Ni rahisi kuamini Bata hataharisha kwa siku mbili mfululizo kuliko kum-guarantee Msichana uliyekutana nae katika jiji la Dar es Salaam kwamba ukimuoa mtazaa watoto.. it's a gamble!
Baadhi ya wanawake wanaoishi jiji la Dar es Salaam wana Digrii za Abortion. Kwao kutoa mimba ni jambo rahisi kama kuagiza makange ya kuku wanapokuwa bar. Wanamaliza shule za sekondari wakiwa wameshatoa minimum Mimba mbili, wakienda chuo mpaka wanamaliza wametoa mimba nane wengine hadi kumi, kizazi chote kina matundu ya spana kama neti ya kokoro la kuvulia dagaa.
Mnajua jinsi gani wanaume wa mji huu wasivyopenda majukumu ya kulea mimba, lakini mlivyo na akili za kuvukia barabara mko bize kuwakatikia viuno tena huku mnalia kwa mahaba kama mnakata roho huku mkijua Dawa ya penzi mmeiweka mbali na watoto kama sumu ya DDT... Hamadi mimba imejaa kimiani, mnadata!
Phonebook zenu zimejaa majina ya madokta wote maarufu wa utoaji mimba na wengine sura zenu ni very familiar mkifika kwenye hizo hospitali tu, dokta anakuuliza, ''Ya leo ina Miezi mingapi'... Mnasikitisha.... Wanaume salini sana, unakutana na demu kama huyu huko kazini, kapendeza kweli, anakuektia maisha unaoa kumbe kizazi kiko hohehahe, dhoofulihali, unajiuliza Mungu why me, halafu alivyo msanii yeye anakujibu 'Mtoto ni Mapenzi ya Mungu' huku akijua ni yeye aliyesababisha kwa kukongoroa kizazi kwa Abortion ya Mimba 10, hapo Mungu mnamsingizia tu!
Abortion ni dhambi, na kutoa mimba hakubadilishi title yako, WEWE NI MAMA WA MTOTO MAREHEMU!
Imeletwa kwenu na Seth Giovanni,
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mapenzi.