TAHLISO KUFANYA MAANDAMANO YA AMANI AGOSTI 25, 2014
Na Hellen Kwavava wa Kajunason Blog, Dar es Salaam.Uongozi wa Jumuiya wa wanafunzi wa elimu ya Juu nchini (TAHLISO) umesema kwamba wamejipanga kufanya maandamano ya amani ifikapo tarehe 25 ya mwezi huu...
View ArticleWASANII WALIOSHIRIKI TAMASHA LA KILI MUSIC TOUR 2014 - DODOMA WAMFARIJI...
Mkali wa muziki wa reggae nchini, Ras Innocent Nganyagwa ambaye ni mkuu wa msafara katika Kilimanjaro Music Tour 2014 akimpa pole Mfalme wa Rhymes a.k.a Simba Mzee a.k.a Afande Sele kufuatia kifo cha...
View ArticleWANANCHI WAKIMBILIA KUCHOTA MAFUTA BAADA YA LORI KUANGUKA KIMARA, DAR
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleKUNDI LA BONGO DANSI LA SHEREHEKEA MWAKA MMOJA WA KUANZISHWA KWAKE NA VIJANA...
Baadhi ya wanachama maarufu wa bongo dansi kushoto ni Abdulfareed Hussein, Senetor Mwinyi na William Kaijage walipokutana katika sherehe za mwaka wa kundi hilo zilizofanyika vijana kinondoni Dar es...
View ArticleKILI MUSIC TOUR 2014 YAITEKA MJI WA DODOMA
Mwishoni mwa wiki ilikuwa zamu ya wakazi wa makao makuu ya nchi kuishuhudia ziara ya wasanii waliofanya vizuri nchini kwa kipindi cha mwaka 2013/2014 maarufu kama Kilimanjaro Music Tour. Ziara hiyo...
View ArticleSERIKALI YASHAURIWA KUTUNGA SERA YA KUDHIBITI POMBE
Banda la Mtandao wa mashirika yapatayo 30 ya kupambana na matumizi ya kupita kiasi ya pombe nchini (Tanzania Network Against Alcohol Abuse) kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana...
View ArticleKAAT WAJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (Kushoto) akiwakaribisha viongozi wa KAAT walipokwenda kumtembelea na kufanya nae mazungumzo nyumbani kwake. Katikati ni Rais Mpya wa KAAT, Bw....
View ArticleMAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA KICHINA KUANZA TAREHE 21 HADI 24 MWEZI HUU...
Mkurugenzi Mkuuwa Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na KilimoTanzaniaBw. Daniel Machemba akiongea na waandishi habari (hawapo pichani) kwenye mkutano wa waandishi kuhusu maonyesho ya bidhaa za...
View ArticleMTANGAZAJI MAULID KITENGE APATA USAJILI MPYA RADIO EFM JIJINI DAR
Mtangazaji mahiri wa habari za michezo,Maulidi Baraka Kitenge akisaini Mkataba wa kazi na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar Es salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa vipindi wa...
View ArticleALIYEKUA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI NCHINI, JAJI MSTAAFU LEWIS MAKAME...
Jaji Mstaafu Lewis Makame enzi za uhai wake---Taarifa iliyoifikia hivi punde,inaeleza kuwa aliewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini, Jaji Mstaafu Lewis Makame amefariki dunia mchana huu...
View ArticleWAZIRI GAUDENSIA KABAKA AIPONGEZA TPB KUTOA MIKOPO KWA WASTAAFU
Kutoka kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta (TPB), Sabasaba Moshingi, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka na baadhi ya viongozi meza kuu wakiwa wameshikana mikono na kuinyanyua juu...
View ArticleZANZIBAR YAJIWEKA TAYARI KUKABILIANA NA UGONJWA WA EBOLA KAMA UKIINGIA...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya kukabiliana na maafa Zanzibar akikiongoza kikao hicho kuweka mikakati maalum ya kupambana ya ugonjwa wa...
View ArticleBOMBA LA MAFUTA LA TAZAMA LAPASUKA GONGO LA MBOTO, DAR
Na Father Kidevu Blog.Bomba la mafuta linalotumika kusafirisha mafuta kutoka Bandari ya Dar es Salaam Tanzania hadi Nchini Zambia lijulikanalo kama TAZAMA limetobolewa na mafundi waKampuni ya Raddy...
View ArticleRADIO 5 YAJIPONGEZA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA UKANDA WA KASKAZINI MAONYESHO YA...
Mkurugenzi wa Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha Bw Robert Francis akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya...
View ArticleBUSINESS SEMINAR
Digital Billboard-Business Seminar(1)Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMAZUNGUMZO NA SALMA MOSHI KUHUSU UCHAGUZI DMV
Salma Moshi akizungumza na Mubelwa Bandio kwenye mahojiano hayaAgosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani ilifanya uchaguzi wake mkuu.Matokeo yake...
View ArticlePOLISI WAJIPANGA KUKOMESHA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi-Dodoma,Mkuu wa Dawati la Jinsia Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo, amewataka askari wote nchini hususan wale waliopo katika dawati la jinsia...
View Article