VIKUNDI VYA ULINZI HANDENI VYAOMBA KUSAIDIWA
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi.Vijkundi vya Ulinzi Shirikishi wilaya ya Handeni mkoani Tanga, vimemuomba Mkurugrnzi wa wilaya hiyo kuwasaidia kupata ofisi na vitendea kazi muhimu ili viwawezeshe...
View ArticleMAJAMBAZI WAPORA RAIA WAWILI WA CHINA MAMILIONI YA SHILINGI DAR
Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleDROO YA KWANZA YA AIRTEL YATOSHA YAVUNA WASHINDI 7
Meneja Uhusiano wa Airtel Bw, Jackson Mmbando akionyesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) jinsi droo ya Airtel Yatosha inavyochagua mshindi wa kila siku wakati wa droo ya kwanza ya promosheni hiyo...
View ArticleABBAS TO MEET KERRY IN AMMAN
President Mahmoud Abbas will meet US secretary of State John Kerry on Tuesday in Amman, a Palestinian official close to negotiations said.The Palestinians expect Kerry to propose cosmetic steps without...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AMTAKA RAIS OMAR BASHIR WA SUDAN KUWASAKA WATU...
Rais Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Sudan Omar Hassan el Bashir hivi karibuni wakati wa Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia. (PICHA NA MAKTABA YETU)....
View ArticleSIKU YANGA ILIVYOSHINDWA KUCHOMOA MAKUCHA KWA RHINO NA KUTOKA SALE 0 - 0,...
Ilikuwa ni piga nikupige na kukuta kipa wa timu ya Rhino ya Tabora inayomilikiwa na JWTZ kuanguka chini na kuumia. Katika mpambano huo timu ya Yanga ilishindwa akufurukuta na kujikuta inatoka sale ya...
View ArticleMRADI WA UENDELEZAJI MIJI TANZANIA (TSCP) WAZAA MATUNDA KWA MIJI 18 NCHINI
Standi mpya ya Mabasi ya Dala dala iliyopo katikati ya mji wa Kigoma, Ni moja kati ya matunda ya Mradi wa Kuendeleza Miji hapa nchini (TSCP) chini ya OWM-TAMISEMI. Wawakilishi wa Benki ya Dunia na Timu...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DK BILAL AREJEA TANZANIA TOKA NCHINI NIGERIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiteremka kwenye ndege GF1 alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akitokea Nchini...
View ArticleHONGERA RAIS WA ZAMANI WA AFRIKA KUSINI KWA KUFIKISHA MIAKA 95
Rais mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela leo anaadhimisha siku ya kuzaliwa na kutimiza miaka 95 akiwa bado amelazwa hospitalini.Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleSHULE ZA UMMA ZAFUNGWA NCHINI KENYA KUTOKANA NA MGOMO WA WALIMU UNAONDELEA
Serikali nchini Kenya imetangaza kufungwa kwa shule zote za msingi za umma huku walimu wa shule za umma za msingi na sekondari wakisitisha mgomo wao.Waziri wa elimu profesa Profesa Jacob Kaimenyi...
View ArticleHALI YA HEWA YASABABISHA KUPANDA KWA BEI YA DAGAA JIJINI MWANZA
Bango linalokukaribisha katika soko la samaki Kirumba Mwaloni, Mwanza.Samaki ambao wameshachambuliwa... Wao huwaita mapankiDagaa wakiwa wamechambuliwa na kuanikwa daraja la kwanza ambapo kwa sasa debe...
View ArticleTIGO KUWEZESHA WATEJA WAKE KIUCHUMI KUPITIA PROMOSHENI YA MILIKI BIASHARA YAKO
Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga, akionyesha ufunguo wa Bajaji kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Uendeshaji wa Fair Deal auto-dealers, Bw. Anil Dewan kama ishara ya uzinduzi ya promosheni mpya ya...
View ArticleMHESHIMIWA EDWARD LOWASSA AWEKA WAZI MIPANGO NA MIKAKATI YAKE YA MWAKA 2015...
WAZIRI MKUU MSTAAFU, AMEONGELEA MAMBO MENGI IKIWA NI PAMOJA NA MUUNGANO, KATIBA, MABOMU ARUSHA NA MIPANGO YA 2015.TEMBELEA WWW.SWAHILITV.BLOGSPOT.COMCopyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMBUNGE AWAOMBA WAPIGA KURA KUMVUMILIA JUU YA AHADI ZA MAJI
MBUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Seleiman Nchambi amewaomba wapiga kura wake kuwa wavumilivu juu ya ahadi ya huduma za maji safi na salama alizozitoa wakati...
View ArticleWAFANYAKAZI WOTE WA AIRTEL DAR WAINGIA MITAANI KUTOA SOMO JINSI YAKUJIUNGA NA...
Mkurugenzi wa Airtel huduma kwa wateja Bi Adriana Lyamba alisema Airtel imefanya zoezi la kuingia mtaani jijini dar es salaam na wafanyakazi wao wote wa ofisi kuu jijini Dar es salaam kwa lengo ka...
View ArticleWANANCHI SASA KUPATA TAARIFA ZA HUDUMA ZA RITA KWA 'SMS' TOVUTI NA MITANDAO...
Naibu Waziri Angellah Jasmine Kairuki akizungumza katika hafla ya uzinduzi rasmi wa huduma ya mpya ya kidijitali za Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) ambazo zitawawezesha wananchi wote...
View Article