijini Mwanza akitoa shukurani zake. |
![]() |
Licha ya kuushukuru uongozi wa kituo kwa makaribisho mazuri Meneja Biashara Kanda ya Ziwa Raphael Daudi amesema kuwa msaada huo ni utaratibu wa Kampuni ya Airtel kurejesha kwa jamii yake. |
![]() |
Shukuran...Aksante!! |
↧
JESHI LA POLISI ZANZIBAR LIMEMTIA MBARONI MMOJA WA WATUHUMIWA WA TINDIKALI
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
Makachero wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni mmoja wa washukiwa wa matukio ya tindikali visiwani hapa Alawi Mohammed Silima (25) mkazi wa Fuoni Melinne nje kidogo ya mji wa Zanzibar.
Afisa Habari Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar Inspekta Mohammed Mhina, amesema mtuhumiwa anahusishwa na tukio la kumwagia tindikali Sheha wa Shehia ya Tomondo mjini Zanzibar Bw. Mohammed Omar Saiidi Kidevu kabla ya kutoweka.
Inspekta Mhina amesema, Mtuhumiwa huyo ambaye kwa muda mrefu alikuwa akisakwa na Polisi kwa kuhusina na tukio hilo, alikamatwa juzi usiku akiwa mafichoni katika enero Fuoni baada ya taarifa za kiintelijensia kubaini kuwepo kwake.
Bado Makachero hao wanaendelea kumhoji mtuhumiwa huyo kwa lengo la kuubaini mtandao mzima wa matukio mbalimbali yakiwemo ya tindikali yaliyotokea siku za nyuma visiwani humo.
Kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo kunatokana na taarifa za siri za raia wema ambapo Jeshi la Polisi lilikua likiendelea na upelelezi wa chini kwa chini wa kumbaini mtuhumiwa na mahali alipojificha.
Baadhi ya wananchi wa Zanzibar wamepongeza kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo na kuliomba Jeshi la Polisi kuendelea na juhudi zake za kuwasaka watuhumiwa wengine wanaohusika katika matukio menginne kama hayo siku za nyuma viisiwani hapa.
Tukio la kumwagiwa tindikali kwa Sheha huyo, lilitokea majira ya saa 2.45 usiku Mei 22, mwaka jana, wakati Sheha huyo alipokuwa akirudi nyumba akitoka kuchota maji nyumba jirani. na kujeruhiwa vibaya mgongoni, kifuani, sikio na jicho la upande wa kulia.
↧
↧
TBC YAWAKUTANISHA WADAU WA MICHEZO KATIKA HAFLA YA KUHITIMISHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2014, DAR
Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia akiongea akiongea katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante ole Gabriel, akimkaribisha Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe. Juma Nkamia ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (kulia) akiwakaribisha wageni walioalikwa katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. ![]()

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante ole Gabriel, akiongea machache katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Mshehereshaji wa Hafla hiyo Elisha Elia akiongea machache.
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere akitoa shukrani zake kwa niaba ya wasanii katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ommy Dimpoz akiongea machache hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Kutoka kushoto ni Mboni Masimba, Mbunge wa Temeke Mh. Abbas Mtemvu pamoja na mchambuzi wa Mpira Manara katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Wasanii walioalikwa wakipakua chakula (futari) iliyoandaliwa katika hafla hiyo.
Wasanii mbali mbali walioungana katika hafla hiyo wakipata futari.
Wafanyakazi wa TBC hawakuwa nyuma kujipongeza kwa kazi nzuri waliyoifanya.
Wasanii wakifurahia jambo na Mchambuzi wa Mpira, Mw. Kashasha.
Msanii JB akiongea na Mchambuzi wa Mpira wa Miguu, Mwl. Kashasha.
Wasanii wakijadili mambo.
Dokta Cheni akishow love.
Mw. Kashasha nae alikuwepo.
Meza kuu kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana, Mbunge wa Temeke Mhe. Abbas Mtemvu, Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia pamoja na Mdau mkubwa wa Michezo, Juma Kipingu wakifuatilia mpira wa fainali ya kombe la dunia 2014, kati ya Argentina na Ujerumani
Wasanii wakifuatilia kwa makini mpira huo.
Wafanyakazi wa TBC nao hawakuwa nyuma.
Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakipongezwa kwa kazi waliyoifanya.
Picha ya pamoja ya viongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na wakurugenzi wa bodi.
PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
↧
KOMBE LA DUNIA 2014: RAIS WA ARGENTINA CRISTINA FERNANDEZ DE KIRCHNER AMPA MAPOKEZI YA HESHIMA MCHEZAJI LIONEL MESSI

Rais wa Argentina Cristina Fernandez de Kirchner (kulia) akimsalimia mchezaji Lionel Messi mara baada ya kuwapokea leo baada ya kurudi nchini kwao.
Mchezaji wa Argentina Lionel Messi leo Julai 13, 2014 amepokelewa nchini kwao na Rais Cristina Fernandez de Kirchner mara baada ya kushinda zawadi ya Mpira wa Dhahabu iliyotokana na kuwa mchezaji bowa katika mashindano ya Kombe la Dunia yaliyomalizika jana nchini Brazili. Mshabiki wengi wa soka wamempongeza sana mchezaji huyo kwa jinsi alivyocheza japo timu yake haikuweza kuwashinda Wajerumani.

Rais wa Argentina akimpa pongenzi meneja wa timu yao Alejandro Sabella.Pembeni ni mchezaji Lionel Messi.

Viongozi wa nchi ya Argentina wakifurahia jambo mapema leo mara baada ya kurudi nchini kwao.

Wachezaji Messi akiwa ameshikilia medali yake ya dhahabu baada ya kuibuka mchezaji bora katika mashindano ya kombe la dunia 2014 yaliyomalizika jana nchini Brazili na kuifanya timu ya Ujerumani kuibuka washindi.
↧
RAIS KIKWETE AFUTARISHA WANANCHI WA MBEYA

Meza Kuu katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

Mbunge wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” akipata futari na wananchi wenzie wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini MbeyaJumapili Julai 13, 2014.

Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini MbeyaJumapili Julai 13, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru wananchi wa Mbeya kwa kujitokeza kwa wingi katika futari aliyoiandaa katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru wananchi wa Mbeya kwa kujitokeza kwa wingi katika futari aliyoiandaa katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Sheikh Mohamed Ali Mwansasu akitoa mawaiadha baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini MbeyaJumapili Julai 13, 2014.

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Sheikh Mohamed Ali Mwansasu akitoa mawaiadha baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika futari aliyoandaa katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

Rais Jakaya Kikwete akiungana na wananchi wa Mbeya katika swala ya Magharibi katika futari aliyoandaa katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

Waziri wa Nchi Katika Ofisi ys Rais (Kazi Maalumu) Profesa Mark Mwandosya, na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” wakiungana na wananchi katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014. PICHA NA IKULU.
↧
PUNGUZO MAALUM LA MITUMBA GRADE ONE TOKA CANADA KUELEKEA SIKUKUU YA EID- EL-FITRI
Mwezi mtukufu wa Ramadhan, umebakiza takribani majuma mawili tu. Kwa maana hiyo, maandalizi ya sikukuu ya Eid-El-Fitri tayari yameshaanza. Eid huwa ni wakati wa furaha na mara nyingi huenda sambamba na kujumuika na ndugu,jamaa na marafiki kufurahi na kutukuza yale yote aliyotujalia Mwenyezi Mungu.
Palipo na mkusanyiko wa watu, huwa pia pana "mtoko". Kila binadamu hupenda kupendeza. Wenzetu wa jinsia ya kike,hupenda sio tu kupendeza bali pia kusifiwa kwamba "wamependeza". Kupendeza, kwa bahati mbaya, hakutokei kama ajali. Kunahitaji maandalizi. Sharti manunuzi yafanyike.
Ili nisije onekana mwenye choyo, napenda kukushirikisha katika hili. Kuna punguzo maalumu kabisa kuelekea sikukuu ya Eid-El-Fitri. Punguzo la nini? Tizama hapa chini. Soma.Usiache kumwambia na mwenzio.
↧
↧
MRADI WA MIL 700/- WA MATUMIZI YA RASILIMALI ENDELEVU USAMBARA WAANZA
Afisa Mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai (GEBR) Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko, (kulia) akisalimiana na Mtendaji wa Kata ya Mnyuzi, Bw. Gosbert Ishengoma mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za kata hiyo wilayani Korogwe. Katikati ni Afisa Usafi na Mazingira wa Wilaya ya Korogwe, Bw. Frederick Linga.
Na Mwandishi wetu, Korogwe
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limezindua mradi wa mamilioni katika eneo la hifadhi Usambara Mashariki, kwa mafunzo kwa wakazi waliomo na wanaozunguka hifadhi ya Usambara Mashariki.
Mradi huo ambao umelenga kuwainua wanavijiji kiuchumi huku wakitunza mazingira umepata fedha kutoka Shirika la Ushirikiano wa Maendeleo la Kimataifa la Korea ( KOICA).
Mradi huo unaotekelezwa katika vijiji 19 vinavyozunguka Hifadhi Hai ya usambara mashariki ikiwa ni utekelezaji wa mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai(GEBR).
Mradi huo utawawezesha wananchi kwenye vijiji hivyo kutumia raslimali zao kwa namna endelevu. Mradi huo unaojulikana kama “Green Economy in Biosphere Reserves (GEBR)”,wenye thamani ya shilingi milioni 700 utapunguza ukataji miti na kulinda hifadhi kwa kutumia raslimali kwa busara zaidi.
Mradi huo unatarajiwa kuwezesha wananchi wa maeneo hayo kupunguza umaskini kwa kutumia raslimali zilizopo kwa busara na wakati huo huo kuhifadhi mazingira.
Afisa Mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai (GEBR) Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko, akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi za kata ya Mnyuzi mara baada ya kuwasili wilayani hapo kwa ajili ya kuzindua mradi wa mamilioni katika eneo la hifadhi Usambara Mashariki, na kuendesha mafunzo kwa wakazi waliomo na wanaozunguka hifadhi ya Usambara Mashariki.
Baadhi ya shughuli zitakazofanyika katika mradi huo ni mafunzo ya kuwawezesha wananchi kufanya shughuli za kiuchumi katika hifadhi ambayo yalifunguliwa leo na Mjumbe wa Kamati ya Hifadhi Hai Tanzania, Joseph Kigula.
Mafunzo hayo kwa vijiji vitatu ambayo yanaendeshwa na EUBR na Wizara ya Mali Asili na Utalii wanavijiji watafunzwa masuala ya menejimenti ya biashara, soko, uhasibu, fedha, ujasiriamali mazingira na elimu ya hifadhi.
Elimu hiyo inatarajiwa kupanua uelewa wanakijiji kuhusu mahusiano ya biashara na hifadhi ya mazingira na kujenga uwezo wa ujasairiamali. Mafunzo mengine mawili yanatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka.
Mmoja wa wajasirimali, Jason J Drew alisema kwamba mazingira yamekuwa yakiathirika sana katika shughuli za kiuchumi na watu kuachana na dhana ya hamsini kwa hamsini.
UNESCO imesema ni matumaini yake kwamba katika mradi huu, mazingira ya maeneo hayo yataendelea kuneemeka huku wananchi wakifanya shughuli za kiuchumi.
Baadhi ya wanakijiji wa kata ya Mnyuzi wakitoa burudani kabla ya ufunguzi rasmi wa mafunzo hayo yaliyoanza jana kwenye hoteli ya SB Palace kata ya Mnyuzi wilayani Korogwe.
Akizungumza kwenye uzinduzi wa mradi huo, Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Hifadhi Hai Tanzania, Bw. Joseph Kibula alisema kuwa mradi huo ambao unatekelezwa katika maeneo ya Usambara Mashariki hapa nchini utawezesha wananchi wanaoishi kwenye vijiji vinavyozunguka hifadhi kutunza mazingira lakini kujiendeleza kiuchumi.
Kibula alisema nia kubwa ya mradi ni kukuza uchumi wa wananchi kwa kupitia njia zilizoboreshwa ambazo haziathiri rasilimali za misitu sambamba na kuanzisha biashara za kijani kwa ajili maendeleo endelevu ya wakazi wa maeneo hayo.
“Matarajio ni kuzijengea uwezo jamii za vijiji zenye bidhii ya kuhifadhi bioanuwai na kupunguza athari dhidi ya rasilimali za misitu …ili ziweze kutafuta riziki kwa maendeleo endelevu”,alisema Kibula.
Kwa upande wake, Afisa Mradi Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko, alisema wanatarajia elimu hiyo ilete mabadiliko chanya kwa wananchi kaika kupunguza umaskini na kufanya biashara za kijani kwa maendeleo endelevu ya jamii wa Hifadhi Hai ya Usambara Mashariki.
Ko alisema kuwa kutokana na ushahidi wa huduma zitokanazo na bioanuwai,biashara ya kijani ni zana itakayowezesha kuhifadhi na kuleta maendeleo endelevu kupitia mgawanyo wa maslahi unaolingana.
Afisa Mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai (GEBR) Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko akijumuika na baadhi ya wanakijiji wa Mnyuzi kucheza ngoma ya asili aina ya Mdumange kabla ya kufungua mafunzo hayo.
“Mradi huu unatoa fursa kwa jamii zilizopo na zilizopakana na hifadhi hai nchini Tanzania katika njia ya mazingira rafiki na uchumi wenye neema hususan Hifadhi Hai ya Usambara Mashariki…tunaamini kwa kupitia mradi huu na elimu hii mtaweza kujipatia utajiri mkubwa kwa kupitia shughuli za kiuchumi mtakazozifanya”,alisisitiza Mwakilishi huyo wa Unesco na Koica.
Nao baadhi ya wananchi waliopewa elimu hiyo walishukuru na kusema kuwa itawasaidia kupata mbinu za kufanya shughuli za kiuchumi kwa kutumia rasilimali zinazowazunguka.
“Katika utunzaji na uhifadhi wa mazingira tunafanya shughuli mbalimbali ikiwemo ufugaji wa nyuki,vipepeo na hata shughuli za mikono kwa akina mama hivyo elimu hii ya ujasiriamali itatuwezesha sana kujiinua kiuchumi na kuondokana na umaskini”,alisema Ayubu Rashid mkazi wa Kijiji cha Mnyuzi.
Mkurugenzi Msaidizi wa Mambo ya Kale Taifa, Bw. John Kimaro ( wa pili kushoto) akifurahi jambo na Afisa Mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai (GEBR) Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko (kushoto) wakati wa burudani huku mgeni rasmi Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Hifadhi Hai Tanzania,Bw. Joseph Kigula (wa tatu kushoto) akingalia taswira mbalimbali alizochukua kupitia "Tablet" yake.
Kwa mujibu wa UNESCO asilimia 38 ya ardhi ya tanzania imekaliwa na misitu ambayo ni muhimu kayika maisha ya wanadamu na viumbe hai.
Hata hivyo inaaminika kwamba asilimia 75 ya watanzania wanaishi vijijini wakitegemea zaidi maliasili na kilimo.
Wamesema utegemezi huo umekuwa kikwazo kikubwa katika hifadi ya misitu ambayo imekuwa ikivamiwa kwa ajili ya mahitaji ya nishati na mbao. Mradi wa GEBR unagusa wilaya ya Muheza, Mkinga, na Korogwe .
Mkuu wa msafara wa ugeni huo Mhifadhi Hifadhi ya Mazingira asili Amani, Bi. Mwanaidi Kijazi akitoa utambulisho wa meza kuu kwa washiriki wa mafunzo hayo kutoka vijiji 19 (hawapo pichani) watakaonufaika na mradi huo.
Mgeni rasmi Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Hifadhi Hai Tanzania, Bw. Joseph Kigula, akizungumza wakati akizindua rasmi mafunzo kwa washiriki kutoka vijiji 19 vinavyozunguka Hifadhi Hai ya usambara mashariki ikiwa ni utekelezaji wa mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai(GEBR) unaoratibiwa na UNESCO kwa ufadhili wa KOICA. Kulia ni Mwenyekiti wa Kata ya Mnyuzi, Bw. Juma Mkunguti, Kutoka Kushoto ni Afisa Mradi wa Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko, Mhifadhi Hifadhi ya Mazingira asili Amani, Bi. Mwanaidi Kijazi na Mkurugenzi Msaidizi wa Mambo ya Kale Taifa, Bw. John Kimaro.
Afisa Mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai (GEBR) Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko (wa pili kushoto) akizungumza na washiriki na kuelezea lengo la mradi huo ambapo amesema unalenga kuwakomboa kiuchumi na kupunguza umaskini kwenye jamii zao. Wa tatu kushoto ni Mkuu wa msafara wa ugeni huo Mhifadhi Hifadhi ya Mazingira asili Amani, Bi. Mwanaidi Kijazi akitafsiri kwa washiriki.
Mkufunzi wa Ujasiriamali/Biashara wa Program ya anzisha na imarisha biashara yako (SIYB) iliyochini ya Shirika la Kazi Duniani (ILO), Bw. Mussa Mashishanga akitoa mada ya namna ya kutafuta masoko kwenye mafunzo ya kuzijengea uwezo jamii za vijiji zenye bidii ya kuhifadhi bioanuwai na kupunguza athari dhidi ya rasilimali za misitu ili ziweze kutafuta riziki kwa maendeleo endelevu yanayofanyika kwenye Hoteli ya BS Palace kata Mnyuzi wilayani Korogwe.
Pichani juu na chini ni Sehemu ya washiriki kutoka vijiji 19 vinavyozunguka Hifadhi Hai ya Usambara mashariki ikiwa ni utekelezaji wa mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai(GEBR) wakifuatilia kwa umakini mafunzo hayo.
Mshauri na Mkufunzi wa Ujasiriamali/Biashara wa Program ya anzisha na imarisha biashara yako (SIYB) iliyochini ya Shirika la Kazi Duniani (ILO), Bw. Lawrence Ambokile akifafanua jambo kwa washiriki wakati wa mafunzo hayo.
Mgeni rasmi Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Hifadhi Hai Tanzania Joseph Kigula (walioketi wa pili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wakufunzi pamoja na washiriki wa mafunzo hayo.
↧
UJUMBE WA LEO
↧
VODACOM YAZINDUA KAMPENI MAALUM YA “WAIT TO SEND CAMPAIGN”
*Yakataza wafanyakazi kutumia simu wanapoendesha magari
Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua kampeni maalum ya kuhamasisha wafanyakazi wake kuhakikisha uendeshaji wa magari na vyombo vingine vya moto unaozingatia usalama ili kulinda afya na usalama wao wawapo barabarani.
Vodacom ambao ni washindi wa tuzo ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi inayotambuliwa na Mamlaka ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) imezindua kampeni hiyo ikiwa ni mwendelezo wa jitihada mbalimbali inazozichukua katika kuhakikisha usalama wa wafanyakazi wake wakati wote wanapokuwa kazini.
Kampeni iliyozinduliwa ya “Wait to Send Campaign” inawataka wafanyakazi wa Vodacom wanaotumia magari ya kampauni na wasiotumia kutotumia simu ya mkononi kutuma ama kusoma ujumbe mfupi wa maandishi ili kujiweka katika mazingira salama ya kujikinga na ajali wawapo barabarani.
“Tunayofuraha kubwa sana leo kuona tunapiga hatua nyingine moja ya ziada katika kulinda afya na usalama wa wafanyakazi wetu wakati wote. Hili ni jukumu letu tunalolipa kipaumbele cha hali ya juu katika uendeshaji wa shughuli zetu.”Alisema Mkuu wa Idara ya Usalama, Afya na Mazingira wa Vodacom Tanzania Karen Lwakatare.
“Kila mfanyakazi wetu lazima awe salama na tunapotambua uendeshaji wa majukumu yetu ambao matumizi ya magari na vyombo vingine vya usafiri ni sehemu ya kazi zetu na amsiha yetu ni lazima tukumbushane njia bora za uendeshaji ulio salama kwa faida yao na kwa kampuni pia.”Alisema Lwakatare
Lwakatare amesema ingawa hakuna ajali nyingi zinazowahusisha wafanyakazi wakiwemo wakandarasi wake lakini jambo hilo haliwezi kuifanya Vodacom kujisahau kwani lengo ni kuhakikisha hata hizo chache zinazojitokeza zinadhibitiwa na kuepukwa.
Amesema matumizi ya simu za mkononi kwa madereva ni moja ya visababishi vya ajali na hasa kutumia simu ya mkononi kutuma au kusoma ujumbe mfupi wa maadishi na kwamba wanataka kila mfanyakaizi atambue hilo na kujikinga dhidi ya janga analoweza kulipata kwa kutumia simu yake anapoendesha gari.
Amesema Vodacom inaangalia namna gani wanaweza kushirikiana na Jeshi la Polisi na wadau wengine kuendesha kuihusiha jamii nzima na kampeni hiyo ili kupunguza ajali za barabarani zinazochangiwa na matumizi ya simu za mkononi.
“Unaweza kuona kama ni kitu cha kushangaza kuwa sisi ndio watoa huduma za simu za mkononi halafu tunakataza matumizi ya simu hizo kwa madereva wawapo barabarani. Kwetu sisi maisha ya mteja wetu na mfanyakazi wetu ni yenye thamani kubwa zaidi kuliko jambo lolote.”
Vodacom Tanzania ni miongoni mwa makampuni yaliyowekeza vya kutosha katika kuhakikisha afya na usalama wa wafanyakazi wake mahala pa kazi huku kila mfanyakazi akitakiwa kutii amri kuu za usalama na afya wakati wote bila kukosa kwa kisingizio chochote.
↧
MADUKA MATATU IKIWEMO NYUMBA VYATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA JIJINI DAR
Gari likiwa linarudi nyuma lilipotokea baada ya kuona kuna moshi mkubwa mbele yao.
Mashuhuda wakiwa wameanza kuelekea eneo la tukio
Moto ukiwa unaanza kupamba moto, waya wa umeme unao onekana unashuka chini ndio umesababisha moto huo.
Duka la nguo likiwa linapamba moto na maduka mengine yakiwa yameanza kupamba moto pamoja na nyumba ambayo ilikuwa imeungana na duka.
Mmoja ya vijana akiwa anaanza kuokoa vitu vyake jirani na maduka yaliyokuwa yakiungua.
Moto ukiwa unazidi
Mamia ya watu wakiwa wamefika kushuhudia tutuki la Moto
Maduka mengine yakiwa yameanza kushika moto kwa kasi
Baadhi ya vyombo na vifaa vya duka la kushonea nguo vikiwa vimeokolewa
Mashuhuda wakiwa wanaongezeka.
Vijana wasamalia wema wakiwa wameacha kazi zao za kutengeneza magari, kufyatua matofari na mambo mengine wakiwa wanafanya kazi ya kuanza kuuzima moto.
Vijana wakiwa wameanza kufanya kazi ya kuzima moto baada ya Kikosi cha zima moto kuendelea kuchelewa kufika
Maduka yakizidi kwisha kwa kuteketea kwa moto, Huku wananchi wakipata tukio moja kwa moja
Baadhi ya Vijana wasamalia mwema wakiwa wanaondoa mabati ili kuzuia moto usiendelee kuwaka zaidi
Sehemu ya nyaya za umeme uliosababisha moto huo.
Vijana wakiendelea kufanya kazi ya kuendelea kuzima moto kwa ushirikiano.
Baadhi ya Mashuhuda wakimwagiwa maji kupisha njia ya waokoaji waliojitolea kuzima moto kupita.
Kikosi cha zima moto wakiwa wakiwa wanawasili eneo la tukio, huku wananchi wakiwazuia wasifanye kazi kwa kuwa kazi wamekuta imeisha
Kikosi cha zima moto wakiwa wameanza shuguli ya kumalizia kuzima moto
Maji ya kuwasha yakiwa yamefunguliwa ili kuwatawanya watu wakae mbele kupisha kazi ya kuzima moto na uharifu.
Kikosi maalum cha kuzuia vurugu cha Jeshi la Polisi (FFU) wakiwa wamefika eneo la tukio kwa ajili ya kulinda usalama
TANESCO wakiwa wamefika eneo la tukio
Watu wakiwa wanazidi kuzuiliwa kupisha kazi ya uokoaji.
Kikosi Maalum cha kuzuia vurugu kutoka Jeshi la Polisi FFU wakiwa wanaongezeka kuongeza kuvu ya kuimarisha ulinzi
Kazi ya uokoaji ukiwa unaishia
Kikosi maalum cha zima moto wakiwa wanamalizia kazi ya kuzima moto kidogo uliobakia
Kila mtu anajitahidi kupata tukio
Kazi ikiwa inaelekea kumalizika
Baadhi ya mabaki uya mabati.
Hivi ndivyo maduka yalivyobakia pamoja na nyumba iliyo ungua
Mabaki ya vitu katika duka la vitambaa ya nguo na ushonaji.
Wananchi wa mwananyamala wakiwa wanasikika wakisema "Wamekuja zima moshi... wamekuja zima moshi..."
Kazi ikiwa imeisha hizi ndizo ndoo ambazo zilisaidia kwa kiasi kikubwa kuzima moto pamoja na baadhi ya vijana wachache walio saidia kuzima moto huo.
Habari na Picha kwa hisani ya Dar es Salaamu Yetu Blog.
Moto mkubwa uliosababishwa na hitirafu ya umeme umewaka eneo la Mwananyamala Jirani na Hospitali ya Mwananyamala na kusababisha kuungua kwa Maduka matatu pamoja na nyumba moja ambayo ilikuwa imeungana na duka moja wapo ambamo walikuwa wanauza vitambaa na kushona nguo.
Moto huo ulichukua zaidi ya masaa mawili ambapo wakazi wa eneo hilo ndio waliosaidia kwa kiasi kikubwa kuzima moto huo mpaka kuumaliza na baadae Kikosi cha kuzima moto kufika na kukuta moto ndio unaishia na kuendelea kumalizia kushirikiana na wananchi wengine kuzima moto huo.
Katika tukio la Moto huo hakuna mtu ambaye amedhuriwa ingawa katima maduka yote matatu walifanikiwa kuokoa baadhi ya vitu huku vilivyobakia kuteketea vibaya kwa moto huo.
↧
↧
RAIS KIKWETE AKUTANA NA WASANII KUTOKA MAREKANI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wasanii nyota wa filamu na muziki kutoka Marekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa Tanzania. Wasanii hao ni na Terrence J. Jenkins, mwendeshaji wa kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E! Entertainment (wa pili kulia) Chaka Zulu, Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka Kampuni ya Disturbing The Peace Records (wa pili kushoto) na Davis Banner, mwigizaji, mwanamuziki, mtunzi na msimamizi wa shughuli za muziki ambaye amepata kushinda tuzo maarufu ya Grammy.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitumia simu yake ya mkononi kuwaonesha vivutio vya kitalii wasanii nyota wa muziki na filamu wa Kimarekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa Tanzania. Wasanii hao ni Terrence J. (Jenkins), mwendeshaji wa kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E! Entertainment, mwigizaji wa filamu na mtunzi wa vitabu na Revi Shelton, Mtendaji wa Shughuli za Muziki katika Kampuni ya Outlet Media Group. Wengine ni Chaka Zulu, Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka Kampuni ya Disturbing The Peace Records na Davis Banner, mwigizaji, mwanamuziki, mtunzi na msimamizi wa shughuli za muziki ambaye amepata kushinda tuzo maarufu ya Grammy.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na wasanii nyota wa muziki na filamu kutoka Marekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa Tanzania. Wasanii hao ni Terrence J. (Jenkins), mwendeshaji wa kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E! Entertainment, mwigizaji wa filamu na mtunzi wa vitabu na Revi Shelton, Mtendaji wa Shughuli za Muziki katika Kampuni ya Outlet Media Group. Wengine ni Chaka Zulu, Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka Kampuni ya Disturbing The Peace Records na Davis Banner, mwigizaji, mwanamuziki, mtunzi na msimamizi wa shughuli za muziki ambaye amepata kushinda tuzo maarufu ya Grammy. PICHA NA IKULU.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na wasanii hao.
↧
WAUMINI WAFUNGA OFISI ZA KANISA LA MORAVIAN TANZANIA JIMBO LA KUSINI MAGHARIBI ZAFUNGWA, MBEYA
↧
GERMANY CELEBRATE AFTER WORLD CUP 2014 WIN IN BRAZIL BY DELIGHTING CROWDS IN BERLIN
Germany were intent on enjoying themselves as they arrived back in Berlin to celebrate winning the World Cup - even pre-rehearsing a hilarious routine to delight supporters.
Around half-a-million fans flocked to Brandenburg Gate in the country's capital on Tuesday morning to greet their heroes, and were in for a surprise.
Thomas Muller, Mats Hummels, Erik Durm and Christoph Kramer looked to be striding out on to the podium alone, but captain Philipp Lahm was behind them, unseen.

That went well! Philipp Lahm and Thomas Muller pulled off a stunt on stage in Germany on Tuesday

Having a ball: Christoph Kramer pretends to play the guitar as they entertain the huge crowd

Boy band material? (from left) Hummels, Lahm, Durm, Kramer and Muller all get in on the guitar act

Pleased: Bastian Schweinsteiger and Lukas Podolski pose with the World Cup trophy in Berlin

Where's Lahm gone? The Germany captain was hidden behind his four team-mates as they pulled off the stunt

And there it is! Lahm then emerges from the back to show off the trophy they won in Brazil by beating Argentina over the weekend.
Lahm crouched and revealed the shimmering World Cup as the other four fell to the ground in a move to draw huge cheers.
The Germany captain had earlier led his champions from the aircraft shortly after 10am local time, followed by Bastian Schweinsteiger who was wearing the country's flag, and the team were greeted by excited fans trying to get a glimpse of the trophy as they made their way through the airport.
During their 11-hour flight it was reported in Bild that the Germany players managed to get some rest. After partying on Monday to celebrate their fourth World Cup triumph, there was a reported hour delay after a baggage carrier had touched the plane.
Arsenal midfielder Mesut Ozil was delighted to touch down on home turf, and said on his Twitter account: 'back in the country of the world champions.'
Thousands of supporters lined the Fan Mile in the centre of Berlin as the team and manager Joachim Low, who were all dressed in identical winners T-shirts, took to an open-top truck to parade the World Cup trophy and show off their medals on their homecoming.
On the side of the black Mercedes truck was painted the years of Germany's triumphs at the biggest tournament in world football, '1954, 1974, 1990, 2014!'estyling in the rain with France team-mates

Have a bit of that: Lahm (left) dances as Thomas Muller lifts the World Cup aloft to adoring thousands

Delight: Podolski (l-r), Per Mertesacker, Mesut Ozil, Ron-Robert Zieler, Jerome Boateng and Sami Khedira
The president of the German Football Association (DFB) Wolfgang Niersbach was excited about the reception for the squad and he said in an interview with ARD: 'This is a dream. Seeing this enthusiasm. I do not know what in our country more can trigger this sense of belonging as this World Cup.
'Our players are looking forward incredibly to enjoy this moment.'
Germany coach Low held the trophy aloft to the sound of much cheering and applause as the truck slowly made its way through the thick crowds with hundreds of fans following behind as they hailed their heroes.

Final destination: Fans waited for the victors to arrive at the iconic Brandenburg Gate later in the morning


All ready to board? The players are whisked on to a team bus, that includes '2014!' to mark their achievement in South America

Give us a wave! Mesut Ozil (left to right), Ron-Robert Zieler, Erik Durm, Mats Hummels, Shkodran Mustafi and Roman Weidenfeller engage with the fans

↧