Mtoto Zuzan Kaseba akimlisha keki mama yake Wema Kaseba wakati wa kushelekea sikukuu yake ya kuzaliwa iliyofanyika shuleni kwao ST Josephe juzi katikati ni baba yake mzazi Japhert Kaseba bingwa wa taifa wa mchezo wa masumbwi nchini. |
BABA MWANA NA MTOTO KATIKA PICHA YA KUMBUKUMBU. |