Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19758

TIGO YAFUNIKA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

$
0
0
Umati wa watu waliofurika kwenye banda la Tigo Nane nane mkoani Lindi kushuhudia promosheni mbalimbali zitolewazo na kampuni hiyo.
Meneja wa Mauzo wa mikoa ya Lindi na Mtwara kutoka Tigo Bw. Daniel Maimuya akimuelekeza Afisa Kilimo wa Mkoa Bw. John Likangojinsi ya kutumia huduma ya Tigo Kilimo, huduma inayomwezesha mkulima kupata taarifa ya jinsi ya kufanya kilimo cha kisasa kupitia simu yake ya mkononi.
4. Watoto wakicheza mchezo wa kujaza maputo katika maonesho ya Nane nane kitaifa yanayoendelea eneo la Ngongo mkoani Lindi na kudhaminiwa na Tigo.
Watoto wakifurahia mchezo wa ‘jumping castle’ spesho kutoka kwa Tigo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19758

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>