Katika kuendelea kuwajengea uwezo wanahabari, benki ya NMB leo Septemba 13, 2014 wamefanya semina jijini Dar es Salaam ambayo lengo lake lilikuwa ni kuwaelimisha juu ya bidhaa ilizonazo hiyo.
![]()
Meneja wa Amana wa benki ya NMB, Boma Raballa akitoa elimu juu ya huduma mbali mbali walizonazo benki hiyo.