Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

ONYESHO LA LADY IN RED 2013 LILIVYOFANA

$
0
0
Mama wa Mitindo Asia Khamsin Idarous (mwenye gauni jekundu) akiwa na wageni wake katika onyesho la Lady in Red 2013 lililofanyika Serena Hotel, Dar weekend iliyopita.
Wabunifu wa mavazi wa Tanzania, Gymkhana na Gabriel Mollel nao walikuwepo.
Miss Tanzania 2012/2013
Mama wa Mitindo Asia Khamsin Idarous akiwa na mbunifu mwenzake ambaye ni zao lake Martin Kadinda.
 
Shukrani kwa Miss Popular kwa kutuwakilisha vyema na kutuletea picha za matukio yote ya onyesho hilo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>