TIMU YA NETIBOLI YA UTUMISHI YAIBUKA MSHINDI DHIDI YA TIMU YA RASMANYARA
Timu ya mpira wa pete ya Utumishi ikipasha kabla ya kuanza mechi kati yake na RAS Manyara katika viwanja vya Chuo Kikuu Dodoma. Timu ya mpira wa pete ya utumishi ikiwa tayari kwa ajili ya ukaguzi kabla...
View ArticleM-PESA OUTAGE IN TANZANIA ON SEPTEMBER 21, 2013
We would like to apologise to our esteemed customers, business and banking partners and the general public, for their inability to access our M-Pesa service due to a planned upgrade of the M-Pesa...
View ArticleWATU WATATU WA FAMILIA MOJA WAUWAWA JIJINI MWANZA
Katika eneo la tukio la mauaji hayo mlango wa nyumba ulikuwa umefungwa kwa nje, na mara baada ya kufunguliwa maiti ya baba wa familia hiyo Jonus Elias (44) ilikuwa sebuleni huku ikiwa imechinjwa, nako...
View ArticleHABARI MPYAAAA; AJALI YA KIZEMBE YATOKEA JIJINI DAR
Ajali ya kujitakia kwa kufundishana gari imetokea muda huu eneo la Samora jijini Dar baada ya muosha magari kumuachia binti rafiki yake ambaye alikuwa hajui kuendesha. Tukio hilo limetokea muda huu...
View ArticleBAADA YA YANGA KUCHAPWA 3-2; PAMBANO LAINGIZA MIL 138/-
Yanga na Azam wakiingia uwanjani wakati wa mechi yao iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar jana.Pambano la Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya wenyeji Azam na Yanga lililochezwa jana (Septemba 22...
View ArticleMASHINDANO YA MISS UNIVERSE TANZANIA 2013 YAANZA RASMI KWA WAREMBO KUINGIA...
Baada ya usaili wa kumtafuta mrembo wa kurithi taji la Miss Universe Tanzaniakumalizika, kambi ya warembo kwa ajili ya kinyang’anyiro cha kumtafuta mrithi wa taji la Miss Universe Tanzania 2013 imeanza...
View ArticleSHAMIM MWASHA NA MARIAM NDABA NDANI YA KIPINDI CHA MKASI
Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleTANZANIA MABINGWA WASICHANA MASHINDANO YA KIMATAIFA AIRTEL RISING STARS
Mkurugenzi mkuu wa Airtel Nigeria Segun Ognsanya Katikati akiwakabithi captain wa timu ya wasichana Tanzania na kocha wa timu ya wasichana Rogacian Kaijage zawadi za ushindi mara baada ya kuibuka...
View ArticleWAKENYA WAFANYA MAOMBI KWA AJILI YA WENZAO WALIOTEKWA
Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMZEE MWINYI AWAONYA WANAOTUMIA ELIMU NA UJUZI WAO KUANGAMIZA USTAWI WA JAMII
Mgeni Rasmi Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akipokea mfano wa ndege wa Amani kutoka kwa wanafunzi wa shule mbalimbali za jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya Siku ya...
View ArticleVIONGOZI WA KENYA WAUNGANA KUTOKANA NA SHAMBULIO LA KIGAIDI
Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMHE. HARRISON MWAKYEMBE AFANYA ZIARA NCHINI MAREKANI
Mhe. Harrison Mwakyembe alipotembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Tanzania House, Washington DC. Katikati ni Mhe. Waziri Harrison Mwakyembe akiwa na ujumbe wake akiwa na baadhi ya...
View ArticleEDITORIAL JE! UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI UNABAGUA VYOMBO VYA HABARI...
Na Alex Kassuwi wa Swahili TV na Swahili Radio OnlineWiki iliyopita baada ya kulemewa na maswali kutoka kwa wasomaji,wasikilizaji, watazamaji na wafuatiliaji wa vyombo vyetu vya habari vya MMK MEDIA...
View ArticleTUWAOMBEE WAKENYA, MPAKA SASA WATU 62 WAUWAWA NA 175 WAMEJERUHIWA
Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleAIRTEL, PUMA, BE FORWARD KWA UJUMLA ZADHAMINI WIKI YA USALAMABARABARANI...
Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Mwandishi wa Habari Athumani Hamisi ambaye ameteuliwa kuwa balozi wa Usalama Barabarani na kudhaminiwa na Airtel katika wiki ya usalama...
View ArticleKIKOSI CHA WACHEZA WA TANZANIA AIRTEL RISING STARS CHAPOKELEWA KWASHANGWE...
Kikosi cha timu ya Airtel Rising stars cha Tanzania kikiwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Kambarage nyerere kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars nchini NigeriaTimu ya wavulana ya Airtel...
View ArticleALL HAIL FOR THE KING "HE'S BACK" - HUU NDIYO UJIO MOYA WA CPWAA
Mashabiki wake hupendelea kumuita "King of BongoCrunk".... jina halisi ni Ilunga Khalifa a.k.a CPwaa! Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tanzania ambaye baada ya ukimya mrefu sasa kuachia kazi zake...
View ArticleTAMASHA LA UTAMADUNI HANDENI KWETU KUFANYIKA DESEMA 14
Na Mwandishi Wetu, HandeniTAMASHA la Utamaduni lililopewa jina la ‘Handeni Kwetu 2013’ linatarajiwa kufanyika Desemba 14 mwaka huu wilayani Handeni, mkoani Tanga, likiwa na lengo la kutangaza sekta ya...
View ArticleRAIS UHURU KENYATTA ATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO KUANZIA KESHO SEPT 25 2013,...
Kutokana na mashambulio yaliyotokea kwenye shopping mall ya Westgate, Rais wa Kenya Uhuru Kenya amelihutubia taifa la Kenya na kusema maneno ya msingi kuhusu swala la Westgate. Moja ya vitu vikubwa...
View Article