DK. SHEIN MGENI RASMI TUZO ZA TASWA
Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (Taswa), Amir Mhando akifafanua jambo kuhusu maandalizi ya hafla ya utoaji wa tuzo kwa wanamichezo bora wa mwaka ambapo mgeni rasmi anatarajiwa...
View ArticleBOXING RING HANDOVER CEREMONY
ZANTEL handed over to the Ministry of Spots, a world-class boxing ring as our support towards the sports development of Boxing in the country.We believe that sports have a significant role to play in...
View ArticleUS $35 MILLION GRANT FROM KING ABDALLAH OF SAUDI ARABIA TO FIGHT EBOLA IN...
Dr. Ahmed Mohamed Ali, President of the Islamic Development Bank (IDB).The Custodian of the Two Holy Mosques, Saudi Arabia’s King Abdallah bin Abdulaziz al-Saud has extended a grant of US$35 million to...
View ArticleMKUTANO MKUU WA CAMFED TANZANIA WAFANYIKA MJINI DODOMA
Mgeni rasmi Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma, Juma Kaponda akizungumza katika Mkutano mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la CAMFED TANZANIA ambalo linahusiana na kuwafadhili Watoto wa Kike wa Shule za...
View ArticleKATIBU MKUU UVCCM AANZA ZIARA YA SIKU 14 KANDA YA ZIWA
Katibu Mkuu wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ndugu Sixtus Mapunda anategemea kufanya ziara ya siku na nne (14) katika mikoa minne...
View ArticleKITUO CHA MSAADA WA SHERIA KWA WANAWAKE (WLAC) NA UNICEF WAZINDUA RIPOTI YA...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Maimuna Tarishi (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC), Grace Daffa, wakionesha vitabu vyenye ripoti ya mwaka mmoja...
View ArticleMDAU ANGELA AKILIMALI NA WENZAKE WALA NONDO YA MAWASILIANO YA UMMA
Kaimu Mgukurugeni wa Uhuru FM, Angela Akilimali (katikati) akiwa na wahitimu wenzake wa Shahada ya Mawasiliano ya uma ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) katika mahafali yaliyofanyika hivi katibuni...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI YAFANYIKA MKOANI DODOMA
Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Dodoma Bi. Amina Mfafaki akifafanua jambo wakati alipokuwa akiongea wakati wa kufunga maadhimisho ya siku 16 ya kupinga ukatili kwa wanawake na watoto katika ukumbi wa...
View ArticleMBUNGE FILIKUNJOMBE AWANUSURU KIAFYA WAKAZI WA DODOMA,AWAPA MSAADA WA VIFAA...
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akinywa maji kwa majani ya miti baada ya kuzindua mradi wa maji na kukabidhi vifaa vya kuvuta maji vyenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 14.5 kwa wakazi...
View ArticleMWANAMUZIKI MKONGWE HAMZA KALALA ‘KOMANDOO HAMZA KALALA AMETHIBITISHA...
KIONGOZI wa bendi mpya pia mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi nchini Hamza Kalala ‘Komandoo Hamza kalala ama unaweza kumwita mzee wa madongo’ amethibitisha kushiriki katika onyesho maalum la miaka...
View ArticleWAZAZI WA MISS TANZANIA 2O13 WAELEKEA LONDON KUMPA SAPOTI MTOTO WAO
Wazazi wa Miss Tanzania 2O13 Happiness Watimanywa Akiongozwa na Baba yake wa Tatu Kutoka Kushoto Pamoja na Mama yake wa Tatu Kutoka Kulia Wakiwa Wameambatana na Wadogo wa Miss Tanzania 2O13 Pamoja...
View ArticleMWANZA KUFIKIA MALENGO YA MILENIA KUKABILIANA NA AFYA YA MAMA NA MTOTO...
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akifungua Mkutano huo. Mratibu wa Afya ya mama na Mtoto mkoani Mwanza Secilia Mrema akitoa ufafanuzi mbele ya waandishi wa habari.Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa...
View ArticleTIGO YADHAMINI SHINDANO LA KUBUNI TOVUTI KWA WANAFUNZI WASICHANA JIJINI DAR...
Meneja wa Mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani), wakati wa shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi...
View ArticleMBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI, SHY-ROSE BHANJI AWAPIGA TAFU TAMWA
Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA Ananilea Nkya akipokea mchango wa 2M/- kutoka kwa Mbunge wa Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji, ikiwa ni msaada kwa ajili ya harakati za TAMWA katika masuala ya kijamii...
View ArticleMTU MMOJA AKUTWA AMEKUFA KWA KUJINYONGA MJI WA PONGWE, TANGA
MTU mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 27 mpaka 30 ambaye jina lake halijafahamika mpaka sasa amekutwa akining'inia juu ya mti wa Mwembe uliopo katika pori lililopo nje kidogo ya mji wa...
View ArticleMAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA UHASIBU TANZANIA (TIA) YAFANA, JIJINI DAR ES SALAAM
Kikosi cha band cha Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo. Wahadhiri wa Taasisi hiyo pamoja na mgeni rasimi wakiandamana kwenda uwanjani tayari kwa hafla hiyo....
View ArticleWASAIDIZI WA KISHERIA KATIKA MASOKO MANISPAA YA ILALA, WAMALIZA MAFUNZO YA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la Equality For Growth (EfG), Jane Magigita, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo. Kutoka kulia ni Mwakilirishi kutoka Ofisi ya Kamanda wa...
View ArticleDIWANI MATHIUS WA KATA YA MALANGARINI AFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI KATANI KWAKE
Diwani wa kata ya Mlangarini, Mathius Manga akizungumza na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa CCM kwa ajili ya kuwachagua viongozi wa serikali za...
View ArticleWAKENYA WAWAFUNIKA WATANZANIA MICHUANO YA TENISI DAR OPEN
Mmoja wa wadhamini kutoka kampuni ya mawikili ya IMMA ya Dar es Salaam, Alexander Sarac, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa michuano ya tenisi ya walemavu ya kimataifa kutoka Tanzania kwa...
View Article