Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Bondia Raymond Mbwago kushoto akipambana na Iddi Pialali wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi katika ukumbi wa YMCA Hall Pialali alishinda kwa K,O ya raundi ya Nne. |
Allybaba Ramadhani
Bondia Raymond Mbwago kushoto akipambana na Iddi Pialali wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi katika ukumbi wa YMCA Hall Pialali alishinda kwa K,O ya raundi ya Nne.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Bondia Shomari Milundi kushoto akipambana na Saimoni Zabron wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi mpambano huo walitoka Droo ya kufungana point.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Shomari Milundi kushoto na Simon Zablon wakinyooshwa mikono juu na refarii Pembe Ndava kuashiria Doroo
Bondia Said Yazidu kushoto akipigwa ngumi na Djamal Dahou wa Algelia Dahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza ya mpambano huo.
Bondia Djamal Dahou wa Algelia akipambana na Said YaziduDahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza. Picha na SUPERD BLOG.