$ 0 0 Kituo cha polisi Msimbazi kipo salama moto ulizuka sehemu ya canteen na umedhibitiwa. Chumba kimoja tu cha VIP ndicho kilishika moto.Habari kamili zitawajia hapo kesho...