Bondia Ibrahimu Maokola akijifua Okaido GYM iliyopo Mbagala Charambe kwa ajili ya kujitaharisha na mpambano wake wa ubingwa wa taifa na Selemani Mkalakala mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Amenya Pub uliopo Mbagala Agosti 9. Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Bondia Ibrahimu Maokola akipiga beg zito wakati akijifua. |
Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akielekezwa kupiga ngumi na Ayubu Tezikoma.