Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

KARIBU SONGEA MJI WA KITALII

$
0
0
Na Glorie Ngahyoma, Songea.

 Karibuni SONGEA MOJA, Mji wa kitalii usiosifika sana kitalii kwasababu wanaoutangaza ni wachache;

1. Kuna matuta makubwa ya barabarani "humps" yapo bomba mbili.
2. Matunda mengi ya kipekee mfano Mangaukau, Linamfusulela, Chikandi.
3. Majina mengi ya watu wake ni ya wanyama kama vile Komba, Mapunda, Mbuzi, Mbawala.
4. Kuna ngoma za aina nyingi na kwa kucheza ngoma ni balaaah ngoma kama vile Mganda, Kioda, Ligwamba, Lizombe, Ligambusa.
5. Wanawake wa kingoni wanajua kupika, usafi, kutunza nyumba, wamefundwa haswa.
6. Sina uhakika na huu msemo kwa upande wa wanaume wa kingoni kuwa "ukimpa pesa zinafika salama lakini ukimpa ......hafiki" sijui kama ni kweli sina data hizo.
7. Mabasi ni luxury zaidi ya mabasi ya timu fulani fulani mhhhhh! hapa nimegusa pasipo.

Hii ndio Ruvuma moja. Karibuni sana. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles