Uhuru Kenyatta (TNA) 1,833,687 (50.11%)
Raila Odinga (ODM) 1,393,000 (41.00%)
Kwa jinsi hali ilivyokuwa, wataalamu wa mambo ya siasa, wanabashiri kuwa kuna uwezekano mkubwa wa Uchaguzi huo kwenda raundi mbili kutokana na jinsi wanavyokabana kwa karibu katika kuelekea kupatikana rais wa Kenya mwaka 2013.