Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Bw. Diego Gutierrez akimkabidhi cheti cha ushiriki kwenye shindano la Tigo Digital Changemakers kwa Severin Philemon wakati wa kutangaza washindi wa shindano hilo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Bw. Diego Gutierrez akimkabidhi cheti cha ushiriki kwenye shindano la Tigo Digital Changemakers kwa Mohamed Juma wakati wa kutangaza washindi wa shindano hilo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez (kushoto) akiwa na mmoja wa washindi wawili wa shindano la Tigo Digital Changemakers, Leka Tingitana, mara baada ya kumkabidhi zawadi ya mfano wa hundi wa dola 20,000 za Kimarekani ikiwemo cheti cha ushiriki kutoka Tigo na Reach for Change mapema leokwa mradi wake wa kijitali eAfya.
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez (kushoto) akiwa na mshindi mmoja wa shindano la Tigo Digital Changemakers Innocent James Sulle mara baada ya kumkabidhi zawadi ya mfano wa hundi dola 20,000 za Kimarekani ikiwemo cheti cha ushiriki kutoka Tigo na Reach for Change mapema leo kwa mradi wake wa kijitali Travelling Library
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Bw. Diego Gutierrez (kushoto) na Mkurugenzi wa kanda ya Afrika wa Reach For Change Bi.Amma Lartey(kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa shindano la Tigo Digital Changemakers, Leka Tingitana na Innocent James Sulle baada ya kutangazwa kuwa washindi wa shindano hilo lenye kutumia nyenzo za kidijitali kwa ajili yakuwasaidia watoto nchini.