Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

RAIS ATEMBELEA TENA JENGO LILILOPOROMOKA, WATU 21 WAMEKUFA MPAKA SASA

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkuu wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Bw. Suleiman Kova na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (suti nyeusi pembeni ya Rais) katika eneo la jengo lililoporomoka mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam leo Machi 30, 2013 ambapo hadi sasa watu wapatao 21 wakufa, huku majeruhi wakiwa ni 17. Juhudi za ukoaji bado zinaendelea mpaka sasa.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (suti nyeusi pembeni ya Rais) katika eneo la jengo lililoporomoka mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam leo Machi 30, 2013 ambapo hadi sasa watu wapatao 21 wakufa, huku majeruhi wakiwa ni 17. Juhudi za ukoaji bado zinaendelea mpaka sasa.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (suti nyeusi pembeni ya Rais) katika eneo la jengo lililoporomoka mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam leo Machi 30, 2013 ambapo hadi sasa watu wapatao 21 wakufa, huku majeruhi wakiwa ni 17. Juhudi za ukoaji bado zinaendelea mpaka sasa.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasikiliza viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelezo kwa Mkuu wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Bw. Suleiman Kova na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (suti nyeusi pembeni ya Rais) katika eneo la jengo lililoporomoka mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam leo Machi 30, 2013 ambapo hadi sasa watu wapatao 21 wakufa, huku majeruhi wakiwa ni 17. Juhudi za ukoaji bado zinaendelea mpaka sasa.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiaga kabla ya kuondoka.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono watu waliokuwepo eneo la tukio.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>